Wanaume wengi tunaamini pesa ndio kila kitu kwenye mahusiano, yaani ukiwa na mke na watoto unamini wakila vizuri, wakivaa vizuri, watoto wakienda shule nzuri Mama yao akipata mahitaji yote sijui salon, nguo nzuri nk basi upendo utadumu na familia itakuwa imara na bora
Aisee nikuambie kitu...