watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini watanzania wana tabia ya kukomenti kwa maneno ya ovyo kwenye mitandao ya kijamii?

    Watanzania wengi wana kaushamba ka kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii. Sehemu Pekee wanacomment kwa adabu ni post za Vifo vya ajali hususan ajali za barabaran Lakini post nyingine zote wanatoa maneno ya chuki na roho mbaya Wenzetu ulaya wanacomment kwa adabu hâta kwa wale wacheza picha za...
  2. Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  3. Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  4. K

    Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel

    Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...
  5. Chalamila amefikia mwisho wa kufikiri: Eti Watanzania wahame Dar es Salaam yenye matatizo

    Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri. Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi. Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona...
  6. Watanzania Watakiwa Kuanza Kujiandaa Fursa SGR

    MOROGORO; Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Augustine Vuma ametoa rai kwa watanzania kuwa wajiandae kuanza kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi mara baada ya Treni ya Kisasa kuanzaia mapema 2024. Vuma ametoa rai hiyo wakati wa ziara ya wajumbe...
  7. Watanzania na serikali tuache unafiki

    Tunaona reaction ya watu kuhusu mauaji ya yule ndugu anayesemwa ameuawa na Hamas. Kile sio kitendo cha kibinadamu na cha kukemewa sana. Japo sasa kemeo linaweza kuwa halina impacts kwa sababu Hamas na Israel hawasikii chochote. Lakini kama kinachouma ni mauaji ya mwenzetu? Tulichukua hatua...
  8. Waziri Mchengerwa acha Kutudanganya Watanzania kuwa TAMISEMI imeoza sasa, kwani wenye Akili tunajua ilishaoza tokea 2005

    Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe anashirikiana na baadhi yao. Acha kutafuta Sifa kwa Wananchi kuwa leo hii una Huruma mno na Fedha za Watanzania...
  9. Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  10. F

    Rais Samia umesikitika kifo cha Emir wa Kuwait, lakini umenyamaza kuhusu vifo vya Watanzania

    Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel. Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi...
  11. Watanzania Joshua na Clemence walitekwa na Hamas au waliuawa na Hamas Oktoba 7?

    Maswali yetu na tafakuri yetu yaweza kuwa msaada kupata mwanga kuhusu vifo vya ndugu zetu wawili hawa wa Kitanzania. Tuanze na taarifa ya mwanzo ya mkasa huu wa hawa ndugu zetu hii hapa⤵️ Israel yawatambua Watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas 30 Oktoba 2023 Na Yusuf Jumah BBC Swahili...
  12. Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

    Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic. Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine. Hasira...
  13. Vifo vya watanzania wenzetu vyaacha maswali Mengi

    Vifo vya Watanzania wenzetu Joshua na Clemence vya acha maswali mengi yenye kuhitaji ufafanuzi toka pande zote nne:- 1. Serikali ya Tanzania 2. Serikali ya Israel 3. Serikali ya Palestine 4. Chama cha Hamas Kwa kuanza na taarifa rasmi ya mwanzo kabisa ya Israel kuhusu vijana wetu iliyo toka...
  14. Kwanini watanzania wanapenda ukuta na mageti?

    Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma. Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana. Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa uzio wa zege na machuma, ati ndio maisha ya kisasa! Kila mwenye hela lazima ajenge liukuta refu na...
  15. Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

    Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu. Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara. Kiukweli haivutii kutazama. Ni kama...
  16. R

    Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

    Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini. Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa. Wanadai wakiripoti...
  17. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba awataka Watanzania kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha zao na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani. Dkt. Nchemba aliyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizindua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ)...
  18. M

    Wivu wa mapenzi wazidi kuteketeza maisha ya Watanzania. Amuua mke wake kisa wivu

    Watu wawili akiwemo mke na mume wamekutwa wamefariki katika maeneo tofauti tofauti baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe na kumtupa eneo la Mafisa kwa Mambi na yeye kukutwa amejiua katika eneo la Bigwa Manispaa ya Morogoro. Akizungumzia tukio hilo lililotokea usiku wa kuamki leo, kamanda wa...
  19. Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

    Wanabodi Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya makanisa ya wakovu yanayojinasibu kufanya miujiza, kutoa mapepo, kutoa uchawi na kufanya miujiza ya...
  20. B

    Dkt. Mpango, Watanzania wana haki ya kujua viongozi wao walipo na wanachofanya

    Habari wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada. Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu huyu alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani mwezi mzima kwa mujibu ya vyanzo vya habari ikiwamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…