wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

    Nasema Kumuacha ni Mafanikio kwa sababu ulikuwa mtiti, kivumbi na jasho😅 Sababu kubwa ya kumuacha ni 1. Alikuwa Hana Siri kabisa. lolote tunaloshirikiana nitalikuta kwa majirani, Wafanyakazi wenzangu na hata Kanisa 2. Alikuwa Mbinafsi sana. Hawazi collectively. Ana umimi muda wote 3. Ana kelele...
  2. M

    Baba yangu alilazimisha sana nimpe namba ya simu ya mchumba wangu, sasa anampigia simu hadi mara 10 kwa siku kumjulia hali

    Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu. Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
  3. Q

    Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

    Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona Ikulu na TBC wamekuwa waongo?
  4. “Umaarufu Wangu Umekuwa Kizuizi cha Kupendwa?” 💔 — Athenea Del Castillo Afunguka

    “Wanaume hawaji karibu nami. Hata hawajaribu. Wananiona kama mtu asiyeweza kufikiwa, lakini hakuna mtu ambaye hawezi kufikiwa. Sisi sote ni binadamu. Sote tuko sawa, kila mmoja ana thamani yake, na sote tunastahili kupendwa na kuheshimiwa kwa usawa. Sijawahi kujiona kuwa bora kuliko mtu...
  5. Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

    Jambo Tanzania Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha, Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini. Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi...
  6. MO29 ilinifanya nijitathmini upya uwezo wangu wa kukimbia. Sikuamini mpaka wanawake walikuwa wakinipita kama nimesimama

    Hamjambo! Leo nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia kama sehemu ya kujitafakari kwa kile kilichonitokea MO29. Mimi ni moja ya watu nilioamini ninajua kukimbia haswa. Mwili na umbo langu linanisapoti kufanya mijongeo freestyle, na moves za kasi kuliko kawaida. Shuleni kwetu nilikuwa moja ya...
  7. A

    KERO Malalamiko kuhusu kukamatwa kwa mama yangu Buza, bila uthibitisho wa makosa aliyoyafanya

    Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
  8. A

    DOKEZO Atoweka tangu Mei 12, 2026, mke aripoti Polisi, adai kuna mtu amemwambia mumewe ametekwa na “Mtu Mkubwa”

    Mariam Vincent Mahimbo, mkazi wa Buza, Chama Yombo, Temeke amekuwa akimtafuta mume wake, Ally Nanjasye kwa zaidi ya miezi mitatu tangu alipoondoka nyumbani Mei 12, 2026, baada ya kupigiwa simu na dereva wa bodaboda aliyemweleza kuwa alikuwa na kazi ya kwenda kuiona. Mume ambaye alikuwa...
  9. Mke wangu kumuweka Baba mtoto wake wasapu sitatasi. Nalia ukiwa

    Nimepata mstuko mkubwa Sana leo baada ya kuangalia wasapu sitatasi ya mke wangu nileyapata nae watoto 2 na kukuta amechapisha picha ya Baba mtoto wake na jumbe za malovee, Huku wakininanga na kuniita Kigagula. Natamani iwe ni ndoto au eyiyai . Naangusha machozi ya uchungu, Mwehu naliaa Kwa...
  10. Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
  11. J

    Msaada Mwema Uliokaribia Kuniponza

    Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki. Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
  12. Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  13. M

    Mrejesho,mtoto wangu wakiume umri miaka 10 anakojoa mkojo uliochanganyikana na damu

    Habar wakuu nimerudi kuwapa mrejesho,asubuh ya Leo nilifika hospital yamkoa tukafanya taratibu zote za kumuoona daktar,nikaandikiwa nimuone daktar wamkojo bas tukaingia kwa daktar nikajielezea hali ya mtoto ilivyoanza mpaka mda huo,dokta akauliza kama mtoto alipigwa eneo husika lasiri akasema...
  14. S

    Kama matokeo ya wanaomaliza JKT ndio hawa vijana wanaojirekodi, sipeleki watoto wangu JKT

    Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk. Imenisikitisha sana. Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike...
  15. Hawa wakuu Natafuta Ajira,Xi jinping na wakuu wangu wengine wamefika bei?

    Najiona tumebaki wawili ama watatu tu kwenye hii vita ya kusema ukweli pasina kupindisha maana tunaamini katika kweli maana kweli humuweka mtu Huru Daima. Nashangaa sioni thread tena za wapigania kweli Hawa Xi Jinping Natafuta Ajira na wengine. Je mmekubali pesa za single mother? Pesa Chafu...
  16. Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Kuna vitu ukiwa navyo ni kama natural lubricant, inarahisisha mambo sana. unajikuta unapata nafasi ambazo wengine wanaodhani akili nyingi wameshindwa. pia watu wanakushobokea sana na kila mtu anataka awe rafiki yako tena muwe wote kwenye watu wengi/ public. Nashukuru watoto wangu wamechukua...
  17. K

    Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

    Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri, Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii Lakini demu ni...
  18. Kuna muda huwa napitapita kule gerezani kwangu kuona wafungwa wangu wanaendeleaje.

    Wale ninaowaona wamejirekebisha nawaachia huru, wale wanaojitahidi kubadilika; nawapunguzia vifungo, wale walioshindikana wananyongwa😁😂😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…