Shirika la kimataifa linalohusika na watoto la Save the Children, linaonya kwamba watoto 70,000 katika eneo la Jangwa la Sahara wanakabiliwa na tisho la kufariki kutokana na njaa kabla ya mwisho wa mwaka huu .
Shirika hilo pia Linasema janga la Covid-19 limezifanya baadhi ya familia kushindwa...