wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, sheria za ndoa nchini zilitungwa na Bunge la ngapi? Je, Bunge hilo lilikuwa na wanaume?

    Leo kuna mtu ameniuliza, kwamba sheria za ndoa nchini Tanzania zilitungwa na bunge la ngapi na mwaka gani, na katika bunge hilo kulikuwa na wanaume? Au lilikuwa ni shinikizo la kupata misaada toka nje ya nchi hivyo watu wakafumba macho tu na kupitisha hizo sheria? Huwezi ukawa na sheria...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaotaka wanaume wa maana, je na nyie ni wanawake wa maana?

    Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda taarabu

    Hellow Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki huu. Na hili nimeliona kwenye sauti za busara wanaume tulikuwa wengi sana kuliko kawaida. Na hata Dogo Janja juzi kapost kwenye wasp...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume. Zaidi ukisoma Quran tukufu...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume tujadiliane, hivi ni muda gani sahihi wa kuanza kumpa mwanamke hela baada ya kumtongoza?

    Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo. Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje? Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

    Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu? Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume mnawaharibu watoto

    Hivi inakuaje unaweka kabisa dhamira na kuitekeleza ili tu utimize haja zako huku ukimuachia mtoto kovu lisilofutika kabisa katika maisha yake hapa duniani? Cha ajabu mmekuwa mkijinasibu kuwa na utaalamu mkubwa wa kuchakata wanawake. Hili mnalikiri hadharani. Ila kwa vitendo vinavyojitokeza...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

    Hazinyolewiiiii
  9. JamiiForums Tanzania Wasikilize, lakini usipokee ushauri wa wanawake kuhusu wanawake

    Wanawake ni wazoefu wa kuwa wanawake lakini hawana uzoefu juu ya jinsi ya kumvutia na kumtunza mwanamke mwingine kimapenzi. Asilimia kubwa ya wanawake hawajui kitu haswa kinachomvutia kwa mwanaume aliyenaye, ni wachache wanaoweza kuweka hisia zao kwenye maneno yanayoeleweka. Japo unaweza...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi "smart" wenye hela, hawajiamini kwenye mahusiano

    Hello, Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja tulikaa mahali, mwamba alitumiwa sms na mpenzi wake, mdada alituma sms ya kuomba kuzaa na mmoja wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wanaokwenda kwenye nyumba za ibada wafanyiwe maombi ya kupata mume, wanaishi mitaa gani ambako hakuna wanaume?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n...
  12. JamiiForums Tanzania Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa. Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri ni nini?
  13. JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

    Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara. Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanauelewa mkubwa wa mambo kuliko wanaume kiufupi mi nawaita akili kubwa

    Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua mwaka 2015 nimenunua simu mpya sasa nataka niingie play store nipakue vitu ninavyo vitaka niseme...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini miaka hii ya karibuni wanaume wanajipamba kuliko wanawake au kufikia kuwazidi wanawake

    Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

    Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali; SWALI Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume? Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wanaume watatu wenye msongo wa mawazo Tanzania kwa sasa

    Hawa wote chazo Cha stress zao kinafana. Haji na Mkewe Harmonise na Mkewe (mchumba) Mwaka na Mkewe #Ishini nao kwa akili.
  18. JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

    Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze...
  19. JamiiForums Tanzania Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

    Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka. Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa. Wadiz.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…