There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Mkoa ya Rufaa, Lindi amejisifu kuwa na digital divide kubwa mbali na kuwa yeye ndiye Waziri wa mawasiliano, tukiamini anafanya kazi kuhakikisha watu...
Wanamudu na kustahimili uzito wa matumaini na matarajio ya wa Tanzania?
Wanathamini na kuheshimu thamani wanayopewa na wananchi?
Unaaminika kwa kiasi gani kubeba jukumu kubwa na zito la kuongoza nchi?
Nini kifanyike upinzani uwe na sura, sauti na uelekeo moja?
Hebu njoo taratibu na kwa...
Utafiti wangu mdogo umebaini Watanzania wengi hawana urafiki na polisi, yaani ule urafiki kama wa mtu na mshkaji wake, mfano kupigiana simu kujuliana hali, kutembeleana, kubadilishana mawazo, kushirikiana katika biashara na kupeana michongo.
Mapolisi wengi wanakuwa na urafiki wao kwa wao na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ameitaka Bodi ya Tanesco kuhakikisha Umeme unapatikana Kwa Watanzania vinginevyo hawawaelewi Wala hawataielewa Serikali.
Amewataka viongozi walioaminiwa na kubeba dhamana ya Rais kuhakikisha Umeme unapatikana kwamba ndio salama Yao vinginevyo...
Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi
Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
Ni maoni yangu, ni hisia zangu, reference point ni consumption patterns, consumer markets, business markets, expenditure patterns, currency consumption value, income generation sources vs expenditures. Turbulence on economic engines, Government interventions don't exist
Sijui itakuwaje naiona...
Mengi na wengi wameshazungumza sana na kuandika sana kuhusu umuhimu wa huduma ya Paypal kwa nchi yetu.
Ajabu, kila kampuni mpya ya Fintech inakuja almost inafanya kama yule mwenzake hakuna aliyethubutu kwenda extra mile. Wanaigana na kuzunguka hapohapo kila siku. Hivi huwa wanasoma reviews na...
Serikali ya Tanzania haina dini, lakini, baada ya kufuatilia hili Sakata la Lambalamba, nimebaini kuwa Watanzania wana dini zao na wengi sana wanafuata dini zao za kimila!
Chonde chonde, ni hatari sana kukabili masuala ya imani za watu kinguvunguvu bila kuzama kukaa na waumini husika na...
Dkt. Baruani Mshale mtaalamu bingwa anajikita kuuliza zile R4 kwa mtanzania ambaye siye mwanasiasa zina maanisha nini
https://m.youtube.com/watch?v=C9abritQeXE
Mada hiyo tunduizi ya Dr. Baruani Mshale aliitoa mbele ya kwenye Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa demokrasia, Ukumbi...
Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line.
Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho kinatuunganisha wote...
Ile Dhihaka haivumiliki hata kidogo ni dharau iliyopita kiwango kwa katiba yetu, Kama...
Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026.
Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022
Mkurugenzi Mtendaji wa...
Napenda watanzania waelewe vizuri kuwa CCM ndio adui yetu mkubwa. CCM ipo madarakani kwa miaka 60 sasa na bado tunahangaika na maji vijijini, madawati, chakula na magonjwa yanayotibika bado yanaua watu nchi hii.
Blaa blaa za CCM zimeifikisha nchi hii katika umaskini mkubwa hata baada ya kuwa na...
Maisha bora kwa kila mtanzania ilikuwa 2005 hadi 2015.
Tulidanganywa hivyo kipindi hicho, tukadanganyika kwa miaka 10, baada ya hapo jomba akasepa akiwa na kitita cha kutosha kumpa maisha bora yeye tu na watu wake.
Hivi kwa nini huwa tunakubali kudanganywa kirahisi hivyo?
Sasa tupo na "kazi...
Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya. Bunge la katiba liliundwa, maoni ya katiba mpya yalikusanywa kwa gharama kubwa na leo unataka...
Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.
Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.
Tanzania ni...
Jini la kizungu ni nini? Jini la kizungu ni bunduki.
Kazi ya jini la kizungu ni nini?
Kazi ya jini la kizungu ni kuua.
Ukifuga jini la kizungu nyumbani kwako jini litatarajia kwamba utalipa kazi yake ya asili( kuua)
Litakuwa linasubiri ulipe damu.
Usipo Lipa damu litaitaka damu yako...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili.
Leo naendelea na sehemu nyingine ya Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza nilifundisha katiba ni...
Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya Kisasa' Nchini Tanzania.
Zaidi andiko lilielezea mbinu na shuhuda za uongo (feki/za mchongo)...
Wasalaam nyote,
Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.