wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Meja Kunta ameua sana kwenye hii video ya wimbo wa 'Demu wangu'

    Daaaah aisee huu wimbo wa Meja Kunta uitwao Demu wangu aliowashirikisha Mabantu ni mkali sana kuanzia audio mpaka video. Video yake kali sana na amenikosha zaidi kwa kumuweka Tunda kwenye video maana wambea walishaanza kuzua maneno yao ya ajabu ajabu huko mtaani Siiishi hamu kuitazama hi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aliyekaribia kuwa mchumba wangu nimemkuta na kiroba cha 'sex toys', niendelee na michakato ama nisuse?

    Alinisihi tusizini mpk tutakapo oana. Na hata nilipojaribu kumsihi nimtembelee anapoishi (amepanga chumba chake) alikataa katakata akidai kuwa tunaweza kufanya maovu. Nilipopeleka barua nikaendeleza shinikizo langu la kumtembelea kwake. Dhamira yangu kuu ni kutaka kuonja tunda kabla ya ndoa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano. Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan sikiliza kilio cha wengi, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu

    Wengi wanaopiga kelele wanakupenda sana. Wachache wanaokusifia kwa kila jambo wanakupoteza na wanakuingiza mkenge shutuka. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu watu wengi wanataka yafuatayo!! Umeme kuunganishwa umepanda kutoka 27000 mpaka 320,000 ndugu yangu rais wangu nakupenda Sana hapa wanachi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jana Nimevamiwa huku Qatar. Usalama wangu umekuwa hatarini. Wakiendelea hivi Nitaondoka kwa kweli

    Kwa kweli jana nlikuwa na hali ngumu sana. Haraka ilibidi niite walinzi wangu waliokuwa mapumziko Dubai. Nlipokuja Qatar sikupenda kabisa watu wanijue nina pesa. Ndo maana nlikuwa natembea na watu wachache tu. Secretary wangu, Katibu,Mwanasheria na Daktari wangu. Hawa watanzania of course sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Leo nimegundua sababu ya moyo wangu kugoma kabisa kuwa naye

    Nisiwachoshe wanajamvi. Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa mtu anayejiwekea mikorogo na...
  8. JamiiForums Tanzania Nimetoa wimbo wangu, naomba support yako

    Nimetoa wimbo, naomba u subscribe na u like. Naomba support yako mwana JamiiForums mwenzangu
  9. JamiiForums Tanzania Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

    Habari wangu. Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp. Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mwathirika wa UKIMWI

    Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo ni Baada ya muda katika mahusiano Baada ya kuwa nataka tufanye mapenzi alikuwa akini fanyia...
  11. JamiiForums Tanzania Ombi maalum kwa wale tu wanaonipenda na kuvutiwa nami sana kiuwasilishaji wangu hapa JamiiForums

    Tafadhali kutokana na nyie kila mara (kwa upendo na mapenzi yenu nami) mnaamua kueleza hisia zenu kwangu na kunisifia na kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu (mimi GENTAMYCINE), nawaombeni acheni kunisifia huko ili kutowakera wanaonichukia. Badala yake muwe mnaanzisha tu threads...
  12. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa wana JF kwenye ushiriki wa mijadala ya kitaifa

    Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wangu ananidharau nifanyeje?

    Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu. Sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua. Kinachoniuma ni kuona watoto...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nafanya na wanawake wengine namuwaza demu wangu tuliezinguana.

    Inashangaza mpaka kumaliza navuta hisia niko naye Nikiwa napiga stori namuwaza yeye tu Hii ni shiga gani hiii?
  15. JamiiForums Tanzania Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

    Wanabodi, Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama. Kwa sisi...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

    Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter. Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza. Kwa nini Lissu...
  17. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa huyu mke wangu Adelina

    Wakuu, Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah! Huyu mwanamke anajikuta ni 'feminist' sana, jeuri, kiburi na dharau juu, sijui kwanini ananifanyia hivi, sijui anajua nampenda sana...
  18. JamiiForums Tanzania Mke wangu Adelina Kimambo

    Good morning! Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa. Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri...
  19. JamiiForums Tanzania Kimada alivyonifanya nimsahau mke wangu yaliyonikuta Najuta

    Hii ni story ya kweli nilisimuliwa na jamaa yangu nami naileta kwenu kama funzo. Ilikuwa mwaka 2004 ujenzi wa barabara ya Shinyanga-Mwanza umepamba moto chini ya Grinaker LTA nami nikiwa mmojawapo kati ya wafanyakazi wa kampuni hiyo. Kazi yangu ilikuwa ni kugawa mafuta kwenye magari na mashine...
  20. JamiiForums Tanzania Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

    Kwema? Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church. Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…