wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mauaji Wanawake wawili Zanzibar. ZAFELA, TAMWA ZNZ wataka wahusika wakamatwe

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI 28-Mei-2023 Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) zimesikitishwa kwa vitendo vya mauaji ya kikatili dhidi ya wanawake wawili yaliyotokea hivi karibuni Bububu Kijichi na Mbuzini...
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanawake kuwapa uongozi au tunajipiga mtama sisi wenyewe..??

    Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!.. Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Sipati usingizi mpaka niwaze wanawake

    Usingizi unapaa nanga mpaka niwawaze wanawake wazuri wazuri wenye mikia au maziwa kama yale ya kwenye video za dawa za macho. Humu kumejaa watalamu, naomba mnipe ushauri ni kwanini?
  4. The Eric

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kumove on

    Haloo jukwaa la MMU.... Ngoja leo nitetee hawa malaika a.k.a maua a.k.a wanawake kuna swala fulani kwenye gender sijui niseme sisi wanaume hatufanyi sawa kwao. Hivi inawezekana vipi mwanamke akosee umpeleke kanisani hadi umuitie wazazi kisa kachepuka na umemfuma red handed afu wewe mwanaume...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
  6. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Stori ya huyu kijana imeniumiza sana, ama kweli wanawake legezeni kamba kuwanusuru vijana waliobakia dhidi ya hili janga la wanawake toleo jipya

    Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi. Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln hv shoga hivyo ikaleta vulumati sana pale kazini. Mimi ndie msimamizi wake wa kazi hivyo dogo...
  7. Crala kidoti

    JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Habari jf ni Crala Kidoti tena. Hii issue ilimtokea mdogo wangu mwaka 2019 upande wa baba mkubwa wangu. Dogo alikuwa na mchumba wa kike aliyedumu nae kwa miaka miwili kwenye uchumba. Hatimaye wakafunga ndoa mwaka 2019 mwenzi wa 3, na mkewe alimpata na kuwa mchumba wake baada ya kuachana na...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanawake wa Kilokole tunapowatongozeni na mnasema tusubiri Muongee na Mungu sisi huwa ni Majini au?

    Mnakera sana na ndiyo Wengine hivi sasa tumeamua Kubobea kununua ( Migoma ) tu kwani huwa hawana Usumbufu wala Mbambamba kama mlivyo Wanafiki na Wapuuzi nyie. Na kwa huu Upuuzi wenu mtaendelea Kuhangaika kupata Waume wa Kuwaoa kwa Kuzunguka kama Inzi wa Chooni katika Makanisa yote ya Kilokole...
  9. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Wanaume naomba tuwapumzishe wanawake hapa Jukwaani, imekuwa kero na aibu sasa haya malalamiko yetu kila saa

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Guys, nafikiri hawa wanawake sasa tuwapumzishe, this is too much maana halipiti lisaa limoja uzi kuhusu mwanamke uko posted. Na kibaya zaidi ni wanaume ndio wanalia lia kuhusu hawa wanawake, mara wanawake hivi, mara wanawake vile, jamani ndio kusema wametushinda...
  10. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

    Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo; ~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa. ~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili...
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wanawake Kanda ya Ziwa kuuza vitu wenza wao wakienda kutafuta maisha ni umasikini?

    Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga. Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza...
  12. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye nia ya kugombea Uchaguzi mkuu 2025 watakiwa kujifunza kwa waliowatangulia

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi unaongezeka, wanawake wenye ndoto za kugombea uongozi wameshauriwa kuanza kujifunza kutoka kwa wanawake wanasiasa waliowatangulia ili kuongeza ujasiri na uthubutu wa kukabiliana na vikwazo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki kutoa ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia unabaki kwa mwanaume

    Haina mantiki, na hakuna logic yeyote kwa kutoa nafasi za ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia pamoja na huyo mwanamke mwenye ni la mwanaume kwa 100%. USHETANI! Haina mantiki, na hakuna logic yeyote ya kumuongezea mwanaume mzigo wa kulipa house girl...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Kweli mke wa mtu uniombe uje uangalie movie ghetto kwangu?

    Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli? Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini? Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi. Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe. Tafadhali tuyaepuke...
  15. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Hawa Ndiyo Wanawake

    Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
  16. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Badili mtazamo wako kuwa hivi ili usipate shida kuhusu wanawake

    Tangu unaanza kumtongoza jiwekee akilini kuwa wewe ndo kiongozi. Inamaana utaongoza mazungumzo, mahusiano na ngono kiujumla. Hata kama upo kwenye mahusiano ya miaka 40, endelea hivyo. Hilo ni jukumu lako, hivyo kuanzia sasa badili mtazamo juu ya kuwa na mwanamke. Badili kutoka, Nawezaje kumpata...
  17. Amos David Mathias

    JamiiForums Tanzania Napelekeshwa na makalio makubwa ya wanawake

    Nimekuwa Teja la kutupwa la matako makubwa ya wanawake. Popote ninapoyaona napagawa nakuduwaa ni kama nimepigwa shoti na umeme. Nipo tayari nifanye lolote Ili niishie kuyaminyaminya. Na sasa hivi hali imekuwa mbaya zaidi nimekuwa hoi mahututi Mimi sijiwezi. Matako Niue. Nahonga pesa kubwa...
  18. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

    Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huwezi kuwa serious, kabisa...
  19. Crala kidoti

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    Habari wanaJamiiForums. Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

    Anaandika, Robert Heriel Yaani ukitaka kugombana na Wanawake wengi, wewe waambie ukweli. Wanawake ni viumbe ambavyo havitaki Ukweli. Hii ni Kutokana na kuendesha na Hisia. Kikawaida Hisia hazihitaji Uhalisia/ukweli. Na sio Wanawake tuu hata baadhi ya wanaume wanaotumia hisia hawapendi Ukweli...
Back
Top Bottom