wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi wanawake wananyanyasika sana

    Kuna nchi wanawake wananyanyasika sana kama Saudi Arabia, Yemen Oman Iran.iraq Afghanistan UAE Qutar n.k.........
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

    Wanaumeee! Kuweni waagalifu na mifuko yenu! Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja! Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa! Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale! -anataka simu ya tachi, -vocha...
  3. Now and then

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi. Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato Are you insane?
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wanawake wote ambao husimama kidete waume wao wanapopitia nyakati ngumu za kiuchumi

    Hakuna hisia kali zinazoathili Hadi MOYO kama mwanaume unapotamani kuisimamia kiuchumi familia yako lakini mfukoni huna hata sumni. Wakati ambapo Kila unachogusa kinakukataa na kukufanyia usaliti mkubwa wa kifedha. Huu ndio wakati wamama wapumbavu wenye kiuchumi kiduchu huanza kutesa waume...
  5. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

    Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia. Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
  6. kibovu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoenda GYM

    Wakuuu habari za weekend. Ndugu zangu kumekuwa na mawazo potofu wanawake wote WANAOENDA gym wanaliwa. Wakuuu sikatai wanaoliwa wapo hapo ni asilimia 0.01 na wanaliwa na trainer kwa utafiti wangu .Mimi ni mtu wa mazoezi naelewa. Wakuuu nitoe angalizo msicheze na Dem anaenda gym anaweza...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake watema Cheche: Wanaume wenye Vitambi 'Wananuka' kiukweli Wanawake wengi hatupendi Kuolewa nao

    Msinigombanie kama Mpira wa Kona sijasema Mimi na ukitaka kujua waliosema nenda Mtandao wa Bongo Mjini usikie. Hivi mnadhani akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tunachukia kutoka Vitambi kama vyenu hatujui kile tunachokiepuka?
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafunzo yatolewwa kulinda wanasiasa wanawake Mtandaoni

    Taasisi ya Pollicy Data Institute Agosti 15, 2025 imeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari nchini Tanzania, yakilenga mbinu za kuandika habari zisizowabagua wanawake, hasa wale wanaojihusisha na siasa. Mafunzo haya ni sehemu ya mradi wa kimataifa unaoitwa Vote Women, unaolenga kuongeza...
  9. Akotia

    JamiiForums Tanzania Je kuvaa uniform za kubana kwa jeshi la polisi inaruhusiwa?

    Nimeshangaa baada ya kuona video ya huyu afande akivaa uniform uliyombana.
  10. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kimasai

    Ila wanawake wakimasai kwenye mgegedo hawalii(kujibebisha) yaani kimya kimya daaah kheee apn asee izo sauti zinatoa hamasa sasa tu hata kufanya ashiiit hamna sio kwamba lbd kibamia ila nimashine ya kazi kbs dah Wadau ushawai ona hii
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tunakaa mbali na simu za wanawake kwasababu ndio njia pekee ya kudumisha mahusiano, Insecurities ni visingizio tu !

    Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa nae nilikuwaga namkubali sana nikijisemea hapa nimefika katika kuishi nae sikuwa na mazoea ya kupekua wala kutumia simu yake ila niliwahi kuijua password yake, basi kuna siku alikuwa ameenda kuoga nikaifungua. Aiseee !! Yule mwanamke ni kiungo mshambuliaji wa...
  12. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni wivu jitumeni

    Mnawivu sana na ni wachawi sana hadi kero . Kila kitu mmejawa na wivu sana .
  13. U

    JamiiForums Tanzania Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.

    Mithali 31:3
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

    Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi. Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wanawake embu nijibuni

    Kaka ako akirogwa una mtukana wifi yako ila wewe uko una roga kaka wa mwenzako ivyo ivyo sasa hapo kelele za nini? Sijawai waelewa mnatoaga wapi hayo mawazo muoshwa uhoshwa
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanajichukia?

    Wapo wanafalsafa waliowahi kusema mtoto anapogundua yeye niwakike anaaza kujichukia , sitaki kuunga mkono sana madai yake lakini nikama yana mwelekeo wa ukweli. Ninaamini kama ungekusanya wanawake kadhaa ukawauliza kama wangependa kuzaliwa wanaume au wakike kama walivyo wangechagua Me (kama...
  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

    Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status? Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga...
  18. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanatulia kimapenzi wakifika 30+, lakini wanaume wengi wakifika 30+ ndio kwanza kunakucha (wanakuwa active?)

    Nimekuwa nikiona pattern fulani ya ajabu kwenye mahusiano. Wanawake wengi wakiwa kwenye 20s wanakuwa na nguvu nyingi za kimapenzi, kupenda kujaribu mambo mapya na kubadilisha wapenzi mara kwa mara. Lakini wakifika 30+ wengi huonekana “kutulia” wanapenda mtu mmoja, maisha ya utulivu na mara...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ili aweze kukutii kama kiongozi katika ndoa unatakiwa kumzidi vitu vingi, kinyume na hapo au kumruhusu akuzidi ni risky

    Wanawake ni viumbe ambao ili aweze angalau kuwamudu hata kwa mbali katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vingi Mzidi elimu, mzidi umri, mzidi kipato, mzidi hekima, ,mzidi urefu, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Vya kumruhusu akuzidi ni akuzidi usafi, ukimya, ucheshi...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania MAKAMPUNI MENGI MA-HR NI WANAWAKE, KWANINI?

    Hivi hii huwanakusudia nini mara nyingi idara za HR ni wakuu wa idara ni wanawake? Kwanini?
Back
Top Bottom