wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nawaza huenda Corona inauwa zaidi wanaume kuliko wanawake (ipo haja kuchunguza ni kwanini)

    Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie! Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake! Hii ni kutokana na ukweli kwamba, wanandoa wazee wanapopata changamoto za ugonjwa huo, akianza kufa mwanamke basi kama mme alikuwa naye wakati wa kuuguza naye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Namna malezi na utamaduni wa Watanzania unavyoathiri afya ya akili kwa Wanaume

    Nini maana ya afya ya akili? Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutikuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Huhusisha uwezo wa mtu kufurahi maisha na kutengeneza mlingani baina ya shughuli za kimaisha pamoja na jitihada za kufikia uwiano mzuri...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanaume futeni hii aibu ya kukataa Watoto, this is too much

    Wanaume wanaowapa Mimba then wanakimbia huu ni Ushamba. Huku mtaani mnatusababishia Matatizo, mpaka aibu Wanawake wanavyokula msoto. Iwe msoto ,changamoto Rijali akatai Mtoto. Everyone should carry it Burden
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupata msongo wa mawazo kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume?

    Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Pia kiwango chao cha kupata matatizo ya kiafya au kujiua ni kikubwa mara tatu ya kile cha wanaume. Utofauti huu kati ya jinsia hizi mbili bado...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kauli za wanawake wakiwa na hasira zatajwa kuwa sababu ya wanaume kupima DNA

    Mwanasheria wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Abeid Kafunda ametaja baadhi ya mambo yanayochangia wazazi wanaume kutaka kujua uhalali wa mtoto au watoto kwa kutumia kipimo cha vinasaba (DNA). Kafunda alilieleza HabariLEO ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuwa mambo hayo kuwa ni...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanawake wajawazito watafuta wanaume bandia kupata kadi ya kliniki

    Wakina mama wajawazito wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewalalamikia wanaume wanaowapa ujauzito kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni zinavyodai hali inayopelekea wakina mama hao kutafuta wanaume wengine kwenda nao kupima ili waweze kupata kadi ya kliniki. Hata hivyo ITV...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wanawake wana akili kuliko wanaume, Wanawake wana uwezo zaidi ya wanaume hata wasaidizi wangu wote ni wanawake

    Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume. Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Si upungufu wa nguvu za kiume tu umekuwa tatizo hata uwezo wa wanaume kuzalisha unapungua

    Unakuta ni familia yenye uwezo, lakini watoto wao wa kiume hawana uwezo wa kupata watoto. Katika maendeleo ya mwanadamu, kilichosabisha ustaarabu wa kuoana na kuanzisha familia ilikua ni utaratibu wa kurithi mali. Binadamu alipoanza kumiliki ardhi, kulima nafaka na kumiliki wanyama wa kufugwa...
  9. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanaume nao wanapataga siku zao kwa mwezi 😱

    Sasa huwa mnazitumia vipi hizi pads? Na nyinyi pia huwa mnaumwa wakat wa siku zenu km tumbo au kiuno?
  10. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa tofauti na sisi wanaume?

    Hello Jf. Kuna kautafiti kangu kasiko rasmi nimekuwa nakafanya kisirisiri,nimegundua kwamba wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa,utakuta anajipiga picha kwa kutumia simu but atahakikisha lazima pete yake ya ndoa inaonekana kwa watazamaji. Hivi hii huwa ina maana...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA

    Habari za leo wakuu, Kwenu wanaume wote Tanzania, Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama chetu cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA nitafute inbox ndan ya mkoa wa Arusha na Tanzania nzima njoo whatsap 0766945239 Ada ya kitambulisho Ni 500 tu.
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baba Levo : Niko tayari kumtambulisha Mondi nyumbani kwetu, wanaume wote Kigoma tuko hivi

    Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?. Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana...
  13. Caroline Danzi

    JamiiForums Tanzania Tathimini ya maoni toka kwa wanaume (vichwa vya familia)

    Salaam kwenu wanaume/vichwa vya familia. Baada ya kukusanya maoni yenu nini hampendi toka wa wenza wenu (wake, girlfriends, michepuko etc.), nimecompile points za mheshimiwa Emiir kama zinavyoonekana hapo chini, nitaongezxa chache tu ambazo yeye hakuzianisha ila zimezungumziwa tena kwa hisia...
  14. demigod

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tunabinya binya nyanya lakini tuna nunua bilinganya

    Mambo vipi wadau. Nimeulizwa hili swali DM na pisi zaidi ya 4 wiki hii. Ngoja nilijibu kwa kwa ujumla. Wanaume ambao tunaruka ruka pasi na kutulia na pisi mmoja huwa tuna lengo la kuhakikisha tunapitia kila aina ya muonekano, ikiwemo wanene, wembamba, warefu, wafupi, weusi na weupe. Lengo ni...
  15. yuda75

    JamiiForums Tanzania Iwafikie wanaume wote wenye tabia ya kuomba kununuliwa BIA au POMBE bar

    SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja Umenunua zako K Vant unapiga...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

    Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh. Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wanaume kadhaa wanaishi kwenye ndoa kama wako gerezani kwa hofu ya kagawana Mali

    Itakuaje sasa tukiachana ama mama watoto akitaka tuachane?? Mwendo wa pasu kwa pasu
  18. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini Sana tunapo oa wanawake masikini

    .
  19. jeipm

    JamiiForums Tanzania Wanaume andikeni majina ya mama zenu kwenye hati ya viwanja na nyumba

    Hili nalisemea ili liwe fundisho kwa wanawake ambao wanaingia kwenye ndoa kwa tamaa ya mafanikio ya mwanaume ili wakinukishe wagawane Mali. Hili limemtokea mwamba Fulani jirani yetu hapa. Mwanamke kachukua mkopo akagushi nyaraka kuonyesha kuwa huo mkopo wamekubaliana na mmewe, baada ya kuchukua...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Barua kutoka chama cha wanaume wabahili

    Chama chetu cha wanaume wabahili Tanzania ( chawawa) Kinapenda kuwatangazia wanachama wake kuwa Kesho kwetu sisi hakuna kitu kinachoitwa Valentine day . Bali tutashinda tukiabudu kanisani na kusifu Muumba aliye juu. Hii ikimaanisha mengi ikiwemo swala mtambuka la gharama na kufidia pesa za...
Back
Top Bottom