Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.
Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
Katika moja ya mambo ambayo nchi yetu imerithi kutoka kwa wakoloni ni hili la kuwalipa mishahara mapema watumishi wa majeshi hasa JWTZ na kuwaacha watumishi wengine wakisota kwa muda inatakiwa ukomeshwe kama sio kupigwa vita kabisa. Sote tunafahamu kuwa katika nchi yetu kumeundwa vyama...
Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma.
Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote.
Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia gharama za matibabu kwa wakati.
Akizungumza bungeni leo Alhamisi Aprili 17, 2025 wakati wa kipindi cha...
Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika.
Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
Itakumbukwa mwaka jana watumishi walioajiriwa 2005 kurudi nyuma waliseleleka hadi daraja G by default bila kujali daraja alilokuwepo!
Je, ajira za 2006 na kuendelea tukae mkao wa kula mwezi ujao?
Leo nawaletea stori nne (4) ambazo zinawachelewesha watumishi (waajiriwa) kwenye maendeleo binafsi.
1. KUSIMULIANA STORI ZA MPIRA, MAPENZI NA POMBE:
Hii ni kwa watu wengi, lakini kwa wafanyakazi (waajiriwa) imeshamiri sana. Waajiriwa wanapokuwa kwenye uhuru wa kupiga stori hasa wakati wa Lunch...
Pichani: Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Ndg. Eliudi Sanga, akitoa somo Kuhusu Nafasi ya Kasi na Viwango katika mduara wa utoaji huduma (service delivery cycle time) kwa watumishi wa NHIF hivi karibuni.
"Service delivery cycle time" refers to the total time it takes to complete a service request...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
____
1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba.
2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu.
Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa...
Wakuu,
Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi,
Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa...
Ili uchaguzi uwe huru na haki ni vema Tume Huru ya Uchaguzi ikaajiri watumishi watakaosimamia uchaguzi mkuu 2025 ambao siyo watumkshi wa umma. Waigeni wenzenu wa nchi jirani ya Kenya ambayo Tume yao ina watumishi wa kudumu mpaka ngazi ya Kata. Kusitokee tena figisufigisu ya miaka ya 2020 na...
Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo.
Ni mbinu ya wagonjwa kukwepa misururu mirefu kupata huduma za afya.
Mara nyingi malalamiko ya vitendo vya...
Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa watumishi wa aina hii TZ inategemea kuendelea?
nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye...
Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS, Bw. Rahim Mwanga, akitoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, yaliyotolewa na Wizara ya Fedha na Taasisi zake.
Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili...
Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla.
Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameonya tabia ya watumishi wa umma wanaopanga ushuru mkubwa wakiwa wamekaa maofisini bila kujua shida wanayopata wawekezaji na kisha kumtaka kila mtumishi awekeze ama afanye biashara ili anapopanga ushuru ajue shida za walipa kodi kwa uhalisia .
Mtaka...
Wakuu jf amani ya Mungu ikawe juu yenu, nawatakia mema katika mfungo wa ramadhani/ kwaresma kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada Tajwa hapo juu.
Tangu jana zimekuepo taarifa ,kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa huakiki ni wa siku mbili ,namanisha jana tarehe 20 to...
Hii naongea ili kutoa alert kwa viongozi wote wa serikali na watumishi wa umma.
Unamtukana mtu na unampatia huduma mbovu kumbe anakurecord na mwishowe unaishia kufukuzwa Kazi au kusimamishwa.
Be alert mtaani ni pagumu ukirudi mtaani unabidi uende VETA ndo ujiajiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.