Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.
Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani.
Appetite ya kuwa naye imekata kabisaaa. Nikimcheki alivyopauka, midevu imechachamaa utadhani yule mchezaji wa Simba ambaye huwa akifunga...
Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu.
TMA...
Ukiona picha yake unaweza ukasonya kwa kusema mbona ni mwanamke wa kawaida tu? Yes ni kweli sameera ( Samira) alikuwa Dada wa kawaida tu kimuonekano...But honestly she was a very very nice person.
I saw a lot of my mother in her.
Katoto nilikapenda mnoo.
Nilianza kukafahamu way back...
Mambo zenu wakuu?
Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.
Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen.
Nina hakika siku...
Wakuu salama hapa
Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo
Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri...
Sijui niseme maisha ni magumu sana au sijui niseme utandawazi!!! Kwanini mabinti wa vyuo wanakuwa warahisi sana kutongozeka!
Yan ukigusa imooooo tena ukiwa mwepesi kama lionel messi aloooooo haichukui hata siku mbili yupo geto sasa hapo ukiwa na meno kama ya fisi yaani unakula tu mifupa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.