watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Stroke

    Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

    Wakuu nipo barabarani muda huu, Ama kwa hakika maisha yamebadilika. School buses zipo busy kuchukua wanafunzi. Wazazi wanakwena makazini na watoto wao. This is pure madness, there is no control. Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu, No child at this hour , wanahitaji kupata...
  2. ndege JOHN

    Watoto hawakumbuki nani aliwazaa wanakumbuka nani alikuwepo

    Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally. Tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile...
  3. MakinikiA

    Somesheni watoto wenu Skills za Gas na mafuta ,sio kutafuta huruma za kujengewa Refinery..

    Eti Digrii ya histori ,au Digrii ya biashara hata kusimamia genge hawawezi hawa watoto wenu
  4. Echolima1

    Magaidi wa Hamas wakijipanga upya kuivamia Israel ikiwatumia watoto zaidi!!

    Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vibaya kwenye uvamizi wao wa Oct 07,2023 sasa magaidi hao wanajiandaa upya kwa Oct 7 nyingine!! Safari hii inawatoa kafara vijana na watoto wadogo ili wakafe SHAHIDI wakiaminishwa wataenda kukabidhiwa Mabikira 72 wawabikiri na kuwa huko watakuta Mito yenye...
  5. R

    Mwananchi: Hatutaki fidia, Tunataka Serikali ya Samia iondoke madarakani, kama wanaweza waturudishie roho za watoto wetu

    Wakuu, Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake, Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata kabla ya ripoti ya chande tayari seriakli inafahamu nini wananchi wanakitaka Wananchi wanataka...
  6. Zack Abdul

    Serikali Kuwagharamia Wazee na Watoto Bima ya Afya

    Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
  7. M

    Shida sio hela ya matunzo ya mtoto bali ni baadhi ya baby mamas kuitumia kula bata na kumkomoa anaetoa.

    Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto. Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
  8. M

    Sina shida na kina mama wanaoenda kwa maamuzi yao makanisa ya fake pastors, nawaonea huruma sana watoto wanaopelekwa huko

    Sina shida na kina mama wanaofanya maamuzi yao kwenda kwenye makanisa ya fake pastors, ila nawaonea huruma sana watoto wanaopelekwa huko. Mtaji mkubwa wa makanisa mengi ya aina hii ni akili changa za watoto ambao bado hawajajua mengi kuhusu maisha na imani, hivyo huwa rahisi sana kuwajaza...
  9. M

    Wazazi wenzangu huwa tunaongea na watoto wakiwa bado tumboni ili kuwajenga namna tunataka wawe?

    Kuongea na mtoto aliye tumboni ni kitendo cha mzazi (hasa mama au baba) kuwasiliana na mtoto kabla hajazaliwa kwa kutumia sauti, nyimbo, kugusa tumbo na kumwambia kwa upendo kuwa wewe ni mama yake au baba yake, unampenda na unamsubiri, unataka aje kuwa mtoto wa aina gani au hata kusali naye nk...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Single Mothers wana haki ya kuwasiliana na Wazazi wenza. Kama hutaki ungeoa asiye na Watoto

    SINGLE MOTHERS WANAHAKI YA KUWASILIANA NA WAZAZI WENZA. KAMA HUTAKI UNGEOA ASIYE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Huyo mwanamke sio Wako peke yako. Hilo lifahamu. Sio wako peke yako kwa sababu ana mtoto na mwanaume mwingine. 2. Kabla yako alikuwepo mwanaume mwingine ambaye...
  11. M

    Msaada watoto kung'ata meno wakiwa wamelala

    Habari wakuu Naomba msaada wenu watoto wangu Kila ukifika usiku wakiwa wamelala hung'ata meno hili itakua ni tatizo Gani
  12. Think2

    Wazo la kuanzisha kituo cha kulea watoto wa single mother ili kuwapatia malezi ya baba ambayo wameyakosa kwa muda mrefu

    Kituo kitapokea watoto wote wasiokuwa na baba au wasioshi na baba zao kutokana na migogoro ya kifamilia tumepqnga kutatua changamoto ya kimalezi ili kunusuru maadili ya taifa ili kwa kuwapatia malezi ya baba ambayo wameyakosa kwa muda mrefu kwaio sisi tutaitwa baba zao walezi. Kwanini wazo...
  13. M

    Kuwa muwazi, Ndoa imekupa amani na furaha uliyotegemea au imekuwa agano la kuvumilia kwajili ya watoto, kuendana na jamii n.k ?

    Je, ndoa uliyoingia ukiwa na matumaini ya furaha na amani, ndiyo unayoishi leo? Au imekuwa safari ya kuvumilia tu kwa ajili ya watoto, heshima ya jamii, au kuonekana kuwa na ndoa rasmi?
  14. Miss Natafuta

    Wazazi tunaochapa watoto under 3 years tukutane hapa

    Wataalamu tunaomba mwongozo wa kudispline watoto maana waziri amecharuka huko. Kumbe tunafanya uhaini
  15. Mocumentary

    KERO: WATOTO KUFANYISHWA KAZI USIKU KAMA OMBAOMBA.

    Usiku huu maeneo ya Palm beach mataa kutokea Aga khan, watoto waili chini under 10, wanafanyishwa biashara na kuomba pesa huku wazazi wakiwa chini ya miavuli. Watoto wananyeeshewa na mvua baridi kali. Watoro ni wadogo kuna mmoja wa kike ni mdogo mno Serikali ustawi wa jamii ..
  16. Zack Abdul

    Ahadi za Ajira kwa Watoto: Mtego au Fursa?

    Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi #NeverAgain
  17. UTPC

    HOJA Kukithiri kwa Watoto kujihusisha na Betting, Wadau Watoa wito kwa Jamii

    Baada ya athari kubwa kuonekana katika familia, mke wa Joachim akamtaka aache michezo hiyo, jambo ambalo limeshindikana, na kwa sasa anacheza kwa kificho. “Hii michezo inashusha sana maendeleo, kwa sababu mwenzio anahitaji mfanye jambo fulani. Mnaweza mkakubaliana sawa, kwa sababu kuna pesa...
  18. M

    Kuna muda nahisi watoto wangu hawaijui hali halisi ya maisha naogopa wakija kuyajua ukubwani bila uangalizi watajifunza kwa maumivu na aibu

    Naanza kuona unapokuwa na uwezo usiwabweteshe sana watoto wakijua na kukariri maisha wanayoishi ni ya kawaida kwa kila mtu, sometimes ni bora kuwaonjesha kidogo maisha ya chini kwa uangalizi, yani maisha yawe balanced wayajue maisha ya chini na maisha unayoweza kuwapa, sio kuwakazia sana waishi...
  19. J

    SI KWELI Video watoto wakicheza kwenye kimbunga

Back
Top Bottom