watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  2. Al-akhdally

    JamiiForums Tanzania Offa msimu wa krismass Mabegi ya watoto ya shule kwa 17,000 tu

    Njoo nikupe begi Imara kwa na quality ya juu kwa bei ya kufunga mwaka. Nicheki 0783973428 Nipo kariakoo Dar es salaam
  3. babyboss_china

    JamiiForums Tanzania Kids digital watch ( Saa za kisasa za watoto)

    PRICE 8000/- 🚫saa sa kisasa za watoto zinapatikana 💦haziingizi maji 💪zinatumia battery ambayo inadumu kwa miaka zaidi ya miwili ✌️ni nzuri sana kwa watoto wa mashuleni wanakua sharp na kutunza mda ☎️0753409810/ 0674582231 📍tupo MANZESE TIPTOP OPPOSITE JM HOTEL NB: TUNATUMA MIKOA YOTE KWA UAMINIFU
  4. haszu

    JamiiForums Tanzania Nimeshazichoka vurugu za watoto, bora shule zifunguliwe

    Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe. Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu. Bora warudi shule.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mafua yasiyoisha kwa watoto wachanga

    Wadau! Mwanangu ana umri wa miezi miwili ila anakua anamafua ambayo hayatoki (ambayo hayachuruziki) nimempeleka hospital lakini Bado hayakati naomba ushauri.
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo. Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania single mothers wengi wameachiwa watoto wa kike

    son preference still exists mwanamke ukizaa nje ya ndoa mtoto akiwa wa kike jamaa aliekupa mimba anaweza kutokomea mazima ukizaa mtoto wa kiume probably anaweza kukuoa
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali iajiri walimu, watoto wanapoteza muda shuleni

    Kuna upungufu mkubwa wa walimu kwenye shule za umma Nina mdogo wangu anasoma PCB huko Mwanza anasema haijawahi kumwona mwalimu wa Physics na Chemistry shuleni Toka mwezi wa 7 Mfano Nilifika Wilaya ya Mkuranga shule msingi Koma ina mwalimu mmoja ambaye pia ndo mkuu wa shule. Shule ya Msingi...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar: Acheni kuchukua fedha ili muwafiche wanaowafanyia ukatili Watoto na Wanawake

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Stephen Byabato awakutanisha Watoto yatima 200 Bukoba kwa Tamasha la Sadaka na Shukrani

    Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba. Lengo kuu ni kuwapa faraja kwa kuwapa mahitaji muhimu ya shule, vyakula na mahitaji binafsi ikiwa ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya mjini ukizembea malezi unakuja kuwa na hasara ya watoto mbeleni hasa watoto wa kike

    watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
  14. Shanily

    JamiiForums Tanzania Kuhusisha jinsia wakati wa ugomvi wa watoto.

    Kuna msemo maarufu hasa huku mitaani kwetu watoto wakike wakiwa wanapigana au wanagombana na watoto wa kiume, utaskia wazazi wao hasa wa kike. "Usipigane nae, huyo ni mwanamke" Kwahy kama akiwa ni mwanamke hafai kupigana!?. Binafsi naona kauli Bora ni kuwaambia "acheni kupigana, ugomvi sio...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Makapuku oaneni, ili faraja yenu iwe ni kuwaona watoto.

    Katika zama hizi ukiwa na kipato cha kukuwezesha kulala pazuri, kuvaa vizuri, kula vizuri na kunywa kwa mwezi, halafu upo singo ni vema uishi peke yako tu. Utapata kila wanachokipata watu walioko kwenye ndoa. Kama ni mdada utajipamba vizuri na utaonekana na wanaume kisha watakupa huduma ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

    Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men. Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi. Watoto wakiume wamekuwa mtihani mkubwa mikononi mwa Mama zao. Hawawezi kufanya kazi ngumu, hawezi kutoka nje kukojoa mpaka...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

    Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia. Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi waaswa kuzingatia kuwapeleka watoto wao shule zenye malezi bora

    Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinazoweza kuelezea kupungua kwa uwezo wa single moms wa kisasa kulea watoto wa kiume?

    Muhimu: Tatizo hili lipo hata wakiwepo wazazi wote au baba pekee lakini kwa kwa single moms ni kiwango kikubwa zaidi na haimaanishi ni wote Ni tofauti na zamani, haikuwa shida sana kwa kina mama kulea watoto hasa kimaadili na uwajibikaji. Hali ya sasa imekuwa tofauti sana kwa single moms toleo...
Back
Top Bottom