Nimeitoa BBC
Jacob Wekesa, anayejiita nabii, amejikuta katika hali isiyofaa baada ya kukaa kwa muda wa wiki moja kwenye nyumba ya mmoja wa wafuasi wake.
Mfuasi wa shirika la Legion of Mary, anayedai kuwa na uwezo wa kutambua matatizo ya afya ya uzazi ya wanawake kwa macho yake ya kiroho, sasa...