watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  2. SOTI

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Chuo cha LITI Morogoro sio sawa kwa watoto maskini

    Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
  3. amshapopo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi kazi za ndani zinavyotokomeza ndoto za watoto wa kike

    Imekuwa ni kawaida kwa desturi zetu za sasa, hususani maeneo ya mijini pindi familia inapohotaji msaidizi wa kazi za ndani ya nyumba, hupelekekea kupiga simu maeneo ya pembezoni mwa miji Ili kupata msaidizi wa kusaidia kazi za ndani. Wengi wetu tumekuwa tukihitaji wafanyakazi hawa bila kufuata...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Dawa za Kutibu Homa na Kuhara kwa Watoto zitolewe bure Nchi nzima

    Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5. Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

    Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani. Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wachangia damu kuokoa maisha ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo

    Afisa Muhamasishaji kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama Kanda ya Mashariki Mary Meshy akimpima kiwango cha damu mwananchi aliyejitokeza kuchangia damu ambayo itatumika kwa watoto watakaofanyiwa upasuaji wa moyo wakati wa kambi maalum ya matibabu itakayofanywa na wataalam wa JKCI kwa...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Almajiris: Mamilioni ya watoto wa kiislamu ambao maisha yao ni omba omba na kufundishwa kurani

    Wazazi maskini kule Nigeria kazi yao ni kuzaa na kupokeza watoto kwa huu mfumo wa almajiri ambapo mtoto siku nzima anafundishwa kurani na mambo ya kiislamu kisha mchana anaachiwa aende akazurure kuomba omba chakula au chochote, wengine wanakula majalalani. =========================...
  8. Hossam

    JamiiForums Tanzania Watoto wawapo tumboni kwa mama zao

    Imenichukua siku mbili tatu kumsoma kijana wetu. Utulivu: Mtoto mchanga hana mudacwa vurugu na mtu. Kwanza ukimgusa mkono wake atashituka na kukuacha ulivyo. Hapendi kuguswa guswa na mjue hata mama yake hapendi ila ni nyonyo tu. Mtoto hataki kuguswa na anaweza kukumbuka akiwa kwa womb hatakiwi...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WATOTO WASIOZALIWA: Ujumbe wa Mawazo na Hisia

    WATOTO WASIOZALIWA 1. LETTER TO MY UNBORN CHILD - 2 PAC Pac anamwandikia barua mtoto wake ambaye bado yupo tumboni mwa mama yake na KUMWAMBIA UKWELI kuhusu dunia hii. Mistari ambayo inanigusa zaidi humu ni hii ifuatayo; "MY ONLY FRIEND IS MY MISERY." 00:48 (Rafiki yangu wa pekee ni mabalaa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Watoto wawili waokolewa ziwani baada ya kutokea mafuriko

    WATOTO wawili wameokolewa wakielea karibu na ufukwe wa ziwa Kivu huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku chache baada ya mafuriko yaliyoua zaidi ya watu 400. Haijabainika jinsi watoto hao wachanga walivyonusurika kwa siku tatu katika ziwa hilo, lakini mashuhuda wanasema...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Mimi ni mkatoliki ila hili tukio la bikira maria kuwatokea watoto wa fatima kule ureno linafikirisha sana. Kwanza mkuu wa kanisa katoliki yani papa ni Rais wa Vatican pia kama nchi kamili yenye kiti UN. Sasa tukio la kule ureno mwaka 1919 la bikira maria kuwatokea Lucia, Francis na Yasinta sio...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Picha ya Kimkakati: Rais Samia na Watoto wa Kitanzania nchini Namibia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia. Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Familia fuatilieni Watoto wenu mjue maadili yao

    Familia zimekumbushwa kujadili masuala ya maadili ili kujiepusha na changamoto ya mmomonyoko wa maadili inayotajwa kukithiri ndani ya jamii katika siku za hivi karibuni Wito huo umetolewa mkoani Dodoma na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  15. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari ya watoto wadogo yaligunduliwa shule za Kikatoliki Canada

    Shule za makazi (Residential Schools) zilikuwa za mtandao wa shule za bweni ambazo ziliundwa ili kuingiza watoto wa kiasili (natives) katika utamaduni wa Kanada. Shule hizo ziliendeshwa na serikali ya Kanada na mashirika ya kidini (Kikatoliki). Watoto hao walichukuliwa kutoka kwa familia zao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbona hatusikii watoto wa Lawi Sijaona Ngwanda wakipewa madaraka kama Nape, January na Ridhiwani Kikwete? Mbona hivi?

    WanaCCM walishageuza hili taifa kuwa la kisulutani. Nape, Riziwani na January Makamba wamerithishwa madaraka. Hii iko wazi kabisa. Mzee Lawi Sijaona Ngwanda ni mmoja wa waasisi wa taifa letu alipigiania uhuru wa taifa letu. Mbona hatusikii juu ya uzao wake kurithishwa madaraka. N.b Nape hana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuwaweke watoto na ndugu zetu wanaopambana na ufisadi mikononi mwa Mungu; kuna familia zinalinda madaraka kwa kumwaga damu

    Kuna watu wameingia kwenye mfumo wa siasa na biashara wanaishi Kwa dili. Ukisikiliza bungeni ni kama vile wanafanya siyo Kwa Siri tena Bali wanafahamika na hakuna wakuwafanya chochote. Tumemsikia Msukuma kuhusu sakata stika za ushuru; anasema wazi kwamba kuna watu wanufaika na kwamba anaogopa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kampuni ya Meta yashutumiwa kuwaweka Watoto hatarini

    Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao hiyo. Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) pia imesema Meta inapaswa kupigwa marufuku kutengeneza...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

    Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika. Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍. Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi...
Back
Top Bottom