watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanamke wa Miaka 40 ajifungua Watoto Sita kwa mpigo baada ya miaka 20 bila kuwa na Mtoto

    Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu alipopata mtoto wake wa kwanza. Kuzaliwa kwa watoto hao kulitangazwa katika video iliyosambazwa TikToka na...
  2. JamiiForums Tanzania TUNAWAPONYAJE WATOTO KAMA HAWA KIHISIA?

    Ni kweli mtoto wako ana akili kwa sababu anapata A. Na hapo unaanza kumkaririsha kuwa atakuwa daktari, injinia n.k Mbele ya safari anajua kuwa na uwezo mkubwa lakini hafanikiwi kufikia yale malengo ya kuwa daktari au Injinia. Hapo ndipo anaanza kujihisi mjinga. Je, huyu mtoto anasaidiwaje...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba niongee na nyinyi wamama mnaotumia watoto kama tiketi ya kutoka nyumbani

    Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu.. Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika mkono ukiamini kwamba hata mzee akirudi nyumbani akiambiwa mama flani katoka na mtoto kunakuwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Gwaride la Watoto lamkosha Rais Samia mpaka kuinuka kwenye kiti na kusimama kwa tabasamu na furaha ya hali ya juu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa letu litaendelea kuwa salama na kisiwa cha Amani na kupigiwa mfano Barani Afrika na Duniani Kwote...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi tuchunge sana maneno yetu tunayowaambia watoto wetu tukiwa na hasira.

  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanandoa wengi hawawaruhusu wenza wao kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza ?

    Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
  7. JamiiForums Tanzania Mchungaji anayesakwa na FBI kwa biashara ya ngono kwa watoto akamatwa

    Mchungaji wa Ufilipino, Apollo Quiboloy mwenye ushawishi mkubwa na aliyekuwa akisakwa nchini Ufilipino na Marekani kwa tuhuma za biashara ya ngono kwa watoto na usafirishaji haramu wa binadamu amekamatwa Ufilipino. Apollo ambaye kanisa lake la Kingdom of Jesus Christ (KOJC) linadaiwa kuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Taja sifa za watoto wa kiume waliolelewa na single mother

    Hapo vip! Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu. Madhara. 1.Hana msimamo kama mwanaume. 2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume. 3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anaweza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi) 4.Hawezi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Achezea bakora kisa kuwafungia watoto ndani na kwenda kulewa

    Mwanamke mmoja alipata adhabu ya viboko baada ya kuacha watoto peke yao nyumbani na kwenda kulewa. Kitendo chake kilizua hasira kwa jamii, kwani alionyesha uzembe kwa kuwatelekeza watoto, hali ambayo ingeweza kusababisha hatari kubwa.
  10. JamiiForums Tanzania Sio sawa kuwafanyia indoctrination au brainwashing za kidini watoto wadogo hivi

  11. G

    JamiiForums Tanzania Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi sikiliza kwa makini: Mwanaume aliyehukumiwa kwa kosa la kulawiti watoto ahojiwa na kueleza mbinu anazotumia kurubuni watoto

    IMETAFISIRIWA Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika zaidi kuchagua aina ya wavulana na mbinu. === Tafsiri siyo ya moja kwa moja; Swali la mwandishi...
  13. JamiiForums Tanzania Je, samaki anatapika watoto, anazaa au anataga mayai?

    Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na baadhi ya watu waliodai kuwa samaki anazaa watoto na kulikuwa na wengine waliodai kuwa samaki ana taga...
  14. JamiiForums Tanzania Jamani wazazi wapeni watoto mitaji hata ya kubetia

    Wazazi toeni pesa za pension ili tuweze kujiajiri huku tukisubiri mchongo itiki , mtu amesom shahada ya uhandisi wa Mitambo hana mchongo bado, hajateuliwa bado, Watu tuna idea za kufanya ila ndio hvyo hatuna asset ya ku offer kama collateral ili kusecure mikopo kweny Taasis za pesa, sasa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na sheria mpya dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto

    Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
  16. JamiiForums Tanzania HAKUNA SABABU ZA MSINGI ZA WATOTO KUSOMA ENGLISH MEDIUM

    Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium. Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa. Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Uporaji viwanja vya michezo vya Shule, ni unyanyasaji wa watoto

    Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi. Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa taifa hili hawawapendi watoto wa wanaowaongoza maana wao wa kuwazaa hawapitii mapito ya wale wanao...
  18. JamiiForums Tanzania Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

    TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kelele zote na Kejeli zote unazozisikia Kuwahusu single mother msingi wake Mkûu ni ufukara walionao Wanawake wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi nyie mna watoto? Mkirudi nyumbani watoto wenu mnawatazama vipi?

    Hivi nyie watekaji na wauaji mna watoto ? Mkirudi nyumbani watoto zenu mnawatazama kwa macho gani ? Watoto nao wanasema baba/mama ametoka kazini. Kazi gani ya kutesa na kuua wenzako ? DAMU YA DEUSDEDITH SOKA (DEO) Siku ya Jumatano ya tarehe 21 August 2024 nilikuwa maeneo ya Buza pamoja na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawashikilia watu watatu akiwemo mtoto anayedaiwa kuiba watoto sita

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha jongefu zilizosambaa katika mitandao ya kijamii. Pia, Jeshi hilo limesema linamshikilia mtoto huyo na kuendelea na uchunguzi wa maelezo yaliyozungumzwa naye katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…