wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
  2. Safari ya chadema kuchangisha milioni mia3.34 imefikia wapi ndugu wadau wa Jf?

    Naona hakuna updates tena kama awali, kuna changamoto yoyote?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  3. PostGE2025 Kama Samia ana nia ya kuunda tume ya kijaji alete Wakenya, alete Wa-South, alete Wafaransa alete wamerekani na waingereza

    Namshangaa Samia na matume yake. Tume ya CHANDE ilimwambia vijana walilipwa ili waandamane, walilipwa ili wachome nchi , hao vijana zaidi ya elfu 2 ameshawaua na yeye ndo alitoa amri watu wauwawe akidhani anakomoa CHADEMA. Leo anaagiza tume tena ikachunguze wale vijana aliyo waua kuwa...
  4. U

    Lake zone Huu utaribu mmeiga wapi, pub, Bar Eti unalipia 10,000 unamtoa mhudumu

    Walevi Oyee, Wakeshaji Safi, CCM , CHADEMA, ACT CHAUMA OYEEE, Huku kwenye mabaa hamna mambo ya uchama. Sasa walevi , wale wa kukesha kwenye bar, Pub nilitembea mikoa ya kanda ya ziwa huko Kagera, mwanza, mara, kigoma, katavi , rukwa nilishangaa utaratibu wa bar za huko, Sasa sijui upande wa...
  5. Je, akili au ufahamu (consciousness) wa binadamu unatoka wapi ndani ya mwili?

    Je, akili au ufahamu (consciousness) wa binadamu unatoka wapi ndani ya mwili? Niko hapa kujifunza Zaidi.
  6. M

    Niwekeze wapi kati ya hisa au ardhi?

    Siku mmoja tulipa mgeni kutoka wataalamu wa mambo ya uwekezaji akatuma elimu juu y uwekezaji wa hisa, bond nk kwa kweli ilikuwa ni elimu nzuri na niliweza kujifunza kitu. Kitu ambacho nilibaini kila unapoitaji kupata elimu hakikisha unapata elimu kila maeneo ili uweze kujifunza na kupata...
  7. Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

    Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu. Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa...
  8. Tone kwa Tone imeishia wapi? Au pesa zimeshatosha na wamezitafuna tayari?

    Mtoto wa Abdul Nassib (Diamond Platnumz) na Zuhura Othman (Zuchu) ndiyo kwanza ana siku kadhaa leo tayari anamilioni 700, ndugu zetu tonetone wanaojinasibu chama kinapendawa na Watanzani wanamwezi mzima wanatafuta milioni 300 na bado hazijatimia. My take CHADEMA mkitaka mkieneze Chama kutoka...
  9. PostGE2025 Ni wapi kwingine walioshinda uchaguzi kwa 98% hufanya maridhiano??

    Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa! Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo]. Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo]. Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi. Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka...
  10. Wapi naweza kupata unga wa dagaa omena wenye ubora wa juu

    Habari wakuu, ninatarajia kufungua kiwanda kidogo cha utengenezaji wa vyakula vya mifugo hivyo nipo kwenye utafiti wa kuwatqmbua suppliers wa ingredients mbalimbali za kuchanganya kutengeneza cha Mifugo. Moja ya ingredient ninayotaka kujua naweza kuipata ni Fishmeal au tuseme dagaa omena wenye...
  11. CBT na KCJE zieleze tani elfu 50 za salfa ya unga ziko wapi?

    Mnamo mwezi Aprili 2026 Umoja wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Korosho nchini (KCJE) na Bodi ya Korosho Tanzania walieleza kuwa wanatarajia kusambaza zaidi ya tani elfu 50 za Viuatilifu vya unga (Sulphur) msimu wa kilimo 2026/2027 kwa wakulima wa korosho nchini. Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja...
  12. Yupo wapi member johnthebaptist???

    Wakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake. Leo nimekuwa tagged na member mmoja kunikumbusha mjadala wa kutoonekana kwa member mwenzetu JOHNTHEBAPTIST...
  13. S

    Vifaa Used Vya Ujenzi Vinaendaga Wapi?

    Kwema wakuu? Kuna kitu nimewaza hapa. Mfano mtu anajenga akanunua mirunda au Marine Boards. Akimaliza kujenga ni wazi hivi vifaa havitotumika tena. Hua vinaendaga wapi baadae? Kuna watu hua wananunua au kuuza hivi vitu? Nimewaza wajenzi wengi wanaweza kuokoa gharama kubwa kama kutakua na...
  14. R

    Hivi ndege ya Rais wetu Gulf Stream iko wapi??

    Nani anajua ndege ya serikali maalum kwa Rais aka Gulf Stream iko wapi? Na kama ipo mbona mkuu wa nchi haitumii kwa safari zake badala yakeainatumia ATC Dreamliner?
  15. R

    Doyo: RC na DC wanapewa gari la Milioni 200 wanaenda wapi?, Miaka 52 tangu nizaliwe sijaona maji Handeni

    Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media leo Julai 29, 2026, anaeleza kuwa Kijijini kwao Handeni Tanga, kuna changamoto ya Maji kwa Miaka zaidi ya 52 sasa tangu azaliwe. Aidha, Doyo ameeleza kuwa wakati anagombea nafasi ya Urais mwaka 2025...
  16. 20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

    Habari marafiki. Mkononi nina kama 20M hivi, kuna kiwanja kama 25×20 nimekipata Morogoro Road, eneo linaitwa Madafu, kwa 3M. Mkononi nitabakiwa na 17M. Je, wakuu, naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta, au niendelee kusubiri kwanza?
  17. Wanaume wenye sauti zenye "base" la kutetemesha wameishia wapi?

    Wakuu, Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true. Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana maana sauti haina authority. Ndio maana kutwa malalamiko kuwa hamsikilizwi. Hata kwenye movie za...
  18. U

    Jamani hapa Vipi! Kutambua Cheupe(DAR) Vs Rainbow Gril(DOM), wapi Bomba

    Wale walevi , Leo tupo tena kwenye mchuano Kati ya maeneo haya mawili yanayowika dar es salaam na Dodoma, katika Nyanja za burudani, je Nani ni zaidi, hakuna maelezo mengi, chukua bia yako zimua utoe comment
  19. Q

    Tutamkumbuka Samia, kwani anaenda wapi?

    Mbona kama ameanza kuaga mapema sana kwani anaenda wapi. Alianza Samia mwenyewe akasema mtanikumbuka, leo Mchengerwa naye kasema mtamkumbuka. Nakumbuka hata wakati wa mwisho wa enzi za Mwendazake naye alianza kutamka maneno haya haya kuwa mtanikumbuka, binafsi sijui nini kinaendelea.
  20. Sites za Movies Bure Zipo Wapi?

    Anaejua sehemu ambayo tutaweza kuangalia hii muvi free tujulishane
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…