Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla.
Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
Nimeliona sasa hivi hili tatizo la Pauline Gekul. Sikuwepo mtandaoni kwa siku kadhaa.
Nasema mambo[maamuzi] yasifanyike kwa mihemuko. Kama kuna mtu ameumia, muadhibu yule Mbunge{Pauline].
Lakini usifanye mambo kwa mihemuko,na kuanza kusema kwamba huyu mtoto bila shaka amepata stress sana.[au...
Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana.
Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana.
Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya...
Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera.
Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
Tukielekea kuadhimisha wiki ya ukatili wa kijjnsia kuna mambo yanaendelea baadhi ha makanisa ya manabii mitume na makuhani hayanipendezi.
Kuna mambo ukienda makanisani kwa watajwa hapo juu naumia sana.
Wanaita watoto wadogo kabisa wanawambia wewe uko kikundi cha wachawi. Kwa uwoga wanajibu...
Iko wapi huruma ya serikali kwa watoto kutoa matibabu bule kwa walio chini ya miaka mitano
Mbona tunawalaani wazayuni kushambulia na kuuwa watoto wa Gaza na huku tukiona sawa kutokuweka na kuendeleza sera ya matibabu bule kwa watoto wetu walio chini ya miaka mitano?
Panatofauti gani kati ya...
Moderator tafadhali naomba Uzi huu usiunganishwe kwingineko.
Wadau hamjamboni nyote?
Watoto wawili wa Nabii Musa Gershom na Eliezer ambao alizaa na mkewe Sipora binti Yethro yule kuhani wa Midiani hawakuhesabiwa kuwa Wayahudi (Jews).
Najua utajiuliza kwanini ila jibu ni kwamba Sipora hakuwa...
Nimeona sehemu mwana JF Bome-e analia sana kuhusu taarifa za Israel kukamata watoto, ila kikawaida kwenye medani unapomhusisha mtoto ashambulie jeshi, mara moja anakua military target, haijalishi umri wake tena, na wana bahati kwamba walikamatwa tu, vinginevyo wangeuawa...
Wanaukumbi.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, mateka.
Inavyoonekana, ni wakoloni wakatili wa Ulaya, pekee walio na watoto, na Waisraeli pekee ndio wanaoweza kutazamwa kama mateka.
Hawa ni "wafungwa" wa Kipalestina wanaobadilishwa...
Ukweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu
Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma kubwa wakiwaonyesha
MOD. UZI HUU UACHE USIUDELETE AU KUHAMISHA...
Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya?
Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito?
Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa?
Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo linahitaji kutumbuliwa mapema Sana.
Watoto wanaolelewa na mama pekee bila uwepo wa mzazi wa kiume...
Siku ya Watoto Duniani huadhimishwa kila Novemba 20 ikilenga kukuza na kusherehekea ustawi na Haki za Watoto Duniani. Tarehe hii ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Azimio la Haki za Mtoto na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Mwaka 1959.
==============================
World Children's Day is observed...
Kwema Wakuu!
Sikuwepo zamani sana. Lakini miaka ya tisini mpaka elfu mbili hivi ilikuwa kawaida Baba kumtelekeza mtoto au watoto huku akiacha maneno ya shombo, jeuri na kiburi. Kuwa akikua atanitafuta mwenyewe.
Na kweli zamani hizo niliona watoto wengi wakifanya hivyo, wakitafuta wazazi wao...
WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali...
Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0.
Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
Yako mataifa kadhaa ya kiarabu na mataifa ya kiislamau ambayo yameonekana kufanya uzembe katika vita vya Gaza.Hata hivyo taifa la Saudia linaongoza kwa kusaidiana na Marekani kuipa nguvu Israel iue na kuangamiza mpango wa kuundwa kwa taifa la Palestina.
Iran iliahidi mstari mwekundu ukivukwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.