Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.
Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki.
" Mambo my ! Nimekumiss sana"
" Babe umenisusa upo kweli"
" Mambo vipi? Unaendeleaje?"
" Nina hamu na wewe babe?"
" Siku hizi umenitenga sana"
" Upo handsome?"
" Hey love"
" Hujambo?"
Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi...
Hivi ni wote mna wazazi kama wangu? Au mliwahi kuwa na wazazi kama wangu?, Najua ambao hamuelewi nini nazungumzia hapa haiwezi kuwaingia akilini au pia mnaweza kuhisi labda sina akili timamu na wale ambao kwa bahati mbaya mlishapoteza wazazi wenu basi pia hii tungo haitowaingia akilini, ila aina...
Huu ni muujiza naweza kusema hivyo
Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib
Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26
Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
Nilivyokua msichana nilikua nawaza mahusiano yangu vile yatakavyokuwa.
Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto. Kila mwezi tunapita picha nzuri.
Weekend moja moja tunatoka sisi wawili tunaendesha gari tunaenda popote. Tunaenda tunaenda tunaendaaa hadi tukichoka...
Habari zenu wakuu poleni na shughuli, Niende moja kwa moja kwenye mada mwaka jana mwishoni baada ya kushindwa kuvumilia visa na dharau kwa aliyekuwa mke wangu pamoja na vikao vingi vya usuruhishi kugonga mwamba, Niliamua kuchukua uamuzi wa kumuachia mji mwanamke na mimi kwenda kuanza maisha...
Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji...
Salamu za Januari wajumbe,
Miaka ile ya ujinga, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, mahusiano yalinoga haswa kuna wakati nikadhani kabisa kuwa sasa huyu atakuwa mke na mama wa watoto wangu.
Binti mweupe, sura na haiba ya kike, mwili wa wastani, kiuno kimejitenga vyema kama kisiwa cha Mbudya...
Jana shule zimefunguliwa dogo uniform hazimtoshi, mekua guafla anazidi kurefuka mno.
Likizo hii vibinti vya umri wake vilikuwa havikatiki nyumbani, tubinti tuzuri kweli, siku hizi inakuwaje wanawake wabaya wanazaa mabinti wazuri kweli?
Mimi sio handsome ila yule mtoto wa mama mkwe alinizalia...
Ni kweli nachukia sana wanawake wapiga mizinga. Ila sometimes ukiamka vizuri unafanya kweli unayamwagilia maji haya maua ya dunia.
Sio kwamba wana njaa au hawana hela ya bundle, NO ni kushea furaha tu uliyonayo.
Kwa hiyo leo nimeamua tu. Nitagawa bundle la internet kwa kila mtoto wa kike huko...
Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani.
Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
Wakulungwa! Hii Ndio itakuwa Salam yangu rasmi.
Wakulungwa!!!...
Wakulu. Mimi Nina familia imebarikiwa niseme ukweli wa wazi.
Na mabarikio yanatokana na kujituma na kutii wakubwa na wadogo.
Kimsingi hata mtoto wangu wa miaka 2 namheshim na nikimkosea au ninapohisi amekosewa nikiwa around. Na...
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.
Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu...
Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
Mwandani wangu ni wale ambao hawezi pita ukamuangalia mara moja, lazima ugeuke tena. Not only outside, hata kitabia na akili ni exceptional.
Kutoka na hilo amekua akipata usumbufu sana kitu kinachoniweka roho juu, ingawa yeye ananihakikishia kua yuko matured enough and aware.
Natibu vipi hii...
Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu.
Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu.
Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu.
Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana...
Kambi ya Fisi
Mimi sijambo. Shikamooni.
Huku Dar joto tu baba na mama. Mambo mengi muda mchache.nashukuru kama mnaniombea ni jambo jema.Nami nawaombea pia.
Huku mjini baba siyo kama huko Kiparang'anda.eti umpate mchumba asikujaribu na wewe umsimjaribu. Mbona unatalia kilio cha mbwa mdomo juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.