watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. LHRC kuna viongozi Watanzania?

    Na David Maphone Niko bize kwa siku kadhaa sasa nikijipa kibarua cha kusaka taarifa za mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania ili kuona wametekeleza kwa kiwango gani jukumu lao la msingi kwenye kipindi hiki kigumu cha ugojwa hatari wa Corona ( COVID 19). Watanzania walio wengi...
  2. Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

    Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
  3. Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  4. Watanzania ni wanafiki sana na ndumilakuwili

    CHADEMA walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi. Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na...
  5. Tundu Lissu anaichukia Tanzania haipendi Tanzania hawapendi watanzania anaiombea mabaya nchi yetu

    Anahamasisha Vita kila anakopita anasema damu itamwagika Anahubiri vita kila anakopita anataka hata watanzania wanyonge wauae kwa vita Anahubiri nchi yetu iwekewe vikwazo vya kiuchumi bila kujua watakaoumia ni watanzania wa Chini ndugu zake wa Singida watakosa madawa Huyu mtu ni hatari sana
  6. J

    Kenya confirms first case of Corona Virus

    Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya. Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote. Shule hazitafungwa kwa sasa Mipaka yote kudhibitiwa. ------ The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country. Health CS Mutahi Kagwe...
  7. Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefungua mjadala wa Bunge kufanya mabadiliko ya katiba yanayoweza kumruhusu kukaa madarakani mpaka mwaka 2036. Hata hivyo katika hotuba yake amesema, angependa kuwepo ukomo wa mihula ya Urais nchi ikishakomaa kisiasa. =================== (MOSCOW) — Russian...
  8. K

    Watanzania wanaweza kuufanya huu muujiza, halafu tuone vioja?

    Tuseme itakuwepo tume huru ya uchaguzi, na uchaguzi uwe huru na wa haki bila ya mizengwe yoyote. - Wananchi kwa ridhaa yao wenyewe waamue kumrudisha Magufuli katika urais, kwa kura za kutosha, (sio za kishindo, <70%) - WaTanzania wachague wabunge wengi toka vyama vya upinzani (>80%) - why not...
  9. Je, haya Mapungufu ya utoaji sahihi wa Taarifa muhimu kati ya Mainstream Media na Social Media yana Tija gani kwa Watanzania?

    Ukipitia Vyombo vya Habari kama Clouds tv na Mwananchi bila kusahau na vinginevyo vichache utaona wameandika kuwa akina Mbowe na Wenzake wameshindwa Kulipa Faini leo Mahakamani katika muda uliopangwa na wameenda Segerea wakimaanisha Kuanza Vifungo vyao . (Mainstream Media) Lakini hapo hapo tena...
  10. Corona Virus: Watanzania hawata wasamehe ugonjwa huu ukifika nchini

    Katika harakati zangu nimezunguka viwanja vya ndege vitatu vinavyopokea sana wageni toka nje, hali niliyoikuta Mungu atusaidie. In short, kinachosemwa na viongozi na yanayotendeka huko ni mbingu na ardhi. Nimeshuhudia raia zaidi ya 200 kutoka Uchina wakipita airport bila kupimwa wala kukaguliwa...
  11. A

    Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

    "Mimi sikuchaguliwa na watanzania ili niifanye Ikulu kuwa Pango la wanyanganyi" Pili naomba tujadili hali ya ikulu yetu, je ni pango la wanyanganyi au ni mahali patakatifu?
  12. M

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  13. Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  14. J

    80% ya Watanzania waliokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa sahihi, kizazi cha Upinzani wa kweli bado hakijazaliwa

    Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli". Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu...
  15. S

    Benki ya Dunia: Zaidi ya dola milioni 680 zimewekwa na watanzania katika mabenki ya kigeni kutokana na kuongezeka kwa mikopo na misaada kutoka nje

    Ni Zitto akinukuu utafiti wa wataalamu wa Benki ya Dunia kupitia twitter: Utafiti wa Wataalamu wa Benki ya Dunia (World Bank Chief Economist) umeonyesha kuwa zaidi ya Dola za Marekani 680 milioni zimewekwa kwenye Benki za kigeni na Watanzania kutokana na kuongezeka kwa misaada na mikopo kutoka...
  16. RPC Lindi Watanzania wanaomba tamko lako, uhujumu uchumi waendelea huko Lindi

    Jamani tunaomba muendelezo wa Yale matamko ya uhujumu uchumi yaendelee huko Lindi leo wafanyakazi wa Azam media walishindwa kufanyakazi na kuchelewa safari yao kutokana na barabara ya wilaya ya Ruangwa kuwa na makorongo, tope, sasa naomba wale makamanda wa matamko mkuje huku haraka video hii kwa...
  17. Dkt. Albina Chuwa, Kauli yako kuhusu kupungua kwa umaskini ni kejeli kwa Watanzania

    Amesema Dkt Albina Chuwa Mkurugenzi wa Takwimu. ameyaongea juzi tarehe 17/ 02/ 2020, Ninamnukuu; “Hali ya umaskini wa kipato hapa nchini Mwaka 1991-92 ulikuwa Asilimia 39, 2007 umaskini ulikuwa asilimia 34, 2012 Asilimia 28.4 na 2018 hali ya umaskini likuwa 26.4, kasi ya kupungua umaskini hapa...
  18. Natamani Watanzania wengi tuwe kama Rugemalira

    Najua kuna ambao watashangaa ninachotaka kusema hapa. Namzungumzia mtu anayeitwa Rugemalira wa Escrow. Huyu ni mmoja kati ya matajiri wa nchi hii ambao historia ya utajiri wao iko wazi. Ni mtu ambaye pamoja na serikali kutaka kumfanya aonekane ni muhalifu, uwezo na ushawishi wake katika kufikia...
  19. Balozi Mbelwa Kairuki: Mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi ya Corona

    Leo Februari 11, 2020 Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amezungumza kuhusu video inayowaonesha vijana wa Kitanzania wanaosoma China wakiomba msaada wa kurejeshwa makwao. Balozi ameeleza kuwa mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi hayo kutokana na kufuata...
  20. Hivi ni kwanini Watanzania wanapenda sana kupiga?

    Je, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…