wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PSL god

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hatugombanii wanawake kama wanawake wanavyotugombania wanaume? 🤔

    Imekuwa ni jambo la kawaida sana sana kwenye jamii zetu sio tu Afrika hata ulaya unakuta wanawake wanapigana vikumbo kisa Mwanaume. Either ni Mwanaume 1. Mwenye pesa 2. Handsome 3. Ana ushawishi 4. Maarufu n.k Ila sisi wanaume pamoja na kuhonga kwetu mamilioni ya pesa Kwa ajili ya wanawake...
  2. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Wanaume na suala la kuhonga

    Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF mnachekesha sana, mimi nafanya kazi na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

    Kwema Wakuu! Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa. Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside au mwanamboka alafu ukaita Pisikali. Hiyo ni kuonyesha kichwa yako mtandao hausomi vizuri. Au...
  4. aise

    JamiiForums Tanzania Analia mke wake kutumiwa ujumbe usiku na mwanaume mwingine, ametudhalilisha wanaume

    Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume! Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku. Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

    Hello, Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii. Wakuu nipeni tips, ikitokea...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mtakuja kufa bure kwa presha. Jitahidini kutongoza. Kwa sasa wanaume hatuna muda

    Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana na majibu machafu mtakayotupatia? Vipi kuhusu gharama za kuwalipa? Inapotokea chance ya ninyi...
  7. Joannah

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

    Kwema? Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini? Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu. Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema? Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa? Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE" 😣 Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe...
  8. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Wanawake walio wengi waleo wanatumia dildo na kusagana ni ngumu sana kwa wanaume kuwaridhisha

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ni ngumu sana kuwaridhisha wanawake wa kileo kwa sababu huwezi shindana na dildo ambalo linatumia umeme Japokua kumekua na vilio vingi kwa upungufu wa nguvu za kiume ila ukweli ni kwamba mtindo wa maisha wa wanawake wengi ni ngumu sana kuwaridhisha Zaman ilikua...
  9. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

    Habari wadau. Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote. Wanawake wana biological age tofauti na wanaume. Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wanaume na Wanawake nani mabingwa wa kuharibia wenzao maisha?

    Kwema wakuu! Kama swali linavyoeleza. Kwa upande wangu naona sisi wanaume ndio mabingwa wa kuharibia wanawake maisha. Kwenye wanawake kumi basi tisa wameharibiwa maisha na wanaume. 1. Kutia mimba na kutelekeza. 2. Kuwafanya tegemezi na kuzima ndoto zao. Hii inawafanya wanawake kuwa watumwa na...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wanawake wameongeza mahitaji yao

    Wanawake sasaivi wanataka P Bundle, yani Mwanamke akiingia Period apewe mazaga kama sehemu ya kumpooza siku zake.
  12. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Wanaume Tubadilike

    Kweli Dunia inaenda kasi Na Inapata Watu wapya kila siku na Wengine wanasepa kila leo!! Kero kubwa ambayo inaboa kila uchwao kwa kizazi hiki ni Mwanaume KULIA.. Inatafsiriwa kuwa mwanaume ni mtu ngangari, Mpambanaj, Ila Leo hii imekuwa tofauti mwanaume alia sana mbele za watu,Kitu kidogo...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Wanaume tuwe makini na Wadangaji

    Huyu Mwanamke anasema kuwa alitoa Mbususu na akamuwekea madawa Mchizi ili Rungubesh lisizi. ANGALIA VIDEO HAPA SIJUI KAMA ANA WAZAZI HUYU
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

    Salaam,Shalom!! Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake, Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana. TABIA za ukosefu...
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Sisi wanaume weupe tunachukiwa sana. Haya maneno ya huyu jamaa si ya busara

    Hili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa...
  16. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Nasema nanyi wanaume wenzangu

    Wakuu habari za uzima? Leo nataka niongee na baadhi ya wanaume wenzangu wanaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwao kana kwamba sisi wanaume hatukosei kwenye jamii wakati maovu yote yanayofanywa na wanawake ni sawa tu na maovu yote yanayofanywa na wanaume. Wanawake wanaochepuka...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

    Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini baadhi ya wanaume wenzetu hupenda kutudharirisha wenzao?

    Mara mia tu niwaachie dunia yenu nikaishi kwenye mavolkano tu huko. Maake udharirishaji umezidi Yaani mwanaume unalilia mapenzi! Yaani unamwaga mpaka chozi na kujinyenyekeza kabisaaaa!!😥😥 Yaani Mwenyezi Mungu katupatia hawa viumbe tuishi nao kwa akili, tena isitoshe kawafanya kuwa maradufu. Leo...
  20. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

    Habari wadau Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi. Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje? Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
Back
Top Bottom