Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike...