wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LAPSE RATE

    Naomba ushauri kuhusu matumizi ya vigae kwenye ujenzi

    Nina masuala mawili hadi matatu kuhusu eneo la ujenzi wa majengo (Architecture), hivyo naomba ushauri na uzoefu wenu. Kwa mafundi, wataalamu wa ujenzi na wadau wengine wenye uzoefu katika sekta hii, naomba mnisaidie kupata ufafanuzi kuhusu mambo yafuatayo: Ukubwa wa vigae (Tiles): Kwa nyumba...
  2. M

    Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  3. M

    Mawaziri wapokea taarifa ya wataalam kuhusu mgogoro wa mipaka ya kiutawala na msitu wa Kazimzumbwi

    Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
  4. Wakusoma 12

    Kwa mjibu wa wataalam hata mwaka 2023–2024, kulikuwa na El Nino kwanini mwaka huu tumeipa promo sana?

    Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
  5. BIOTOXINS

    Kwa wataalam wa Sheria,hv kwa roho mbaya Labda EMC anaweza funguliwa mashtaka?

    Najaribu kuwaza hv mfano kwa roho mbaya tulizonazo Kuna mwanya labda emm kufikishwa mahakamani? na kama ni hivyo kwa kifungu kipi alichovunja?
  6. nzalendo

    Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria

    Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria. Kwa sasa teknolojia imekuwa na mambo yamebadilika sana. SWALI: Je? Kuna uwezekano wa kupata leseni ya kubeba abiria toka CHANIKA(Dar) mpaka MARANGU MTONI? (MOshi) Yaani nakula vichwa mdogomdogo panda shusha,huku...
  7. S

    Naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili

    Wataalam wa lugha na historia ya Afrika Mashariki naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na lugha za jamii nyingine ambazo tulichangamana nazo toka enzi hizo eg jamii za wahindi? Na ilikuwaje tukachukua misamiati ya Kiarabu...
  8. MK254

    Wataalam wa AI, hivi dunia iko salama kweli, mbona kama nahisi yatatokea ya Teminator movie na kutumaliza....NAOGOPA!!!!

    Mimi ni software enginerr mkongwe, mwenye uzoefu zaidi ya miaka kumi, na nilikua sijaanza kuchangamkia coding via AI, nilikua napiga codes zangu mwenyewe nikitarajia siku nitapata fursa nitajifunza kutumia AI. Sasa ikatokea mteja anahitaji nimtengezee mfumo wa hotel management, na kanipa siku...
  9. Secret Star

    Wataalam wa kuunda BOT za macasino online Tukutane hapa tupeane utaalam

    Wakuu wataalamu wa python na selenium, na JS playwright Tukutane hapa. Tupeane uzoefu na utaalamu.
  10. ANT DRUGS

    Wataalam wa hacking msaada

    Wadau. Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza. Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi? Asante.
  11. LOOOK

    Ni wakati sasa wataalam wa EV conversion kuchangamkia fursa kwa sasa ili kubadili mfumo wa uendeshaji gari kutoka petrol kwenda umeme

    Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
  12. figganigga

    Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?

    Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?
  13. Roving Journalist

    TANESCO: Tuliona tunasumbuana na Mkandarasi wa Mradi wa Imalilo tumeamua kuuendeleza na Wataalam wa ndani

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
  14. Stroke

    Kuweni makini na matumizi ya ATM; kuna wataalam wa kuiba na hutopata sms na notification

    Wakuu , Kumeibuka wizi wa kupitia ATM. Hasa ile benki flani hivi. Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS. Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
  15. H

    Nje ya Biblia, Wataalam Wasomi wa Wakati wa Yesu Walivyomwelezea Yesu Kristu:

    Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo. Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea maelezo yanayotoka...
  16. Chizi Maarifa

    Nmekuwa na huu URAIBU kwa Miaka zaidi ya 30 sasa naelekea kuacha baada ya kukutanishwa na Wataalam

    Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu. Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na pia hatuna sana mvuto na hatupendi kujieleza tunaona shida sana kukimbizia mbunye. Ni mwendo wa...
  17. Tochuku

    Wataalam wa ujenzi na ramani msaada tutani

    Wataalam, Jengo ambo liko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 145 unaweza ku modify kwa kuweka frame ngapi zikatosha? Kwa ukubwa size medium Yan vyumba visiwe vikubwa sana Wala vidogo sana..
  18. Carlos The Jackal

    Utetezi wa NIDA/ INEC ni Wa kipuuzi, njia pekee ni Vyama/NGOs kuruhusiwa kukagua Mifumo Kwa kutumia Wataalam wao wa Ndani au Nje ya Nchi !!

    Yaan nayenyewe yanajitokeza hadharani Et 'Polepole ni muongo, sio kweli ". Hoja za Polepole, zinakua proved wrong Kwa kutoa tangazo hili 'NIDA/INEC inawaalika Vyama vya SIASA, WATETEZI WA DEMOKRASIA , TAASISI ZA KIDINI , WATETEZI WA HAKI , NCHI MARAFIKI ULAYA NA MAREKANI , NA WADAU WA...
  19. JamiiCheck

    Unajiamini kwenye kubaini maudhui ya AI? tukutane hapa. Dosari gani unaziona kwenye video hii?

    Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona. Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
  20. K

    Naomba kuelimishwa kuhusu ufagaji wa samaki ziwa Victoria

    Kumekuwa na ufugaji mkubwa wa samaki katika Ziwa Victoria. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia 80 ya wananchi wanaozunguka Ziwa Victoria kwa sasa wanatumia samaki hawa wa kufugwa kama chakula chao tofauti na hapo zamani. Chakula cha samaki hawa kinatengenezwa na ndugu zetu Wachina. Hatujui...
Back
Top Bottom