Nina masuala mawili hadi matatu kuhusu eneo la ujenzi wa majengo (Architecture), hivyo naomba ushauri na uzoefu wenu.
Kwa mafundi, wataalamu wa ujenzi na wadau wengine wenye uzoefu katika sekta hii, naomba mnisaidie kupata ufafanuzi kuhusu mambo yafuatayo:
Ukubwa wa vigae (Tiles): Kwa nyumba...