watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Viongozi wanapotaka watanzania wapambanie katiba mpya, wanatakiwa kupambana na nani?

    Japokuwa kauli ya Makamu wa Rais baadhi ya watanzania hasa wanaharakati wanaiona kama ni kauli ya kishujaa na kuwahamasisha wananchi wanaodai katiba mpya kutokata tamaa Hata hivyo ni kauli yenye mashaka na inayotakiwa kuchambuliwa kwa ubongo wa ndani Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza hapa; 1...
  2. H

    Pamoja na ukweli kuwa CCM ndiyo inayodhulumu Haki za Watanzania, Lakini ndani yake kuna Watu kama Nchimbi, Warioba, hawapendi dhuluma

    Ni kweli kuwa mateso na dhuluma kwa Watanzania, chanzo chake ni watawala wa CCM. Ila tukiwa wakweli wa nafsi, hata ndani ya CCM kuna watu hawapendi dhuluma. Mtu kama Warioba, kwa dhahiri kabisa amethibitisha kuwa hapendi dhuluma. Dr. Nchimbi, pamoja na kuwa sehemu ya Serikali dhulumati, lakini...
  3. Mchengerwa: Ipo siku Watanzania mtamkumbuka Rais Samia

    Wakuu, Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi ======== Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani Kilimanjaro "Nataka niwaambie, ipo siku tutamkumbuka Rais huyu. Ipo siku. Nakumbuka wakati wa...
  4. Kingwendu alikuwa tofauti sana. Tukio lake limewahi kufanywa na watanzania watatu tu toka uhuru

    Zamani ilikuwa kawaida sana kwa mwanafunzi kurudia shule baada ya kutokufanya vzuri matokeo ya darasa la saba. Kwa kawaida mtu alirudia darasa la 5, 6 au 7 lakini si vingine. Baada ya kumaliza darasa la saba na kufanya vibaya, msanii Kingwendu aliamua kurudia darasa la kwanza kabisa. Hii kama...
  5. Huruma za Watanzania juu ya MAKONDA na MSIGWA ndiyo zinazotuumiza leo na zitaendelea kutuumiza sana, tuache huruma za kijinga

    Mimi kuna mda akili hua ina niambia Lissu atuache kutupambania sisi watanzania tulio wengi ni wajinga sana. Tulia nikupe mfano mzuri tu hapa utakumbuka vizur na nahisi utakubaliana na Mimi. Mama alivyoingia tu akafanya Uteuzi wa Zuhura Yunus kua Msemaji wa Serikali.. Unakumbuka watanzanoa...
  6. Watanzania wenzangu hii picha imebeba ujumbe mzito sana

    Ujumbe huu ni mzito sana. 👇
  7. T

    Nilipomuona Tundu Lissu akiwa mahakamani akiongea na watanzania kuhamasisha ukombozi, kwa kweli nimemuona raisi wangu wa kweli ajaye

    Mheshimiwa Tundu Lissu ameongea na waTanzania akiwa mahakamani, kwa kweli nimefurahi sana na nimekuwa na strong feeling kuwa huyo ndiye Raisi wangu mpendwa ajaye atakayetutawala na kutupa uhuru wetu wa kweli, kurudisha haki na utu wetu. Huyo ndio Raisi wangu ajaye atakaye tufundisha uzalendo...
  8. Waziri Mkuu: Tuungane Kuokoa Maisha Ya Watanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
  9. T

    Ahsante mwenyekiti John Heche kuongea na watanzania kupitia diaspora

    Mheshimiwa ahsante kuongea na watanzania kupitia diaspora. Tunaomba uwe unafanya hivyo mara kwa mara. Lazima tuikomboe nchi yetu. Thumb up mheshimiwa
  10. Balozi Dr Suleiman: Unga unawamaliza Watanzania nchini China

    Balozi wa Tanzania nchini China, Dk Suleiman Haji Suleiman amesema dawa za kulevya zinaendelea kuwagharimu Watanzania wanaokwenda China, akieleza kuwa baadhi yao wamehukumiwa vifungo vya miongo kadhaa huku familia zao nchini zikipoteza mawasiliano nao na kuamini wamefariki dunia. Akizungumza na...
  11. Watanzania sasa hivi wanawasiliana kwa na kuzungumza kauli moja,asilimia kubwa ukileta uchawa wanakurarua hapo hapo

    Au hamkuona kilichomtokea waziri kijana tajiri pale Mlimani City? juzi?
  12. K

    Amefanya kila awezalo kuwalazimisha waTanzania. Imeshindikana. Kama hujui sasa nakufahamisha

    Katika hadhara mbalimbali za, maongezi yake (siziiti hotuba, kwa sababu Samia hahutubii, hana hotuba hata moja unayoweza kuitaja kuwa mfano wa hotuba) zake za hivi karibuni,; ameonyesha ulalamishi mwingi juu ya vijana/waTanzania na watu wengine kutokubali juhudi zake za utawala anaoona yeye...
  13. SOMO:Huwezi kuaminiwa na watanzania kuendesha nchi kwa hoja au agenda moja tu

    Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi. Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbalimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  14. K

    Je serikali imefanikiwa kuungwa mkono na watanzania wengi?

    Kwa mawazo yangu serikali haijafanikiwa na umashuhuri wa Rais Samia umeshuka sana. Kutoka uhalali mpaka kuwa fake!. Kutoka kusifiwa 2021-2022 mpaka kuitwa muuaji na fisadi. Tafuteni njia bora ya kuweka usawa wa watanzania badala ya kutegemea nchi ya kipolisi
  15. F

    Haya maandamano mnayofanya hapa Watanzania nawaambieni yana matokeo makubwa zaidi kuliko yale ya mtaani

    Ni heri serikali ingeruhusu watu kuandamana mitaani kuliko haya maandamo yanayofanywa sasa mitandaoni. Maandamano haya yana madhara makubwa kwa utawala laiti wangefahamu hili. Maandamano haya hayafanyiki siku moja yakaisha kama yale ya mitaani, ni kila ukicha maandamano haya yapo na yanavuka...
  16. Nyerere (RIP), Kanumba (RIP). Hivi kuna Watanzania wengine waliogusa kwa hisia kali mamilioni ya Watanzania kwa vifo vyao kama hawa?

    No one can cheat death but legends live forever.
  17. BBC Africa imeachia Documentary mpya kuhusu Tundu Lissu. Mke wake Lissu Alicia nae yumo

    Wakuu, Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania...
  18. Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?

    Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia? Swali hili linaweza kuonekana rahisi, lakini linaigusa moja kwa moja hali ya nishati ya kaya nyingi nchini Tanzania. Katika kipindi ambacho dunia inaendelea kuzungumzia mpito wa nishati (Energy Transition)...
  19. M

    Ameigiza ila ndio uhalisia wa wa Kiongozi mmoja wa Serikali ambaye anapenda kuwadanganya watanzania

  20. Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…