watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Terms of Reference - for Reviewing USAID Tuwajali Watoto project implementation at CSSC

    Terms of Reference – for Reviewing USAID Tuwajali Watoto project implementation from February 2023 to September 2024 Background The Christian Social Services Commission (CSSC) is an ecumenical body established in 1992 by the Christian Council of Tanzania (CCT) and Tanzania Episcopal Conference...
  2. JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

    Heri ya nane nane wakuu Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi. Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa shemeji ni 30+ kwa kumkadiria but shemeji yeye pigo zake akiwa home huwa ni skin tight tu na mavazi...
  3. JamiiForums Tanzania Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

    Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila Kuzaliwa: August 01, 1978 Mahali: Mbeya Elimu Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995) Kazi Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza kujishughulisha na biashara ya madini na uchimbaji na mabasi makubwa yaendayo mikoani. Familia Alifanikiwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto wa kike, tuna cha kujifunza kwenye matukio ya binti wa SAUT-Mwanza na binti wa Buza?

    Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na wale wanajeshi wakiwa nyuma ya nondo wakilia na kusaga meno. 2. Sisi kama wazazi wenye watoto wa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Familia ya Sauli yaeleza miradi watakavyoisimamia, watoto watakavyoishi

    Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila imesema kumpoteza mpendwa wao huenda baadhi ya miradi ikayumba hususan ya mabasi huku ikisisitiza imejipanga kusimamia vyema migodi ya dhahabu ili kuwasaidia watoto wake. Mwalabhila maarufu kwa jina la Sauli...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wazazi wanawaogopa watoto wao wenye Pesa?

    Katika familia nyingi za Kiafrika hususan vijijini wazazi wengi wanawaogopa watoto wao wenye pesa hata kama ni mdogo. Mtoto huyo mwenye pesa hata akifanya vitu visivyofaa kwa ndugu zake mzazi hawezi kumkanya zaidi ya kumchekea chekea tu. Hali hii hujenga chuki kwa ndugu zake kiasi kwamba hata...
  7. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watoto wa 2000 ni matokeo ya wazazi wa Miaka ya 75' Hadi 85'

    habari za ujenzi wa taifa? Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
  8. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Marathon Congo yakusanya Dola 50,000 kusaidia wodi ya watoto Hospitali ya Jason Sendwe DRC

    Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga, Jacques Kyabula (katikati) akimkabaizi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 50,000 Waziri wa Afya, Joseph Nsambi Bulanda wa Haut-Katanga (watatu kulia), zilizokusanywa katika CRDB Bank Marathon Congo iliyofanyika leo Agosti 4 2024 katika jiji la...
  9. JamiiForums Tanzania Waisrael wanataka Wajukuu kutoka kwa Mbegu za kiume za watoto wao waliofariki

    Dunia inaendelea kukua kwa kasi. Baada ya kusoma hii habari kutoka BBC nimegundua kwamba kumbe hakuna linaloshindikana chini ya Jua. Habari hii imenivutia sana kuona kumbe hilo linawezekana kutoka ndani ya masaa 24 hadi 72 toka mtu alipofariki. Lakini serikali inataka kujiridhisha kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Umasikini wa mtoto umefungwa ndani ya fikra na akili ya mzazi! Tusiwalaumu watoto tu wakati mwingine!

    Umasikini umefungwa ndani ya fikra na akili ya mtu. Wazazi kama fikra zao ni za kimasikini huwa na uhakika uzao wake wote watakuwa masikini. Katika jamii ninayoishi kuna watoto wengi ambao tunawasomesha shule za umma na za binafsi. Sasa hizi shule za umma (za Serikali) kutokana na changamoto...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

    Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
  12. JamiiForums Tanzania Funzo kwa baba wanaotelekeza watoto kwa mama zao

    MY STORY: Nilisema nitamchukua Bada ya miaka 7 nimeenda nimekutana na Makaburi mawili! Nakumbuka meseji yangu ya mwisho niliyomtumia ilikuwa ni kumwambia, "Wewe lea mtoto, akiwa mkubwa atakuja kunitafuta," na kwa taarifa yako, akifikisha miaka 7 nitakuja kumchukua. Hakunijibu hiyo meseji na...
  13. JamiiForums Tanzania Wachambuzi Clouds Radio na E-FM wasema hakuna haja ya kumrejesha Manara, Kamwe anaendana na Gen- Z, sura yake ilifanya watoto katika idara waogope

    Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi yahimiza Wananchi wote kuwa waangalizi wa Watoto

    Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo amewaomba wananchi kutambua kuwa Jukum la ulinzi wa Watoto ni la watu wote huku akiwataka wananchi wa kata hiyo kuwajibika kwa pamoja na kushirikiana na Jeshi la Polisi katani hapo katika ulinzi wa watoto. Mkaguzi huyo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha. Watoto wa walipa tozo na watoto wa wakusanya tozo

  16. JamiiForums Tanzania Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

    Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote. Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ijue MTAKUWWA Awamu ya 2

    Wasaalam. MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume). Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22. Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029. Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Akili za darasani watoto wanarithi kwa mama

    Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa kwenye x chromosomes Ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikuwa vizuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…