watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Watumishi wa Bunda DC hatujapokea Posho za Masaa ya ziada mwezi Julai, inadaiwa zimegharamia mbio za Mwenge

    Habari, nawasilisha malalamiko haya kwa niaba ya watumishi wa Bunda DC. Kwa kawaida, watumishi tumekuwa tukipokea posho za masaa ya ziada kila mwezi, fedha ambazo hutolewa na Hazina kwa ajili ya kuwalipa watumishi wanaostahili. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, hadi sasa hatujapokea...
  2. G

    UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
  3. A

    KERO Watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) tuna mazingira magumu ya kazi na maslahi duni

    Tunapenda kuwasilisha kero mbalimbali zinazowakabili watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), ambazo zimekuwa na athari katika ustawi wa watumishi, morali ya kazi na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya Wakala. 1. Kutolipwa kwa Stahiki za Likizo Baadhi ya watumishi hawajalipwa stahiki zao...
  4. A

    KERO Watumishi wengi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi hatupati stahiki zetu, pia kuna mazingira ya upendeleo

    Nimeona bora suala hili lifike kwenye mikono ya umma, kwani kuendelea kubaki kimya inamaanisha hali itakuwa ngumu na mazingira magumu ya kazi kwetu. Watumishi wengi wa umma Moshi tunafanya kazi kwa kujituma lakini linapokuja suala la kupata stahiki zetu za kisheria kama posho, malipo ya muda wa...
  5. instinct desire

    Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  6. Bei Rahisi Stationary

    Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

    Naitaji msaada wa haraka Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano. Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani. Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...
  7. A

    KERO Responded Mwenzetu Warioba yupo ICU - Hospitali ya Kwangwa, Watumishi wanatubambikia bili zenye harufu ya Rushwa

    Rafiki yangu anaitwa Warioba Josephat Butiku, sote ni Wakazi wa Butiama, Mkoani Mara, juzi alishambuliwa na watu kadhaa kutokana na masuala ya mifugo, alienda kuchukua mifugo sehemu fulani akapishana kauli na hao watu ambao walianza kumshambulia na kumuumiza vibaya. Kwa sasa anapigania maisha...
  8. R

    Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

    Comrade!ikitokea hatma imekudondokea na hatmae ukawa mkuu wa kiti kikubwa katika nchi hii!Hili nalo lipatie ufumbuzi kama ninavyoandika sasa! Kumbuka nchi yetu Haina tatizo la ajira Bali sera mbovu za ajira ndio zimetufikisha tulipo,unawezaje kumuajiri mtumishi ajira ya maisha !?wakati Kuna...
  9. A

    KERO Watumishi idara ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Ushetu, tunahisi kutengwa

    Katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, watumishi wa Idara ya Elimu Sekondari tunahamishwa kwenda vituo vipya bila kupewa stahiki zetu, huku tukilazimishwa kuripoti katika maeneo mapya. Wakati huohuo, watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wanaonekana kupata malipo ya stahiki zao kwa wakati. Hali...
  10. A

    KERO Tunaomba Serikali ifafanue ununuzi wa gari katika Wilaya ya Mbinga kwa ajili ya Watumishi huku kukiwa na changamoto nyingi bado

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga DC, Joseph Kashushura, kupitia Halmashauri anayoiongoza, hivi karibuni alinunua gari aina ya Toyota Coaster kwa gharama inayozidi Shilingi milioni 300. Bei hiyo ilitajwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, ndugu Haule, wakati akitoa ufafanuzi kwa...
  11. King gorani

    Kuhusu kufutiwa baadhi ya posho kwa watumishi wa umma

    Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi...
  12. idiomer

    Kwa nini watumishi wa wanahama sana wakipangiwa baadhi ya maeneo?

    1. Kutaka kuwa karibu na familia hasa mwenza na watoto. 2. Kukosekana kwa nyumba bora za watumishi au za kupanga. 3. Gharama kubwa za kupanga hasa katika majiji. 4. Upungufu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, shule, hospitali 5. Changamoto ya mawasiliano ya simu na Miundombinu kama...
  13. The Palm Beach

    DED - Maswa, Bw Maisha Mtipa alazimisha watumishi wa umma wote Maswa DC kwenda kukesha na mwenge (Kibatari) tarehe 27/7/2026 uwanjani!

    Mliokuwa hamjui ni kwamba; Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..." Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
  14. A

    KERO Kwanini TAMISEMI wanatumia muda mrefu kutoa mrejesho wa majibu ya Uhamisho?

    Habari JamiiForums, Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma walio chini ya TAMISEMI. Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo tangu mwezi Januari 2026, lakini hadi sasa bado yanaonesha kuwa yapo TAMISEMI bila hatua yoyote kuchukuliwa. Pia hakuna mrejesho...
  15. Sifi Leo

    Sasa huyu mkuu wa gereza si atajamba mahakamani? Kwa Nini serikali mnaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI?

    Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
  16. A

    KERO Watumishi wa Umma kuna kukosekana kwa usawa katika upatikanaji wa nyongeza za mishahara kwa miaka miwili

    Awali, nyongeza za mishahara kwa watumishi wote zilikuwa zikitolewa mwezi Julai kila mwaka. Hata hivyo, baadaye Serikali ilianzisha mfumo mpya ambapo nyongeza hizo hutolewa kulingana na mwezi ambao mtumishi alianza kazi. Pamoja na utaratibu huo, kumekuwa na changamoto ambapo baadhi ya watumishi...
  17. Fbn

    Nashindwa kuelewa hivi viongozi na watumishi wakisafiri kwa nchi zenye maendeleo wanafanya kazi gani ?.

    Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi. Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
  18. A

    KERO Watumishi wa Ualimu Kaliua hatujalipwa Fedha za Kujikimu, waliolipwa wamepewa nusu

    Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado hakijalipwa. Ufuatiliaji unaonyesha kuwa hata baadhi ya watumishi waliopo kazini kwa muda mrefu bado...
  19. A

    KERO Halmashauri ya Mji wa Mbulu inatunyanyasa Watumishi wake kwa kutunyima haki zetu za msingi

    Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Mkoa wa Manyara, tunaomba msaada wenu kufichua changamoto na madai yanayoikabili halmashauri yetu. Tumekuwa tukikumbwa na uongozi usioridhisha kuanzia ngazi ya madiwani, Mkurugenzi hadi wakuu wa idara mbalimbali. Kwa mtazamo wetu, viongozi hawa...
  20. M

    Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

    Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake. Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Back
Top Bottom