watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Misafara ya Makonda ya gharama kubwa wakati Watanzania maisha magumu ni unyama kwa maskini. Isitishwe!

    Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara wa CCM, nani kuruhusu hilo? Billioni zaidi ya 3 zilizoteketea katika ajali ya kizembe ya Makonda na...
  2. Buriani Edward Lowassa, Rais wa mioyo ya Watanzania

    Sitasahau Mei 2015 uwanja mzima wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ukiimba "Lowassa Lowassa, Lowassa Lowassa, sitasahau ile picha Dr. Emmanuel Nchimbi na wengi wa wanachama wa CCM wakiimba "Tuna imani na Lowassa" kwenye mkutano wa NEC 2015. Kipindi cha mchujo hakijanitoka akilini, Edward Lowassa...
  3. S

    Watanzania wamejaa matatizo, hivyo yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata kama watu walivyomfuata Yesu, Babu wa Loliondo. Sasa Mwamposa na Makonda

    Ukiacha matatizo ya kiafya(magonjwa, n.k), watanzania wana matatizo mengi huku wakiwa wamepoteza matumaini ya matatizo yao kutatuliwa na mfumo huu mbovu wa kiutawala tulionao. hivyo, yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata mradi tu awe na mamlaka na zaidi awe na kipaji cha kuigiza mbele ya...
  4. Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Ndicho nachoweza kusema, machozi ya Watanzania kuhusu kero mbalimbali kwa sasa hayana mtu wa kuyafuta. Sio watawala, sio wapinzani, sio taasisi za kidini Wala yeyote yule. Watanzania tunapigwa bakora za ukosefu wa maji ya uhakika,kupanda kwa gharama za maisha(sukari) kupanda kwa bei za vifurushi...
  5. Naamini Watanzania walioitazama filamu ya Royal Tour hawafiki elfu 10

    Niko Dar es salaam hapa tangu Royal Tour itoke. Sijawahi kusikia mtu yeyote au kikundi cha watu mtaani wakihadithia filamu ya Royal Tour. Mimi mwenyewe sijawahi kuiona, only kwenye vi clip vya sekunde 30 ndani ya safari channel ndo naviona. Nilijaribu kuwauliza vijana wenzangu kazini kama...
  6. Zamaradi Mketema: Watanzania tulirogwa na nani?

    Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema, "Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote...
  7. Pamoja na mapungufu yanayosemwa na "CCM ya Makonda", CCM imefanya mengi kipindi cha Samia. Kwanini Makonda hajikiti kuyaeleza mbele ya watanzania?

    Kuna jambo linatia tafakari kidogo, CCM pamoja na awamu ya sita, kwa kweli wamefanya mengi sana ya kimaendeleo. Ili kuitendea haki CCM na uongozi wa serikali, lazima yasemwe mikutanoni. Hii ya kutembea na kuaminisha watu kwamba hakuna lililofanyika nadhani si sahihi. Unaita mtumishi mmoja, ana...
  8. Tanesco ndio wenye nguvu za giza! Wanga! wajiwawangia watanzania

  9. Huu ndio utafiti wa TASAF kuhusu maisha ya Watanzania

    Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana ! Kailoga bila huruma kabisa !
  10. B

    Watanzania Waliamini Chini ya Rais Samia Tanzania inatang'aa lakini wamevunjika moyo

    Ni kawaida na Maadili ya Binadamu wote duniani kuamini Penye Mama hapakosi neno. Hata ktk ngazi ya Familia ukirudi nyumbani ukamkuta Baba na aliyerudi nyumbani akamkuta Mama basi Rewards zinakuwa tofauti Hii ni kutokana kwamba Mama anaupendo kwa wanawe ule wa Asili, Agape Love. Hata Mwana...
  11. Watanzania wahimizwa kuwekeza kwenye viwanda vya maziwa kulingana na malighafi zilizopo katika maeneo yao

    Serikali imetoa wito kwa Watanzania kuwekeza zaidi katika viwanda vya maziwa nchini kutokana na kutolewa kwa kodi nyingi katika viwanda vya bidhaa hiyo pamoja na kuwepo kwa soko la ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe Februari 7, 2024...
  12. Watanzania acheni roho mbaya kuhusu Zuchu na mziki wake, embu mwambieni ukweli

    Acheni roho mbaya bali semeni ukweli. Kwa Sasa Tanzania na East Africa hatuna msanii wa Maana kama Zuchu, bidada anajua kwa kweli sijui hawa wakina Nandy, Nadia Mukami na wasanii wengine wa kike ambao mnawapa maua ya uongo na ukweli wamepigwa gap sana na Zuchu tena kubwa kuanzia uandishi, sauti...
  13. Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na ustaarabu katika kuongea

    Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga...
  14. Ukweli usiopingika: Miaka 47 tangu CCM izaliwe lakini haijatendea haki watanzania kwa kuleta maendeleo stahiki.

    Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo. Angalia madini kama Tanzanite, almas na hata ruby pia Alexandrite. Madini haya yanatosha kabisa kuwa chanzo cha mapato kwa taifa...
  15. Mtoto Alhaji wa Makonda anawakilisha kundi kubwa kwa mamilioni ya watanzania.

    Naanza kwa kuwachana watanzania wenzetu hasa makundi haya muhimu . 1. Wabunge wanaojiongezea malipo yasiyo na uhusiano na Hali halisi ya watanzania 2. Viongozi kama mawaziri na makatibu wakuu mnaotumia nafasi zenu hadi kutuhumiwa kununua majumba Dubai na Africa ya kusini, mikocheni nk 3...
  16. Kwetu sisi watanzania maji na umeme havina umuhimu wowote ule. Sisi wananchi tumesema

    Sisi wananchi Watanzania kwa kauli moja tunasema" Tunapenda tuendelee kuishi hivi hivi miaka yote" Maisha ya sasa tunayoishi bila umeme wa uhakika wala maji ndio maishi bora kwetu. Huo umeme, maji kwetu hauna umuhimu wowote kazi zetu wala hata hazihitaji kabisa matumizi ya umeme wala maji...
  17. Mbunge Martha Mariki, Najma Murtaza na Rose Tweve Waibana Serikali Bungeni Kutoa Elimu kwa Watanzania Wasiojua Kusoma na Kuandika

    MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA "Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa Serikali wa kuhakikisha tunatenga bajeti kwenda kuhudumia watanzania ambao wanapata elimu kwenye...
  18. Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

    Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24..... Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii? Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto...
  19. Jinsi Artificial Intelligence Inavyowasaidia Watanzania Kufanikiwa

    Kila siku, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kukua, ndivyo inavyoleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Watanzania pia wanafaidika na maendeleo haya, ambayo yanabadilisha njia tunavyofanya kazi, kufikiria, na kutatua matatizo. Moja ya maeneo ambayo AI...
  20. G

    Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

    UZI UMEFUNGWA >> Kuna ushahidi usio na shaka kwamba ni kweli vitabu vinahusu mmonyoko wa maadili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…