wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Boss wa mke wangu ana moyo wa utu sana

    Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie nyumba karibu na kazini ili awe anapata muda wakupumzika mapema nakufanya kazi zaidi maana ilikuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni mdogo wangu sio mzito

    Mnamo tarehe 9 Agosti 1945, ulimwengu ulishuhudia maafa makubwa baada ya mji wa Nagasaki nchini Japan kushambuliwa kwa bomu la pili la atomiki na jeshi la Marekani. Shambulio hili lilileta maafa ya papo hapo, likiteketeza maelfu ya maisha, kubomoa majengo, na kuacha mji mzima ukiwa katika...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa Kuwatia Moyo Wazazi Wanaolea Watoto Peke Yao(single parents)

    "Wewe ni shujaa unayepambana kila siku bila ngao. Upendo, nguvu, na ustahimilivu wako unajenga mustakabali wa watoto wako, hata pale unapohisi umechoka au haitoshi. Kumbuka kuwa kila tone la jasho lako na kila tabasamu unalolazimisha kwa ajili ya watoto wako ni ushahidi wa ukubwa wa moyo wako...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Alsaedy High Class Bus: Begi langu limepotea, Msaada Hakuna

    Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja. Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar. Mnamo tarehe 9/6/2026 nilisafiri na familia yangu kutoka Dar es salaam na bus la Alsaedy linalotoka...
  6. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI. Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku. Kuna watu ndiyo inawaendeshea maisha. Kuna watu wamejenga, wamenunua magari, kuna ambao hawataki kuajiriwa. Iko Hivi...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

    Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mchango wangu juu ya hali ya Tanzania hasa kipindi hiki kigumu.

    Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi. 1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Seran nakupenda, njoo tuyajenge

    Seran ujue nakuzimia mke !
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania Kweli huu mwili wangu hauna shukrani kabisa

    Wakuu Kweli huu mwili wangu hauna shukrani kabisa🥵
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma party 2; misheni ya kumrudisha Khadija wangu

    Wanazengo naombeni msaada, huyo kwenye picha ndo Khadija wangu nampendaaa sana, huyu Binti ndo kila kitu kwenye maisha yangu, Tangu ameniacha mara kadhaa nimejaribu kujfanya kila namna ili nimsahau nashindwa inauma sana,hapa TU sijaenda kazini na mchina anataka kunisimamisha kazi ,sababu ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Jafari Saidi amekamatwa na watu wanne waliojitambusha kama Polisi Kihonda, Morogoro lakini Polisi wamekana na hatujampata hadi sasa

    Anaandika Malisa Godlisten kwenye akunti yake ya ukurasa wa Instagram "Naitwa @nisebrian naomba unisaidie kupaza sauti kuhusu mdogo wangu Jafari Saidi Kahise. Tarehe 5 June 2026 watu wanne waliojitambulisha kuwa Polisi walifika eneo la Kihonda Madukani, Morogoro, kwenye kijiwe ambacho Jafari...
  13. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Japan wanaenda kuishangaza dunia Kwa kubeba world cup 2026...Huu ni utabiri wangu

    Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup. Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanaenda kubeba ndoo World cup ya mwaka huu haina mwenyewe zaidi ya Japan Tu....najua mada hii itapata...
  14. H r n

    JamiiForums Tanzania Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

    Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu si haba. Kinachashangaza kuhusu mume wangu hapendi kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo, either kwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shabiby Buses: Mzigo Wangu Umeharibika/Potea!

    Bus za shabiby zimepoteza na zimeharibu mzigo wangu nimefuatilia kwenye uongozi nimeambiwa ni shida ya Kondakta na ni mwezi umepita sasa tangu mzigo wangu kuharibika na mwingine kupotea hamna anayewajibika hata kidogo. Kwa wakati huu ambao usafirishaji wa mizigo kati ya Dom na Dar umeongezeka...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mapema kabisa natoa utabiri wangu

    Nchi za Japan na Ivory Coast zitaishangaza dunia kwenye hii michuano ya kombe la dunia.
  17. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Dj waleteeeeee

    Pigaaaa keleeeeleee
  18. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

    Hii story watu imewauma sana aisee, nimeamua nitoe, watu wana sukari na presha… ni chai tu kutoka frijini.. msijar
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Marekani wapo sahihi. Ushahidi wangu kuhusu njama za kuangamiza Wakristo na kufuta Kanisa Nchini Tanzania

    Salaam Wakuu, Kabla ya Yote naomba niwakumbushe, asilimia 98 ya Watu wanaopotezwa, Kutekwa na kuuawa Nchi Tanzania ni Wakristo. Hivyo nakubaliana na hatua zozote Marekani itachukua dhidi ya Tanzania. Hizi takwimu ni mbali na mauaji Ya makusudi ya Watoto wetu ya 29.10.2025. Watu wenye bunduki...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hili la US VS. TZ - Huu ndiyo Ushauri wangu

    Nashauri katika Yale majimbo yenye ushawishi mkubwa wa Upinzani, basi wabunge wa majimbo hayo waachie ngazi kwa kujiuzulu nafasi zao za ubunge uchaguzi ufanyike na upinzani ushinde. Mfano: Jimbo la Arusha Mjini, Mbunge wa Sasa ajiuzulu halafu Uchaguzi ufanyike upya, LEMA achukue Jimbo. Basi...
Back
Top Bottom