watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawashikilia watu watatu akiwemo mtoto anayedaiwa kuiba watoto sita

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha jongefu zilizosambaa katika mitandao ya kijamii. Pia, Jeshi hilo limesema linamshikilia mtoto huyo na kuendelea na uchunguzi wa maelezo yaliyozungumzwa naye katika...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Wanawake wanaong'ang'ania Watoto huku hawawezi kuwatunza ikomeshwe. Ni ukatili Kwa Watoto

    TABIA YA WANAWAKE WANAONG'ANG'ANIA WATOTO HUKU HAWAWEZI KUWATUNZA IKOMESHWE. NI UKATILI KWA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nasema haya baàda ya Yale yanayotokea kwèñye jamii zetu. Ukatili, maumivu, mateso na uharibifu wa Ndoto za Watoto wengi zilizotokana na ubinafsi mbaya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

  4. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

    This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Asisitiza Elimu kwa Watoto wa Kike

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha mtoto wa kike anaelimishwa ili kuleta matokeo chanya kwa jamii na Taifa...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi na watoto wa kambo?

    Kuishi na mtoto wa kambo kunahitaji unafiki wa hali ya kiwango cha SGR, Hebu fikiria kuna wakati hata wife ananichukia sababu sicheki na mtoto anapokosea je? Wangekuwa ni wakambo ingekuwaje? Mfano. Juzi nimembeba mtoto akawa analia kwa sauti mama alikuwa na kazi zingine ikabidi nimwambie njoo...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Baba wa familia ndie injini ya nyumba, Hakuna shida akila vizuri akiwa mihangaikoni, wala sio ubinafsi kama wengi wanavyodhani

    N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata kula inakuwa ya shida. Injini inahitaji service, kuwekewa oili mara kwa mara kulainisha vyuma na...
  8. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Elimu inavyo wafanya watoto kupoteza uwezo wa kuuliza na kuhoji

    Habarini wadau na wazazi wote katika jukwaa hili... Ukizungumza na watoto wadogo waliopo madarasa ya awali, utakutana na wengi wao wakiwa na hulka au ushawishi wa kujua mambo mengi ya kisayansi na mazingira. Na wanauliza maswali muhimu, wanauliza " ndoto ni nini, kwanini tunalala usingizi...
  9. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kambo na mayatima huwa wanapitia maisha magumu sana

    Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua. Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima katika familia fulani, yeye alifiwa na wazazi wake wote wawili hivyo ikabidi achukuliwe na ndugu wa...
  10. King Jim

    JamiiForums Tanzania Jinsi shule inavyoharibu ubaadaye wa watoto wa Afrika

    JINSI SHULE INAVYOHARIBU UBAADAE WA WATOTO WA KI-AFRIKA. Tafadhari soma hii ukiwa umekwisha graduate 🎓, Kabla hatujaendelea, naomba nikuweke sawa kwenye maneno Shule na Elimu, Elimu (Knowledge/Wisdom) ndio muhimu kwenye maisha ya mwanadamu na sio Shule ambayo ipo ndio kama mfumo wa Elimu wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dotto Magari atasababisha watoto wengi kukataa shule

    Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla. 1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi imeonekana wamefanikiwa kuliko wasomi walio wengi lakini haimaanishi elimu haina umuhimu kwa kizazi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Israel: Gaidi aliyevaa begi lenye mabomu ya kujitoa muhanga alipuka kabla halijafikia eneo lililojaa watu

    From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana. Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa. Kuna possibilities zifuatazo yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu Mossad wana teknolojia ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nizae watoto wazuri?

    Swali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nifanye Nini Ili nizae watoto wazuri ?

    Ni 23 yrs natarajia kuanza kutafuta mtoto lkn nimekuwa Kuna hisia zinanifanya nipate wasiwasi juu ya kiumbe nitakaemleta duniani..swali je can the ugly parents have beautiful babies?..sikuamini Kwa muonekano wangu nimekuwa nikikutania na bulling sana juu ya sura yangu sitamani na atakaezaliwa...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kilaza ni wimbo utakaowafungua wazazi wenye vipato vya kawaida, wanaohangaika kulipa mamilioni ili kusomesha watoto Shule ya Kiingereza

    Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu? Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania? Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa. Back to the topic 👇👇...
  16. Blender

    JamiiForums Tanzania Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mjini vs wajanja wa mjini...!

    Jeshi la Polisi Tanzania kwa siku hizi mbili wametumia si chini ya shillngi millioni 300 kwa kutengeneza hofu"fear of unknown" na kwenda kupambana na hofu waliyo jitengenezea wao wenyewe. 1.Hatua ya Kwanza walihakilisha wanamdanganya Mama wawa tu kuwa anaenda Kupinduliwa Mbeya na BAVICHA...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wazazi Masikini ni chanzo cha migogoro mingi kwenye ndoa za watoto wao.

    Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho mbaya. Sijui kwa enzi za mababu zetu ila maskini wa leo hii ni ngumu mno kuiona pepo. HAIWEZEKANI...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tukikutana na mwanaume ana jina la kike unakuwa mjadala wa kitaifa?

    Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee. Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay, Klay yote ni majina yalikuwa yananishangaza kukuta amepewa mwanaume. Nikaja kukutana na Joyce ndiyo...
  20. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Natongozwa na watoto waliozaliwa mwaka 2000, yani nitwachapa nyie! ohoo!

    Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au? mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena? sasa mtapita wapi na mimi "eti, Tsup ma, how ya doin' baby send me your photo ma, you love my swaga? hey babe, lil mama hey honey money money penny i got money for ya'' yani huku...
Back
Top Bottom