wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

    Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii. Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu...
  2. JamiiForums Tanzania Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

    Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu! Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
  3. JamiiForums Tanzania Ghafla bin vuu huyu ndie Rapper wangu bora wa muda wote (G.O.A.T)

    Nilimfahamu gafla bin vuu kupitia Rafik yangu (kibandike), wengi tulipenda kumwita aa Kiba. Gafla bin vuu ana Mixtape 3 Ujio wa mimi na upweke Mapishi ya Upendo Zamani July Nyimbo zake nyingi nazipenda kuzisikiliza. Pia kama una nafasi unaweza kuzisikiliza. Ghafla
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

    Ilikuwa ni mwishoni mwa Mwaka jana 2022. Basi kutokana na kazi nyingi za kijamii huku ikizingatiwa kuwa Taifa tulikuwa bize ktk kujenga nchi, huku wengine tukihitajika zaidi katika maswala ya kitaifa ikiwemo swala la maridhiano, katiba Mpya, mfumuko wa bei ya bidhaa, kuifungua nchi na harakati...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu ananishangaza

    Niaje wakuu Tusichoshane. Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea. Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa. Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila...
  6. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu sitasahau: Niliwacheka sana wanaochapiwa wakati huo huo na mimi kumbe nachapiwa sana kama ngoma

    Salaam tele ziwafikie Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na baadae nadhani akahamia Namungo FC. Nikiwa nimekaa kwa starehe na raha kabisa na kipenzi changu...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mama aliniambia baba aliyenilea kwa miaka 25 si wangu baada ya kifo chake, lakini daima nitakukumbuka baba uliyenilea kuzidi aliyerusha mbegu

    Baba niliemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Alikuwa mtu au nilikutana na jini au ubongo wangu ndo ulikuwa una-hallucinate: Mwanamke mzuri kapendeza, na hanijui aliniomba 2000 ili akale

    Habarini mabibi na mabwana... Nimekaa na hiki kisa natafakari mara mia mia lkn sipati jibu, naishia kupata mixed feelings tu. Ilikua hivi, Jumamosi iliopota nilitoka zangu kwenda mazoezini mida ya saa kumi na mbili. Niko zangu nakimbia kwenye barabara ya rami, mida hio ilikua bado tupu kiasi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa mke wangu

    Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda...
  10. JamiiForums Tanzania Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato. Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya. Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta...
  11. JamiiForums Tanzania Leo ndio siku ya kuwaacha mademu wangu wote nitumie mbinu gani nibakize mmoja tu?

    Habari ndio hiyo. Siwatakini nyie wote, namtaka mmoja tu kati yenu nyie wote. Watu wa takwimu wameshindwa kuniweka mmimi kwenye category yangu special, nina mademu 14 ila mmoja tu ndio nimempenda. Kawazidini nyie wengine wote akili, ujuzi, maarifa na kila kitu. Nyie wengine mmemzidi mwenzenu...
  12. JamiiForums Tanzania Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

    Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu nambeni ushauri wenu kwa kijana wangu

    Form four results DIV 3 YA 25 Ponts CIV =C HIST =D GEOG =D KISW =C ENG = D ELIMU/D/KIISLAM =C ARABIC = D BIO = D B/MATH= F Ajiandae kwa wapi? Ualimu anaweza kuchaguliwa?
  14. JamiiForums Tanzania Nilimkopesha mtaji akaenda kumwambia mke wangu yeye ni mke mwenza

    Wazee hakuna binadamu amezaliwa na roho mbaya tunafundishana nimeamini. Leo ndoa haikaliki kisa tu msaada na huruma yangu iliniponza, kiukweli nilimla siku 1 ila sasa anaharibu nyumbani. Hela yangu ameshanilipa sasa balaa ni hapo anasema nilimhonga na anatamba kwa mke wangu yeye ni mke mwenza...
  15. JamiiForums Tanzania Hadi sasa EX wangu ndo namba moja yangu

    Habari wakuu, Ni mwaka na ushee sasa toka niachane na huyu dada, Huyu dada tulianza mahusiano ya kawaida nikiwa bado sina uwezo wa kujitegemea hadi nikawa nao. Yeye alinitangulia kiumri na kimaisha pia, Kwani alinizidi miaka minne na pia wakati tunaanza mahusiano mimi nilikuwa bado tegemezi...
  16. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mtandaoni yameniangushia kwa binti mwenye ulemavu, hakika huyu ndiye chaguo la moyo wangu

    Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana. Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway. Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar...
  17. JamiiForums Tanzania Utundu na ubunifu wangu ndani ya 6X6 unavyowadatisha mashangazi warembo

    Wasalaam JF Jamani mapenzi ni utundu na ubunifu, hivi vitu ni sumaku ya mahaba, na hutiririsha chemichemi ya kugandwa kimahaba. Utundu na ubunifu wangu wa kutumia vidole vyangu vyote vya mikono na miguu ndani 6by5, 6by6, nimevuna dodo la kale au ukipenda mshangazi mrembo. Si kwingine ni hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa. Namnukuu 'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia amesema haya... "Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ABC nataka Mdogo wangu asome Diploma ya udaktari ana division 1.15

    Nataka Mdogo wangu akasome hapo Muhas Kuanzia certificate naomba kufahamu utaratibu mzima yupna division 1.15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…