watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PreGE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

    Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi. Kuna mambo hayahitaji...
  2. Wizara ya Afya: Watanzania Milioni 32 wamepata Chanjo ya COVID-19

    Watu Milioni 32 sawa na asilimia 53 ya watanzania wakamilisha chanjo dhidi ya Uviko-19 WIZARA ya Afya imesema kuwa hadi kufikia Desemba mwaka jana jumla ya watu Milioni 32.5 ambao ni sawa na asilimia 53 ya watanzania wote wamekamilisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19. Hayo yalibainishwa...
  3. S

    Asilimia kubwa ya Watanzania wanajua usafi wa mwili na mazingira yao ila wengi ni wachafu na wasio na kinyaa kabisa!

    Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa. Watanzania wengi usafi wanaojua ni ule wa kuoga, kufua, kudeki na kufagia mazingira yanayozunguka nyumba...
  4. M

    Nimegundua migogoro mingi inayopelekea watu kujazana mahakamani au mamlaka nyingine za kutoa maamuzi inaepukika

    Wana jamvi, ni siku nyingine tena natumai muwazima kama nilivyo mimi leo, na kama ni hivyo.. basi Mungu ashukuriwe. Kitaaluma ni mwanasheria.. kwa mujibu wa utafiti wangu usio rasmi, kwa kipindi cha "miaka 11" yaani toka 2013 hadi leo hii 2024, nilioufanya kwa kipindi ambacho nilikuwa mafunzo...
  5. G

    Kutengeneza Dola mtandaoni: Ni kweli kuna Watanzania wanapiga kazi zenye mkwanja online na wamefanya ziwe ajira rasmi?

    Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +. kazi ziwe...
  6. Kwanini siku hizi Watanzania wanafichwa taarifa za vifo vya majanga hasa ikihusisha taasisi zingine muhimu?

    Kama mvua kubwa yoyote iliyopiga Mkoani kwako (uliko) haukuleta madhara yoyote mshukuru sana Mwenyezi Mungu. Ila kwa sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro Mvua ya Jumamosi kuamkia Jumapili imeleta madhara makubwa mno kiasi kwamba wanavijiji Wenzetu kama 40 hivi na wana Taasisi Muhimu 11 bado...
  7. Watanzania walioonesha uvumilivu wa kisiasa nchini

    Sisemi kwamba ni wakamilifu, lakini kwa matendo yao, wameonesha kuwa wanao uvumilivu mkubwa wa kisiasa, na hivyo ni sahihi au ilikuwa sahihi kwa wao kushika nafasi kubwa za kisiasa nchini. Miongoni mwao ni hawa wafuatao: 1. Mzee Ally Hassan Mwinyi 2. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete 3. Freeman...
  8. Watanzania ni wasahaulifu au wana mioyoni ya kipekee?

    Kwa matukio yaliyowahi kuibuka na kusababisha hasira kwa wengi, lakini baada ya muda hali ikawa kimya, inaweza ikawa ni ishara kuwa Watanzania ni watu wa kipekee sana. Ama ni wasahaulifu au wana mioyo ya kipekee ya kusamehe au kupuuzia mambo. Nitatoa mifano michache. Serikali ilipoamua...
  9. F

    Kwanini Watanzania wamekubali kudanganywa kwamba kuna Elimu ya bure?

    Kuna msemo kwamba, " to every decision you make there is a price to pay or consequences"! Kwamba katika kila uamuzi ufanyao kuna gharama utakazolipa au athari zitakazo jitokeza. Suala la elimu kwa watoto wetu hapa Tanzania linafanyiwa mzaha sana na wazazi walio wengi na hata viongozi...
  10. Swali shirikishi kwa watanzania

    Wasalaam, wote tumeshuhudia ziara za makonda akizunguka nchi zima na kutoa maagizo yasiotekelezeka ambayo kimsingi maagizo yalipaswa kutolewa na rais au waziri mkuu. Swali langu ni kwamba je bajeti ya pesa anazotumia bwana huyu ni kodi za watanzania au ni pesa za ccm? maana kama CCM waliweza...
  11. N

    Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
  12. Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

    Tutanyanyaswa hadi akili itukae. Tutanyanyaswa hadi tujitambue. Tutanynyaswa hadi Elimu itakapotusaidia. Nchi iko gizani tuko kimya. Kazi maofisini zinafanyika kwa kudra ya Tanesco, wakiamua wanakata, au wakupe umeme kwa muda wao. Tuna Rais ambaye hakemei huu ujinga, hachukui hatua za...
  13. C

    PreGE2025 Tanzania tunaongozwa na Watanzania? Yanayotokea ni bahati mbaya? Asante CDF

    Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini). Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo...
  14. Wanafunzi 56,149 Wamepata Disivion 0 Kidato cha 4, zaidi ya Laki 2 wamepata Division 4

    Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0. Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
  15. Watanzania wengi ni wanafiki sana

    Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima. Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa...
  16. Miili ya Watanzania waliofariki Septemba 2023 kurejeshwa nchini kesho Januari 25, 2024

    MIILI ya Watanzania watatu waliofariki dunia Septemba mwaka jana, kwenye ajali ya moto Afrika Kusini, inatarajiwa kurejeshwa kesho nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwana, Watanzania hao waliopoteza maisha ni Said Mohames Kisarazo...
  17. Watanzania Intelligence haiwahusu?

    Hivi ni kwa nini karibia kila intelligent and high IQ black man hapa Tanzania watasema siyo Mtanzania? Je, sifa ya utanzagiza ni low IQ , underachieving, low self esteem and backwardness? Kila black man anayefanya vizuri watamzushia Mkenya, utasikia mrwanda mara hata kongo, kwa nini ? kwa ninj...
  18. Kauli Tata ya Mkuu wa Majeshi kwa Wakimbizi

    Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi? Wakimbizi wakishakua raia by...
  19. Rais Samia jukumu la kuwafanya Watanzania wakukumbuke kwa wema lipo mikononi mwako

    Awali ya yote Rais Samia Suluhu Hassan nikupongeze kwa kibarua kizito ulicho nacho cha kuhakikisha Tanzania na Watanzania tunapata maisha bora. Wapo wanao kubedha, wapo wanao kukejeli, lakini tupo tunao kupenda kwa dhati ambao ukizungumza sauti yako inapenya hadi ndani uvunguni mwa mioyo yetu...
  20. C

    PreGE2025 Kwanini suala la uraia wa Watanzania wageni waliopo Serikalini linatokea sasa wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi?

    Je, 1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania? 2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania? 3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…