watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Tanzania ilipocheza na Zambia kinafiki Mayele wenu alijifanya kutupa moyo watanzania, haya mwambieni atutie moyo tena dhidi yao kesho

    Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
  2. R

    Watanzania panapotokea majanga tujali sana kuokoa nafsi zetu kuliko mali; uhai haitafutwi ila Mali zinatafutwa. Poleni kwa mafuriko

    Nimeangalia clip mbalimbali zinazosambaa kuhusu hali ya majanga yanayotokana na mvua nchini Ukiangalia clip na kuangalia maneno yanayotolewa na wahanga yanalenga zaidi kuzifuatilia mali na kusahau uhai wao. Nimeona watu wanasikitika kupoteza nyumba lakini wanaporekodiwa wanakuwa bado wapo...
  3. PreGE2025 Waraka wa Mbunge Luhaga Mpina kwa Watanzania: Tumeonewa kiasi cha kutosha sasa tunataka Mapinduzi ili tusionewe tena

    SALAMU ZA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWENYE KILELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UWANJA WA NEW AMAAN COMPLEX ZANZIBAR TAREHE 12 JANUARI 2024 1. UTANGULIZI Ndugu Wanahabari, Asanteni sana kwa nafasi...
  4. CHADEMA tambueni Makonda kupita mule alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

    Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa. Raia wanyonge...
  5. TCRA yawataka Watanzania kutotumia huduma za mawasiliano ambazo hazijaidhinishwa na mamlaka hiyo

    Tamko linasema hivi: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu Umma kuwa utoaji wa huduma za mawasiliano, zikiwemo huduma za usalama mtandaoni (cybersecurity services), intaneti, na vituo vya kutunzia data (data centres), katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila kuwa na...
  6. PreGE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  7. Hivi kuna raia wanajivunia kuwa Watanzania?

    Kwenye nchi hii iliyojaa laana kuna raia wanajivunia kua Watanzania? Kwa nionavyo nchi hii wanaojivunia kua watanzania ni wale wanaokula keki ya taifa tu. Binafsi sijivunii kua mtanzania na nikipata nafasi naukana huu uraia uliojaa laana. Tuambiane ukweli wakuu je unajivunia kua mtanzania...
  8. Serikali iongeze bei ya energy drinks ili kunusuru maisha ya Watanzania

    Wasalaam wana jamiiforum Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji. Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza. Nimewaza...
  9. Watanzania wengi ni wachawi na waganga: Ukizama wanakufariji, ukiinuka wanakushambulia

    Ukiwa na madhila utapata watu wengi sana wa kukushauri na kukupa nasaha. Wengine watajifanya motivational speakers huku wakikupa usia wa mambo kadhaa ya kubumba. Baadhi watajitutumua na kujifaragua kwamba wanakujali sana, ati wako tayari hata kufunga novena. Lakini ukiwaambia nina milioni...
  10. 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  11. FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  12. Sakata la Kenya Airways na Air Tanzania: Anayeathirika ni Air Tanzania

    Eti wanapiga stop Kenya Airways kwa jeuri gani wakati kila siku mko huko kujikomba? Msichokijua labda Kenya Airways ni mbia wa KLM-Air France kuizuia kutua Dar/Tanzania kunaathiri KLM-Air France pia, hivyo hakuna kitu hapo. Kenya Airways itatua Dar na biti la Air Tanzania Kenya litabakia kwani...
  13. Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

    Anaandika Kenge Kwanini mawazo ya biashara hasa kwa sisi fresh youth yanafanana sana? yani ukikamata vijana kumi wa kibongo ukawapa mtaji ukawaambia fanya biashara..Watakimbilia kufungua duka Kuuza la Nguo Kuuza Viatu Kuuza simu,charger,Makava kufuga kuku kuuza Nafaka KUuza...
  14. Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

    Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni...
  15. PreGE2025 Kumbe Mbowe na CHADEMA yake asipolamba asali anakuwa anajifanya ana uchungu na mali za Watanzania

    Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana. Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres Leo hii amesema ataandamana .Kisa tu hajapewe juisi za ikulu na anadai kuna dhuluma
  16. Watanzania tubadilike tulifeli pakubwa kwenye drill ya UVIKO-19

    Yajayo yanaogyofya, Dunia nzima mwaka 2019 ilifanya Drill ya kupima utayari wa nchi kukabiliana wa virusi. Tanzania kama mojawapo ya nchi ilipuuzia kwa kiwango kikubwa Drill hio. Hali hii inafanya watanzania kutokuwa watiifu kwa mamlaka husika endapo watapewa tahadhari juu ya ujio wa janga...
  17. Watanzania tunataka bunge la aina gani? Tujadili

    Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo; 1. Viti maalum vibaki vile 10 vya Rais tu. Hivi vingine vifutwe. 2. Majimbo yapunguzwe. Majimbo 264 ni...
  18. TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  19. Dorothy Semu: Mwaka 2024 tutapigania maisha ya heshima kwa Watanzania wanyonge

    Utangulizi. Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa mwaka mzima mwishoni mwa mwaka. Tangu kuundwa kwa chombo hiki mwezi Februari 2022 kimekuwa chombo...
  20. Nawashangaa Watanzania wanaoshangaa kusikia Sadio Mane kamuoa girlfriend wake wa muda mrefu mwenye umri wa miaka 18

    Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa. Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko. Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…