There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM
Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana.
Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres
Leo hii amesema ataandamana .Kisa tu hajapewe juisi za ikulu na anadai kuna dhuluma
Yajayo yanaogyofya,
Dunia nzima mwaka 2019 ilifanya Drill ya kupima utayari wa nchi kukabiliana wa virusi. Tanzania kama mojawapo ya nchi ilipuuzia kwa kiwango kikubwa Drill hio. Hali hii inafanya watanzania kutokuwa watiifu kwa mamlaka husika endapo watapewa tahadhari juu ya ujio wa janga...
Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo;
1. Viti maalum vibaki vile 10 vya Rais tu. Hivi vingine vifutwe.
2. Majimbo yapunguzwe. Majimbo 264 ni...
Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
Utangulizi.
Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa mwaka mzima mwishoni mwa mwaka.
Tangu kuundwa kwa chombo hiki mwezi Februari 2022 kimekuwa chombo...
Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa.
Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko.
Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI ameendelea kuteka na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapa kazi wake ulioleta mapinduzi ya kiutendaji ndani ya wizara hiyo inayogusa maisha ya mamilioni ya watanzania kila siku.
Ikumbukwe ya kuwa...
Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
Ni ukweli usiopingika kwamba Kampuni ya kalyanda ni kampuni iliyotapeli maelfu ya watanzania mtandaoni, lakini licha ya kufanya uhalififu huu mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali.
Hivi inaamana kwamba hawa wezi wa kalyanda wameshindwa kufahamika au hawatambuliki jibu ni...
Habari za uzima wakuu?
Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe.
Nikamuuliza wewe...
Naam kwa majina naitwa Selemani Sele.
Uzi huu ni mahususi kwa ajili ya magari na uchumi kwa kweli Tanzania kwenye uchumi hatujachangamka hata kidogo ndo maana tunaita magari ya 2014 New model . Nitaleta ushahidi wa gari aina mbili maarufu tuone ambayo ni Toyota Glanza na Toyota Rumion.
Toyota...
Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi.
Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku.
Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
Na nyie Wafanyabishara wa Singida kwanini hata kama mnataka Kugombea Ubunge ( wa Jimbo Moja ) msiwe Wasiri ( Wakimya ) na badala yake Mnapayuka hadi mnayemtishia Ubunge wake anajua na anaanza nae Kuwakomoeni Kimafia kama hivi?
Hata Mimi GENTAMYCINE nataka Kugombea Urais wa Tanzania lakini...
Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Ukiachana na sababu kuwa ni lugha ya peponi. Kuna sababu zingine lukuki za kujifunza lugha hii tukufu, kama zifuatazo.
أولًا وقبل كل شيء، تعتبر اللغة العربية لغة قرآنية، وهو الكتاب المقدس في الإسلام. لذا، يتيح لمن يتعلمها فهم القيم والعقائد التي تشكل أساس حياة المسلمين. هذا يفتح آفاقًا جديدة...
Zaidi ya Vitabu 100 vya masomo mbalimbali vimetolewa na Umoja wa Wazawa wa Kyela Mkoani Mbeya waishio ndani na Nje na Nchi, Kyela Ibasa Festival kwa ajili ya kuwawezesha Wanafunzi kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha nne kusoma kwa utulivu na kumaliza mada zote kwa wakati ili kujiandaa na...
Bandugu,
Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
Umoja ni nguvu na changamoto na shida ni chachu ya kuleta umoja wenye nguvu.
Maisha magumu sana sana na mpango huu wa bima kwa wote ndio ccm na serikali yao ya kidhalimu itajua haiju dadadeki kudadedeki acha vita ije haraka.
Wakati wa kuukataa upumbavu ushafika.
Tusubiri yajayo yana heri
Wadiz
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.