There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
UTANGULIZI
Watanzania tunasifika kwa upole na ukarimu. Hizi sifa na nyinginezo hazikuja bure. Waasisi wa Taifa hili walitumia mbinu nyingi kutujengea sifa hizi za kiungwana. Moja ya mbinu hizo ni kuhimiza matumizi ya lugha ya Kiswahili ambayo imetujengea utamaduni huo hadi leo.
Hata hivyo...
Ndugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,.
Mama alikuta watanzania wengine wakijihisi kuwa hawana nafasi katika ujenzi wa nchi hii, wakijihisi kutengwa, ilifika muda maeneo...
Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na...
Hii tabia ya kucheza na muda tusipoiacha tutaendelea kuwa miongoni mwa nchi masikini tu. Hatujali kabisa muda. Ukienda kwenye taasisi za serikali unawekwa benchi bila sababu ya msingi kabisa kwa huduma ndogo tu ambayo ungeipata haraka ukarudi kwenye shughuli za kujenga uchumi wa nchi.
Natoa...
Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila
Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
Leo ilikuwa kilele Cha siku ya mwananchi, kiukweli ukiangalia namna mabango yalivyokuwa yamepambwa na picha za mh Rais wetu kipenzi mama Samia Suluhu Hassan na namna yalivyokuwa yanaleta shangwe, unagundua kuwa mama Samia anaishi katika mioyo ya watanzania walio wengi sana nikiwemo Mimi ambaye...
Kupitia ukurasa rasmi wa Dstv huko Instagram, wananchi wengi ambao ni wateja wa Dstv wameomba kupunguziwa gharama hasa kwenye vifurushi kutokana na ukali wa maisha.
Wengine wakaenda nbali zaidi, kuwa wanatumia king'amuzi cha Canal hivyo hawako tayari kunyonywa na gharama kubwa za Dstv.
Wakati...
Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja.
Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi michache tokea Rais Samia achukie madaraka.
Alianza kuupiga mwingi hadi tukawa tunajifia mitandao kwa...
Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022:
Ndunguru ashinda
Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6.
Mtu kachapika TKO...
Hatuendelei kwa sababu ya kutaka kila mtu apitie yale magumu wewe ambayo uliyapitia.
Inatokea mmekutana ndugu mfano wa tumbo moja basi mmoja ataanza kujieleza" we me nimepitia maisha magumu nyinyi sahivi mnakulia raha. " Baadae mwingine atasema Baba alikuwa mkali sahv nyinyi anawalegezea...
Maktaba ni jengo au sehem yenye mkusanyiko wa vitabu majarida magazeti, tamani, kumbukumu mbalimbali nk vilivyopo kwenye mfumo wa ki electroniki au vilivyochapwa(printed), vyenye tarifa zinazo elimisha na kuburudisha maktaba huwa na rasilimali za kiada na ziada.
Kuna aina tofauti za maktaba...
Wasiokuwa na upepo mzuri kwa kiongozi mkuu wote watasafishwa.
Kuna mkakati mkubwa na wenye nia ya kuhakikisha watanzania wanapata tabu ya kuumizwa baadq ya mwaka 2025.
Ni wazi kuwa watanzania wanaumia maana kiongozi aliyewatetea hayupo.
Kilichobakia ni kuwepo kwa mikakati ya kuweka mtandao...
Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo...
Kumekuwa na tabia ya ajabu sana kwa baadhi ya Watanzania hasa wa Dar.
Baadhi wamekuwa wakipiga picha za ngono na baadae kumtumia Mbibi mmoja ambaye kazi yake ni kutangaza tu kuwa kuna watu wamechafua hali ya hewa.
Baadhi wamekuwa wakifanya maigizo na kutuma picha hizo ili wapate mgao na sijui...
Shujaa mashuhuri na kiongozi wa kijeshi na wa kisiasa nchini Ufaransa baada ya mapinduzi ya Kifaransa ,Napoleon Bonapatre aliwahi kutamka maneno haya;
"The world suffers a lot. Not because the violence of bad people, but because of the silence of the good people.”
Akimaanisha kwamba "Dunia...
Watu hasa watumishi kwa miaka ya nyuma serikali ilitumia kazi maalumu na kuwapa posho kwa dm ili kuongeza motisha na tija na uhakika wa kazi bora kwani ni rahisi kudhibiti utendaji wao.
Kwa kile kinachoonekana nia ya Viongozi wa serikali kuzidi kuchonganisha Raisi na kila kundi baada ya ahadi...
Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili!
Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi?
Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha...
Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza ikiwa ghafi kama inavyofanyika kwa kiasi kikubwa hivi sasa.
Taarifa kutoka Kituo cha uwekezaji...
Shikamoo Rais Samia
Huyu Kingai anaenda kutumaliza, visasi vingi na atahakikisha wabaye wake wanakipata cha mtemakuni.
Kingai haijui hata PGO, atakuwaje Mkurugenzi wa Upelelezi? Twafwa.
Kesi dhidi ya Mbowe ya Ugaidi, nilitegemea imfumbue macho Rais ili ajue waliomzunguka. Naamini rais...
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 10 basi robo tatu ya watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.