wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

    Habari wadau wa JF! Naomba kuuliza kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya hili. Hivi tukifuta PICHA kwenye Simu huwa zinakwenda wapi? Kuna PRIVACY kweli kwenye vifaa hivi? Msaada kwa anajua
  2. Mpaka watanzania wanaamua kusoma albadiri kwa wezi serikalini tunaelekea wapi kama taifa

    Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua maalum kwa kina Mwigulu, Makame Mbarawa, Januari na wakubwa wengine waliotajwa na CAG. Pia yuko...
  3. Ufanisi wa Nchi katika mambo mbalimbali huamua taifa liwe wapi kwa kesho yake

    Moja kati ya sekta nyeti katika taifa ni ile tunaita "think tank". Sijajua kwa taifa letu watu hawa wanatoka angle ipi,ni aidha ni watu wa sili sana ama wanatoka mbele ya vyombo tunavyoviona ama vile vinavyojihusisha na mambo ya intelijensia!. Sipo hapa kujadili wanatoka wapi!, nipo hapa...
  4. U

    Hivi Simba watawatoa wapi best players maana wapo yanga na Mamelodi tu

    Nawaona washabiki wa Simba wanalia na usajili, Sasa hata kama Mo akitoa Hela hao best players mtawatoa wapi, maana timu mbili tu ndo Zina wachezaji Wazuri na wanaowafaa yaani yanga na Mamelodi, na kidogo Al ahly au esperance ambako kote huko hamuwezi kuchukua mchezaji. Ninachoona Mimi hata...
  5. B

    Hawa waliomshangilia kwa bashasha Waziri wa Fedha Jana pale Kwenye Mkutano ni wafanyabiashara wa wapi? Modarators huu uzi usiunganishwe.

    Nimefuatilia kikao kile, nimesikiliza hoja za wale wafanyabiashara, nikaona masikitiko yao. Lakini wakati wa kuagana na baada ya PM kuwa ameondoka jukwaa likavamiwa na wafanyabiashara waliojaa bashasha na nderemo wakimpongeza Waziri wa fedha. Leo naona ile clip yenye nderemo iko pinned kwenye...
  6. Ukisika maneno haya unakumbuka wapi?

    Salaam Ndugu zangu? Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu. Je maneno haya umeshawahi kuyasikia Ngawira Ndarama Fagilia Shangingi Chekibobu Utajiju Utaji JJ Unakumbuka wapi au mwaka gani? Maneno gani mengine unayakumbuka?
  7. Kauli ya Rais ni Sheria! Hii kauli ilitokea wapi?

    Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa kauli ya Rais ni sheria! NImejaribu kupekua Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2008 sijaona ibara yoyote ya katiba yetu kuwa atakacho zungumza Mh Rais ni sheria! Leo Waziri Mkuu anaibuka anakazia maneno ya Mh Rais kuwa TRA...
  8. Yuko wapi mzee Kinana?

    Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi? Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu. Nawasilisha UMK @ Nkotokwiana.
  9. Zitto Kabwe ulikuwa wapi Kuwakemea na Kuwashangaa walioshangilia Kifo cha Magufuli hadi Kuchukia wanaoshangilia cha Membe?

    Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu. Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
  10. S

    Mungu Yuko wapi?

    Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi. Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia...
  11. SoC03 Tutapata wapi viongozi bora wenye maadili?

    Habarini wakuu! Rushwa. Ufisadi, uhujumu uchumi na ubadhirifu wa mali za umma, ukandamizaji na ubinyaji wa haki za binadamu ikiwemo uhuru wa vyombo ya habari,Upindishaji wa haki na sheria, matumizi mabaya ya vyombo vya dola, unyanyasaji na ukosefu wa usawa wa kijinsia miongoni mwa kero na...
  12. Je, Membe hakuwa na mahusiano mazuri na Yusufu Makamba? Alikosea wapi?

    Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa. Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu...
  13. Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  14. R

    Viongozi wengi Duniani wamekuwa wakiishi zaidi ya miaka sabini; Tanzania ni kama vile viongozi wanaanza kuishi chini ya miaka sabini; Tumekosea wapi?

    Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally. Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
  15. T

    Nawakumbusha tena, mbingu ni yetu sote, ili ufike huko, lazima ufe, ku wapi kufurahia afapo mtu? Wazuri hawafi ni kauli ya kijinga!

    Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga! Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa! Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu...
  16. Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    Salaam wana fikra pevu. Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu (mf. Kanisani, sokon, baa...etc) mlipokutana kabla ya kuanzisha mahusiano? Mwisho kabisa, ni sehemu...
  17. Benki ya Wanawake (TWB) ilifia wapi?

    1. Benki Pendwa ya Wanawake imefia wapi? Malkia wa Nguvu on fleek! 2. Watu wamepiga mahela wamesiz kitaa Sasa wanawaza kupiga hela za faraja tena
  18. Yuko wapi Charles Jangalason?

    Huyu Mtumishi wa Mungu aliekuwa akihudumu zaidi katika uimbaji nyimbo za injili ...alikuwa akisikika sana siku za nyuma na nyimbo zake zilikuwa na mafundisho mengi sana sio tu kwa watu walimpokea Bwana Yesu ila na wale ambao bado hawajampokea. NYIMBO ZAKE: Na nyimbo nyingine nyingi...
  19. Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

    Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo. Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia. Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda...
  20. R

    Nani amemwelewa Waziri wa Kilimo anatupeleka wapi?

    Miaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je, unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo? Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano akawa anamilikisha ardhi kwa wageni akiamini anainua kilimo tutakuwa tunakosea? Ana uhakika kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…