wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Malipo yaliyokwama kwa Yas kwa zaidi ya saa 24 yananiongezea gharama zisizo za lazima

    Nimelipia huduma za Serikali kupitia Lipa Namba kwa miamala miwili ili kumtoa mgonjwa wangu hospitalini. Nimeelezwa kuwa malipo hayo hushughulikiwa ndani ya saa 24, lakini hadi sasa zaidi ya saa 24 zimepita na bado sijafanikiwa kumtoa mgonjwa kwa sababu malipo hayajaonekana. Sina fedha...
  2. CreativeSanta

    Mtazamo Wangu Kuhusu Marketing

    Siamini kwamba kazi ya marketing ni kufanya tu watu waione brand Marketing inapaswa kutengeneza mahitaji/demands Sales inapaswa kubadilisha mahitaji hayo kuwa mauzo Operations inapaswa kutimiza ahadi iliyotolewa Na mteja anapaswa kuwa na sababu ya kurudi tena Hii misingi minne inapofanya kazi...
  3. monotheist

    Mke wangu anatokwa na uchafu mweupe kwenye uke

    Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili...
  4. Choosen85

    Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

    Ni kheri wakuu.... Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X. Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU...
  5. Alexido jz instagram

    Megan thee stallion: Nilimuomba Romelu Lukaku, alie kuwa mpenzi wangu pesa ya chumba cha hotelini, akanijibu jigharamie mwenyewe, ehee nikaachana nae

    Super star big Brand, Megan alipo kuwa anahojiwa kwanini mahusiano yake na mchezaji mkubwa wa kandanda, romeru lukaku hayakudumu. Megan alijibu kifupi tu"nilichukua chumba cha hoteli, nilipo muomba lukaku pesa ya malipo ya hoteli, alidai jigharamie mwenyewe, hiyo ilitosha kabisa kuachana nae.
  6. RRONDO

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  7. NYAQ

    Mtazamo wangu kuhusu uongozi wa Rais Samia na siasa za Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji. 1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio Tanzania imeendelea...
  8. K

    Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

    Wakuu Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma. Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye. Tunasolve vipi hii case wataalamu?
  9. M

    Najuta kumpeleleza mchumba wangu Facebook

    HADITHI TAMU SANA YENYE MAFUNZO MAKUBWA! NAJUTA KUMPELELEZA MCHUMBA WANGU FACEBOOK 1 SEHEMU YA KWANZA “NAPOKEA FRIEND REQUEST” Ilikuwa Jumapili nikiwa nimetoka ibadani nimetulia tu kitandani kusaka utulivu wa nafsi, masaa sikuwa nayakumbuka vizuri ila nachokumbuka tu ni kwamba nilikuwa...
  10. othuman dan fodio

    Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  11. min -me

    Upo wapi ufundi wangu?

    Miaka ya 2003 kipindi cha ujana wangu ,na hapo movie mbalimbali zimetoka kwa fujo 😅 Kama muhanga wa movie, nikakutana na movie la spattacus hii anaijuia Seran na Vincenzo Jr mtaalamu wa movie Nilikua naichapa napiga vitako kispatakasi na kile kifimbo cha manyoya 😅 Ila sasa hivi ni...
  12. Exformer

    Ona wasifu wangu, natafuta kazi/internships kwenye NGOs, CBOs N. K

    EDUCATION : BA in Community Economic Development (BA-CED) - 2022 EXPERIENCE : 2+ working in international NGO World Vision Tanzania (DODOMA&KIGOMA) FIELD: Community Engagement Officer and Resilience and Livelihood Officer (bith internships) SKILLS : Data collector/Enumerator under different...
  13. Jannatul Firdaus

    Mpenzi wangu hunilinganisha kila mara na ex wake

    Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza. Nimewahi kumuuliza kama...
  14. Powder

    Ushauri wangu kwa wamiliki wa ma bus ya mikoani

    Nimeshawahi kutembelea kwenye Nchi kadhaa hasa za Ki Africa, mnakata ticket online ama kwenye office za kukatia ticket ambapo Huwa zinakata Ticket ya Kampuni yoyote, ama kwenye office za Kampuni (Town). Abiria mtaambiwa m report kwenye office ya Kampuni ya Bus hisika muda flani, ukifika Muda...
  15. P

    ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  16. Ushimen

    Wakuu..... Eti hapa nimekosea nimemjibu sahihi huyu mlokole wangu?

    Kaniuliza kwamba..... Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini?? Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke. Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia? Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🤭...
  17. mager6

    Nina kereka na mume wa x wangu amemtelekeza mke, ananisumbua

    Huyu shory nilikuwa namkubali na nilimpa mapenzi motomoto na outing za hapa na pale, kwa Sasa jamaa aliyemuoa hamtulizi, amemzalisha watoto wanne. Jamaa anafanya ofisi flan serikalin na mamaaa anafanya kazi serikalini ofisi za umbali wa masaa matano. Mke analalamikia mshkaji, amemwambia...
  18. LIKUD

    Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  19. KUKULU- KAKALA

    UTABIRI WANGU LIGI KUU 2026/2027.

    Bingwa - YANGA / SIMBA SC. Timu zitakazo shuka Daraja 1. MBEYA CITY FC 2. FOUNTAIN GATE FC MSIMAMO KAMILI 1. Simba sc point 80 2. Yanga sc point 80 3. Azam FC point 68 4. Singida black stars point 63 5. TRA united point 48 6. JKT Tanzania point 47 7. coastal union point 43 8. Mashujaa point...
  20. Koloko

    Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

    Habari zenu wakuu.. Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana. Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa...
Back
Top Bottom