wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shocking: Inadaiwa Wanawake wengi wanaoenda gym wanaliwa na trainers!

    Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara. Amenisimulia mambo mengi kuhusu ushenzy unnaofanywa na trainers huko gym hadi nimeogopa. Jamaa yangu kaniambia...
  2. JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wanawake wengi kuhusu uwezo wa wanaume kutiwaridhisha kimapenzi ni athari za kufanya ngono na jini

    Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyejulikana kama pawa mabula,mtu aliyeganya maonesho ya nguvu zake miaka ya nyuma zilizokuwa mithili ya nguvu za Samsoni wa kwenye biblia,ni kwamba yeye binafsi alitumia majini 100 kumsaidia kufanya yote hayo. Akihojiwa wakati fulani wa uhai wake,baada ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawavai bra (sidiria) hasa wale wenye manyonyo makubwa

    Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

    Kuna hii tendency umemtokea demu, au labda yeye ndo katokea kukupa sign kabisa... Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous.. Then kama beberu usipofanya lolote unaonekana boya, haya basi unamtokea unachukua namba then unaanza process. Ila...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wana wivu wa ajabu sana.Ukiwa ujaoa hakuna mwenye mda na wewe,Ukioa kila mwanamke analazimisha kuwa wake

    Kipindi sijaoa hakuna mwanamke mwenye kusumbuka na mimi ,kila niliyetaka kumuoa alikuwa hataki. Baada ya kuoa na maisha ya ndoa yani kila mwanamke akiona pete kidoleni au kunijua wanatengeneza mazingira washike nafasi hiyo. Walikuwa wapi siku zote.
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri. Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii. Sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukichunguza ni kweli tofauti ya wanaume na wanawake.

    Sisi wanaume ndio washiriki wazuri wa kwenda chooni kukojoa. Ila wanawake unaweza kukaa naye zaidi la saa moja hata kwenda chooni uwezi kumuona. Mfano yale mavazi wanayo vaa mpaka unajiuliza hivi anawezaje kuvumilia kubanwa na mkojo. Hii mada nimekuta wanawake wanatusema sisi wanaume kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wa JF ambao mmeshajenga, IGWEEEE....!, nilikuwa na nafasi hio miaka mi-5 iliopita ila niliishia kufanya anasa huku najipa moyo

    Anasa ni zimwi linalokunong'oneza kwa sauti ya upole kuwa "gusa tu kwa leo alafu basi" Masikini kumbe unaisha. Mishe ya kukupa mtonyo kumbe ni kama maua. Sio wanawake wenye MAKEBO makubwa, sio clubbing na pubbing, sio kutafuna jagina zile za telegram, nakumbuka kupita na zungu kama hajawa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

    Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa ! Kwa sasa kupata mwanamke 1. Kuwa na Pesa 2. Cheo 3. Kipaji 4. Muongo muongo kwa ahadi Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa Sasa ni nipe nikupe Nimegundua...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Ebu isikilize hii Ng'ombe 😀😀😀
  13. JamiiForums Tanzania UKIINGIA KIchwa kichwa Ndoa ni chanzo cha utajiri kwa wanawake na chanzo cha UMASKINI Kwa wanaume wengi. Imagine Mgao wa TALAKA.

    UKIINGIA KIchwa kichwa Ndoa ni chanzo cha utajiri kwa wanawake na chanzo cha UMASKINI Kwa wanaume wengi. Imagine Mgao wa TALAKA.
  14. JamiiForums Tanzania wanawake wana dirty mind kuliko wanaume, ila wamebobea zaidi kuificha

    Wengi wamezoea kuamini wanaume ndiyo wanaotawaliwa zaidi na mawazo ya kingono. Mimi sioni hivyo. Ukiangalia baadhi ya majukwaa ya watu wazima mtandaoni hasa yale ya live sex streaming km Chaturbate ,Stripchat, LiveJasmin ,BongaCams ,CamSoda ,MyFreeCams utaona kiwango kikubwa cha ubunifu, mitindo...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawaitaki CCM

    Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura. Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM. Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
  16. JamiiForums Tanzania Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. Sembe haiwafahai wanawake!

    Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. SEMBE HAIWAFAI WANAWAKE.
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Fresh wakuu? Mficha maradhi kifo humuumbua. Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole. Note:majukumu yake kama mwanamke...
  18. JamiiForums Tanzania Kiungo pekee kinachotabiiri kifo kwa mgonjwa wa kiume.sjui kwa Wanawake ILA hiki kidume ukifa kinasimama hatari.

    Mtoto/MWANAUME/Baba/Babu shikilia mashine yako kama uko poa kabisa huna changamoto ya kiafya, tekenya kende, gusa limsuri la katikati ya mtu.wa nyama wako, ukiona limesmama mwambie Mungu Asante. Kwa ufupi MWANAUME akiumwa na ugonjwa AMBAO auendi kumtoa roho kila siku asubuh atasimamisha ILA ni...
  19. JamiiForums Tanzania Umasikini ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa malaya na ombaomba kwenye mahusiano yao.

    Anaebisha aje na hoja ya msingi.. Umasikini ndio chanzo kikuu cha umalaya na kuwafanya wanawake kuwa ombaomba kwenye jamii kwa ujumla
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

    Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe. Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana 1.Tupewe attention na wanawake 2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili? 3.Kwanini hata hapa jukwaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…