wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanawake mnatuma picha za utupu kwa wapenzi wenu?

    Leo nikiwa nipo kwa mshikaji tunapiga stori za hapa na pale, alinionyesha baadhi ya picha, video na rekodi za sauti anazotumiwa na mpenzi wake. Zinaonyesha utupu wake, akiwa anajishikashika pamoja na kutoa sauti za kimahaba. Sikusita kumuonya kuhusu hili lakini alijitetea kwamba mpenzi wake...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lakamata watuhumiwa 44 kati yao wanaume ni 41 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata watuhumiwa 44 kati yao Wanaume ni 41 na Wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, utapeli, wizi wa mifugo na kupatikana na dawa za kulevya na pombe haramu ya Moshi 'Gongo'. Kamanda wa Jeshi...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanawake Msitupe Jukumu ambalo hata ninyi hamfanyi. Kila mtu ajiridhishe mwenyewe

    Yaani mtu analalamika kuwa sijamfikisha. Namuuliza yeye ameshiriki vipi kunifikisha anajibu oooh.... Huoni navyokata kiuno. Nikasema isiwe kesi. Safari hii hakuna kukata kiuno. Inama mbuzi kagoma egamia mto lala. Then tuone kama nitafika au sitafika kileleni. Akafanya hivyo nimefika bila shida...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

    Habari zenu Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako...
  5. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani wanaongoza kutangaza madhaifu ya wenzao?

    Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo! Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe. Au wewe...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta 'connection' kwa watu na si kuomba pesa

    Kutokana na ugumu wa Maisha hasa Tanzania ni Bora uombe connection ya Kazi kuliko PESA. Maana kuweka Vocha ya mia tano ili umpigie Mtu akitumie elfu moja hiyo Biashara hailipi Kabisa. Ukitaka Mwanaume smart na marafiki smart usiombe pesa omba Kazi Naongea hivi kwasababu Kuna Jamaa yangu...
  7. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Huwa sipo serious na wanawake

    Huu ni motto wangu Tangu yule Baby J, pale Lindi 2007 alivyonitamkia wakati namtongoza Ili twende beach pale Kariakoo Kwa chini Ili kibamia changu kitoe gundu. "Kilimba we ni handsome,ila huna hela,tafuta kwanza hela ndo uje" Ile kauli iliniuma kishenzi,hata ule wali siku ya Jumatano sikuula...
  8. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Wanawake, ni nini haswa mkitakacho?

    Katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi😂, wengine nimeona wanapenda kufokewa😂 na hata mmoja nimeona anasema anataka mwanaume asiye na ndevu kabisa😂..... Sasa kina dada naomba mcomment vitu...
  9. Okrap

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda

    Mamboo Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa Mwanaume ambaye anajua kucare. Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana...
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  11. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanafanikiwa kupitia migongo ya Wanawake

    Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati huo nilikua afisa mikopo. Alinielezea kuhusu Biashara yake, plan zake na namna alivyoanza...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Aysharose Mattembe Achangia Milioni 20 Kununua Majiko ya Gesi 500 kwa Wanawake wa Mkoa wa Singida.

    MHE. AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 20 KUNUNUA MAJIKO YA GESI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA SINGIDA SEMINA YA MAFUNZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UWEKEZAJI, RC MISSION MJINI SINGIDA KAULI MBIU: "MAZINGIRA YANGU MTAJI WANGU, YATUNZE YAKUTUNZE" Mattembe Golden Women Foundation (MGWF)...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta wanawake wa kuoa wanapitia magumu sana

    Wakuu kwa sasa hali imekuwa tofauti sana wanaotafuta wanawake wa kuoa wanapitia hali ngumu saana. Kwa sasa imekuwa ngumu kutofautisha wife material na kahaba😁
  14. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda baada ya Utafiti: Acheni kuwatongoza wanawake kwa kutumia simu (kuchat), watongozeni uso kwa uso

    Niko fasta kidogo leo, nitaenda kwenye mada. Vijana mnakosa mbususu za bure kwa kukosa maarifa, kaka yenu nawapa somo leo baada ya utafiti usio rasmi nliofanya kwa muda mrefu. Usitongoze mwanamke kwa simu unampa muda wa kukujudge sana, wewe panga siku baada ya salamu za hapa na pale. Hio siku...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Aysharose Mattembe Achangia Shilingi Milioni 10 Kununua Majiko ya Gesi kwa Wanawake wa Singida

    AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 10 KUNUNUA MAJIKO YA GESI KWA WANAWAKE Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe amefanikisha Semina kubwa ya mafunzo ya Utunzaji wa Mazingira na Uwekezaji kwa wanawake wa UWT Mkoa wa Singida huku Akiwapatia Majiko ya Gesi yenye thamani...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ni balaa wanajua kila namna tunavyoficcha pesa tukilala nao guest houses/lodges/hotels

    Hello JF, 👇👇👇 Juzi Kati hapa nimekoma nimeingia lodge na manzi mmoja mitaa ya area D hapa Dodoma, nilivua suruali mbele yake nikaitundika kwenye enga ukutani, si akashangaa akauliza au ushaficha pesa zako kwenye socks, pillow, uvunguni, kwenye godoro. Pombe mbaya sana ilinisaidia kumjua...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku wanawake wa Afghanistan kufanya kazi kwenye UN

    Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka masharti kwa haki za wanawake nchini humo Katibu mkuu wa UN, Antonio Guterres, amesema kwamba, “...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wanawake Pemba wakerwa na tabia za madereva Bodaboda kuwashikashika

    Abiria Wanawake Kisiwani Pemba, wamelalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa pikipiki ‘boda boda’ kuwaingia mwilini wakati wanapokuwepo kwenye vituo vyao, kutaka usafiri wa aina hiyo. Walisema mara unapofika kwenye eneo lao la vituo na kutaka usafiri, huvamiwa na kuanza kukukopea mizigo na...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnataka nini hasa?

    Mimi nashindwa kabisa kuwaelewa wanawake kipi wanakitaka hasa katika haya maisha Ukijaribu kumuambia ukweli unampoteza yaani anakuacha. Ukimdanganya anasema apendi wanaume waongo Kipi kwenu sahihi mnapenda kusikia au mnataka tufake? Sisi wanaume wengi mioyo yetu myepesi sana yaani raisi...
  20. Katkit

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Mwanamke

    Nimerudi tena. Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake. Guyz, hawa viumbe wana nafasi ya pekee mno mbinguni. Mungu awabariki wanawake wote.
Back
Top Bottom