wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  2. Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

    Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye? Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao. Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni. Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
  3. Tetesi: Mkopo wa 10% Halmashauri Kigamboni: Mke wangu alipangiwa 9.6M lakini mwisho anaambiwa atapewa 3M – Je, hii ni kawaida?

    Habari wakuu, Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu. Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
  4. Mwenye kujua kuhusu Bachelor of Arts in diplomatic and defence studies

    Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk...
  5. Brenda Rupia Pongezi kwa Ujasiri uzuri na uwezo wako

    Nakuandikia ujumbe huu kwa nia ya kuonyesha hisia zangu za dhati na pongezi kubwa kwako. Hakika umekuwa kielelezo cha mwanamke shujaa, mwenye akili nyingi, msimamo thabiti na uzuri wa kipekee uliopambwa na ujasiri mkubwa. Usimamo wako na uwezo wako wa kujibu maswali kwa umakini na weledi mkubwa...
  6. K

    Ile imani yangu na uelewa wangu wa utotoni kuhusu "wanajeshi" na "Majaji(Hakimu)" sasa naweza kuuthibitisha

    Nikiwa mdogo kama walivyo watu wengi kuna mambo unakuwa huyaelewi elewi na kadiri unavyokuwa ndivyo unavyoendelea kupata ufahamu Nikiwa mdogo nadhani hadi umri wa kidato cha Pili (hapa sio mdogo tena hii ilikuwa imani) tungegombana endapo ungeniambia "nafaa" kuwa mwanajeshi au uniambie nikiwa...
  7. A

    KERO Malipo yaliyokwama kwa Yas kwa zaidi ya saa 24 yananiongezea gharama zisizo za lazima

    Nimelipia huduma za Serikali kupitia Lipa Namba kwa miamala miwili ili kumtoa mgonjwa wangu hospitalini. Nimeelezwa kuwa malipo hayo hushughulikiwa ndani ya saa 24, lakini hadi sasa zaidi ya saa 24 zimepita na bado sijafanikiwa kumtoa mgonjwa kwa sababu malipo hayajaonekana. Sina fedha...
  8. Mtazamo Wangu Kuhusu Marketing

    Siamini kwamba kazi ya marketing ni kufanya tu watu waione brand Marketing inapaswa kutengeneza mahitaji/demands Sales inapaswa kubadilisha mahitaji hayo kuwa mauzo Operations inapaswa kutimiza ahadi iliyotolewa Na mteja anapaswa kuwa na sababu ya kurudi tena Hii misingi minne inapofanya kazi...
  9. Mke wangu anatokwa na uchafu mweupe kwenye uke

    Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili...
  10. Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

    Ni kheri wakuu.... Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X. Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU...
  11. Megan thee stallion: Nilimuomba Romelu Lukaku, alie kuwa mpenzi wangu pesa ya chumba cha hotelini, akanijibu jigharamie mwenyewe, ehee nikaachana nae

    Super star big Brand, Megan alipo kuwa anahojiwa kwanini mahusiano yake na mchezaji mkubwa wa kandanda, romeru lukaku hayakudumu. Megan alijibu kifupi tu"nilichukua chumba cha hoteli, nilipo muomba lukaku pesa ya malipo ya hoteli, alidai jigharamie mwenyewe, hiyo ilitosha kabisa kuachana nae.
  12. Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  13. Mtazamo wangu kuhusu uongozi wa Rais Samia na siasa za Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji. 1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio Tanzania imeendelea...
  14. K

    Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

    Wakuu Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma. Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye. Tunasolve vipi hii case wataalamu?
  15. M

    Najuta kumpeleleza mchumba wangu Facebook

    HADITHI TAMU SANA YENYE MAFUNZO MAKUBWA! NAJUTA KUMPELELEZA MCHUMBA WANGU FACEBOOK 1 SEHEMU YA KWANZA “NAPOKEA FRIEND REQUEST” Ilikuwa Jumapili nikiwa nimetoka ibadani nimetulia tu kitandani kusaka utulivu wa nafsi, masaa sikuwa nayakumbuka vizuri ila nachokumbuka tu ni kwamba nilikuwa...
  16. Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  17. Upo wapi ufundi wangu?

    Miaka ya 2003 kipindi cha ujana wangu ,na hapo movie mbalimbali zimetoka kwa fujo 😅 Kama muhanga wa movie, nikakutana na movie la spattacus hii anaijuia Seran na Vincenzo Jr mtaalamu wa movie Nilikua naichapa napiga vitako kispatakasi na kile kifimbo cha manyoya 😅 Ila sasa hivi ni...
  18. Ona wasifu wangu, natafuta kazi/internships kwenye NGOs, CBOs N. K

    EDUCATION : BA in Community Economic Development (BA-CED) - 2022 EXPERIENCE : 2+ working in international NGO World Vision Tanzania (DODOMA&KIGOMA) FIELD: Community Engagement Officer and Resilience and Livelihood Officer (bith internships) SKILLS : Data collector/Enumerator under different...
  19. Mpenzi wangu hunilinganisha kila mara na ex wake

    Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza. Nimewahi kumuuliza kama...
  20. Ushauri wangu kwa wamiliki wa ma bus ya mikoani

    Nimeshawahi kutembelea kwenye Nchi kadhaa hasa za Ki Africa, mnakata ticket online ama kwenye office za kukatia ticket ambapo Huwa zinakata Ticket ya Kampuni yoyote, ama kwenye office za Kampuni (Town). Abiria mtaambiwa m report kwenye office ya Kampuni ya Bus hisika muda flani, ukifika Muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…