There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.
Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa...
Inasemekana, mh Rais Mstaafu Mzee wetu wa heshima Ali Hassan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru.
Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira, ikabidi aje na mbegu hapa bongo!
Sasa hawa ndege wamekuwa kero kiasi cha kuuluza tena kwamba...
Ndugu zangu Rais wa Marekani John F Kennedy amewahi kuwaambia Wamarekani kuwa wasijiulize Marekani itawafanyia Nini Bali Wajiulize Wataifanyia Nini Marekani, Nimeamua kuazima na kukopa maneno hayo kutoka kwa Rais huyo kutoa Rai na Ushauri wangu kwa waheshimiwa Mawaziri wetu walio teuliwa na Rais...
Unapozungumzia nishati ya uhakika kwa ajili ya kupikia kwa watanzania, hauwezi kuacha kuutaja mkaa na kuni.
Watu wengi hutumia nishati hiyo kwa sababu ni rahisi kupatikana na wanaweza kumudu gharama yake tofauti na nishati nyingine kama gesi.
Kutumia gesi (M-Gas) wakati wa kupika chakula kuna...
Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.
Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi...
Wafanyabiashara 26 watakaonufaika na Tsh. Bilioni 1.6 za UNDP (Program ya FUNGUO) wapatikana
UNDP kupitia program ya Ubunifu wa Ufunguo (FUNGUO) imeweka wazi kuhusu wanufaika wa awali wa Tsh. Bilioni 1.6 ambazo zinatarajiwa kugaiwa kwa washindi 26.
Biashara 26 za ubunifu zilichaguliwa kati ya...
Kwanza kabisa lazima niseme kuwa bwawa na ziwa havina tofauti sana ni kwamba Moja ni la asili jingine ni la kutengenezwa na binadamu.
Bwawa la Nyerere au ziwa Nyerere likikamilika ndo litakuwa ziwa la tatu Kwa ukubwa Africa mashariki baada ya Victoria na Tanganyika Kwa mfatano wa Drainage basin...
Siku hizi watanzania wakitaka kuvinjari hujiunga kwenye mbio za Marathon. Ingawa kuna tetesi kuwa mambo huko huwa moto!
Baadhi ya washiriki wa CRDB Marathon 2022.
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .
Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.
Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
Ndugu zangu Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuwa Mama Samia Ni Rais wa Ndoto ya watanzania ya muda mrefu, watanzania siku zote walihitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwa matatizo na kero zao, kiongozi atakaye kuwa na moyo wa kuguswa na shida zao, kiongozi atakayekuwa na moyo na ngozi ya...
Inasikitisha watu wanapanda usafiri kwa nauli zilizopandishwa kipindi cha mafuta kupanda lakini licha ya kushuka bei wao wananchi hawahoji wanapanda huku wamekenua mimeno nje kama malofa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022
Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala
Kikosi kazi...
Kila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili?
Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za maendeleo maeneo mbali mbali ya nchi yetu?
Bado kidonda cha Kalyinda hakijapona kwa Watanzania wengi, Tayari kuna tetesi na dalili zote za kipigo kizito kwa Watanzania wengine waliojiunga kwenye mchongo Pacha wa Kalyinda uitwao Bestei.
Best Bei hii ilianza kutangazwa mara tuu Kalyinda ilipofungwa na walitoa mda kwa watu kukusanya hela...
Hebu tujiulize " Kodi tunayolipa ni kwa matumizi gani?"
Tunamfahamu fika kuwa serikali ina vyanzo vingi vya mapato ambayo yanachangia miradi ya maendeleo. Vyanzo hivi ni pamoja na mapato yanayotokana na huduma za bandari, mauzo ya madini na mazao ya kilimo, usafirishaji nk.
Kodi tunazolipa kwa...
Yaani kukitokea Jambo fulani baya (hasa la Kiserikali) na (Kiutawala) kwa nchi ya Tanzania utaona wanaokuja Kulijibia (kulitolea Ufafanuzi) watajibu huku wakililinganisha (weka Reference) na nchi nyingine kuwa na Wao Kwao limetokea ili tu Kulizima na kulifanya lionekane la Kawaida hivyo...
Ndugu zangu watanzania Rais Samia amepata mapokezi ya Kihistoria, mapokezi ya kishindo, mapokezi ya aina yake, mapokezi yaliyoacha Alama ,mapokezi yaliyotikisa Kanda ya ziwa mpaka mwisho wa reli, mapokezi yaliyo isimamisha Tanzania, Mapokezi yaliyosimamisha kila kitu ,Mapokezi yaliyo tetemesha...
Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc.
Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine...
Wanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent.
Wawili hao ambao wanajiita "Ramadhan Brothers" walionesha umahiri mkubwa kwenye sarakasi na michezo hatari hali iliyofanya majaji wote wawakubali...
Asilimia 4 ya Watanzania wana matatizo ya macho huku zaidi ya asilimia 90 ya matatizo hayo ya macho yanatibika.
Amesema Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassm Majaliwa kuzindua jengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.