watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Watanzania wanashangaza Sana; hawataki kujiingiza kwenye Siasa halafu wanalaumu Wanasiasa!

    Kwema Wakuu! Napenda Siasa Kwa sababu ni mchezo wa wenye wajanja. Napenda Biashara Kwa sababu ni mchezo wa wenye bahati, napenda Fasihi na Falsafa Kwa sababu ni uwanja wa Akili na hekima. Napenda sheria Kwa sababu ni mto ubebao Haki na Dhulma. Itoshe! Watanzania wengi ni watu wa ajabu Sana...
  2. Lord Denning

    Ujinga na Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania

    Bado nasema na nitasema daima , kati ya jambo ambalo bado serikali imefeli kupambana nalo ni ujinga na ushamba na ukitaka kuona nchi hii wajinga ni wengi sana basi fuatilia mijadala ya humu JF Leo Mama Samia kafanya kikao na wafanyabiashara wa Oman na ameelezea fursa ya kusafirisha wanyama hai...
  3. wanzagitalewa

    Tsh Bilioni 100 za Rais kila mwezi kwenye mafuta ni neema kwa Watanzania

    Na John Mwakanga, Mbeya Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi. Juni 10...
  4. GENTAMYCINE

    Mnaacha kutuletea Maendeleo Watanzania kazi yenu kutwa ni kutishia tu wasema ukweli au watoa taarifa sahihi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua.. Chanzo: Dar Mpya Blog Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha...
  5. Corticopontine

    Wakati wa Magufuli utiaji saini mikataba mikubwa kama LNG, kungekuwa na wawakilishi wa makundi yote

    Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk. Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi.
  6. Bata Boy Official

    Ni sehemu ipi NAIROBI wanaishi watanzania wengi?

    Habari wakuu? Naomba kujuzwa kuwa ni sehemu ipi Nairobi Kenya wanakoishi/wanakofanya biashara Watanzania wengi? Kama ukitaja na majina ya labda maduka/hoteli/baa/Club zinazomilikiwa na watanzania itasaidia pia. Natanguliza shukurani
  7. Roving Journalist

    Waziri Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa

    Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi. Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
  8. R

    Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

    Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
  9. senkoP

    Watanzania nani ameturoga?

    Jamani mimi huwa nashangaa sana mara nyingi nikiingia kwenye mitandao ya kijamii hususani Facebook WhatsApp na Twitter utakuta mtu kaandika mambo ya ajabu ajabu tena matusi yaani utakuta like kibao na comments zaidi ya 5mil. Lakini tena utakuta mtu kaandika mambo muhimu labda ya kuelimisha...
  10. M

    Ikumbukwe kuwa Tume ya Uchaguzi na Wakurugenzi ni watu, wakidhibitiwa 2025 hili genge linalowadharau Watanzania halishindi uchaguzi kwa namna yoyote

    CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau. Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana. Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa...
  11. B

    BOT - Ruksa sasa Watanzania kununua hati fungani ktk nchi za SADC / kufungua akaunti kwa hela ya kigeni

    BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI New Foreign Exchange Regulations Issued Set foreign exchange limits for travelers Restrictions for residents to maintain bank...
  12. K

    Serikali iweke mazingira ya watanzania kununua hisa kwenye mradi wa LNG

    Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku ikusubiri faida na kodi tu,, tuseme hapana lazima watanzania waweze kumilikishwa asilimia 20 % za...
  13. S

    Wana-Kagera, bila kubadilika na kukubali kuwa Kagera ni ya Watanzania wote, mtabaki kama mlivyo

    Nasema hivyo kwa sababu makao makuu ya mkoa na wilaya zake yanasikitisha! Kila mradi wa serkali bukoba lazima uwe na ubishani na ujuaji unaosababisha kuchelewesha mradi! mfano ujenzi wa stendi mpya hadi sasa bado haujaanza ukiulizia sababu za msingi hamna! Ukabila na ubaguzi kwa wageni...
  14. A

    Waziri chengerwa awadhihirishia Watanzania kuwa; kero za Wizara ya Utamaduni na Michezo zinaenda kuisha kupitia bajeti yake ya 2022/23

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4 Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni jijini Dodoma Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 8.2 ni Mishahara...
  15. P

    Serengeti Girls mmetuheshimisha sana Watanzania, pokeeni pongezi za dhati kabisa

    Serengeti Girls wanakwenda India kucheza kombe la dunia na ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania. Bravo sana makocha, bravo wachezaji wote mliopambana mpaka kupata ushindi wa kishindo wa magoli 5-1 tena ugenini dhidi ya timu yenye uzoefu mkubwa ya hadhi ya Cameroon, Mmefuta aibu ya...
  16. R

    Uhuru wa kujieleza ni Gololi mpya kwa Watanzania. Watanzania ni wale wale tu

    Miaka ya nyuma sana nchi yetu ilikuwa na vitu vya thamani sana kama madini ambavyo vilikuwa vinapatikana kwa Urahisi sana bila kutumia nguvu sana kama ilivyo sasa. Inasemekana watu wa Mataifa ya nje walikuwa wakija wanashangaa kuona watu wanachezea dhahabu huku wenyewe wanaitafuta sana, hivyo...
  17. Escrowseal1

    Watanzania kwa pamoja tuzilinde rasilimali zetu za nchi kwa pamoja na kwa wivu mkubwa sana

    Afrika ni bara vulnerable sana linapokuja suala la rasilimali zake. Sababu ni kutokana na viongozi wasiokuwa na uadirifu na kutokuwa na uzarendo. Leo nimekutana na waraka wa serikali unaoruhusu uuzwaji wa wanyamapori. kwa u vulnerable ule ule ni lazima hii iwe work up call kwani serikali...
  18. S

    Lazaro Nyalandu: Watanzania sasa wameunganishwa, hapa katikati tuligawanywa

    Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu). Wazee wa legacy mpo? Wengi wanamsema mungu wenu. * Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe. " Zitto...
  19. Mr Dudumizi

    Watanzania tusipomshukuru Nyerere kwa hili tutapata laana

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, ningependa nielekee kwenye mada husika. Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, katika pita pita yangu ya kutafuta ugali wangu, nimefanikiwa kukutana na watu mbali mbali waliotoka katika nchi mbali mbali za Africa na nje ya Africa. Hakika...
  20. J

    Bei ya Petrol: Watanzania wengi wanabadilisha mifumo ya magari yao na kutumia gesi asilia

    Watanzania wengi wanabadilisha mifumo ya magari yao na kutoka kwenye Petrol engine na kuweka mifumo ya gesi asilia. Sababu kubwa ya marekebisho hayo ni kutotabirika kwa bei ya Petrol Source: BBC Dira ya Dunia.
Back
Top Bottom