wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Hakika tunawachezea na kuwaacha ili tukaoe waliochezewa na wanaume wenzetu.

    Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya. Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na walio chezewa hivyo hivyo. A) WANAUME AMBAO HAMJAOA Wanaume wenzangu unapokua na mwanamke kwa...
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  3. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Kila Mwanamke Ana Wanaume Watatu

    Wa kwanza ni The Main Guy – Yule ambaye anampenda na kuvutiwa naye. Huyo mara nyingi hajali sana kuhusu yeye. Kisha kuna wa pili, The Backup Guy – Kawaida ni mwanaume mzuri anayemtaka. Ni mzuri lakini yeye hamvutii. Anakuwa rafiki tu, na anahifadhiwa endapo yule anayempenda atamvunja moyo...
  4. Magical power

    JamiiForums Tanzania Naomba niwashauri wanaume wenzangu

    Naomba niwashauri wanaume wenzangu, mwaka mpya huu wa 2025 unataka kufanikiwa chagua mdada mmoja bonge mzuri anayejitambua jiweke hapo tulia utafanya maendeleo haraka sana. Wadada mabonge wanajua kupenda sana wametulia ukimpenda anaridhika hawana tamaa hata kidogo. Wanajielewa na wengi unakuta...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

    Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa...
  6. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

    Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!. wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho...
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake watakuwa wakifanya mapenzi zaidi na ROBOTI kuliko Wanaume kuanzia 2025

    Hiyo ni kwa mujibu wa chapisho la Jarida la The Sun, ambapo limeeleza kuwa ngono kati ya roboti na Binadamu wa Kike itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume. WANAWAKE watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, kulingana na ripoti. Dk...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaume dhaifu ndio wapiga kelele wakubwa wa wanaume kutotembea na wake za watu

    Kelele kubwa inayopigwa na wanaume wa Tanzania kukatisha tamaa wanaume kutembea na wake za watu inatokana na inferiority complex(hali ya kujihisi duni). Hakuna mwanaume anayejiamini atakaa anafikiria mke wake au wake za watu kutoka na wanaume nje ya ndoa. Kauli za "mke wa mtu ni sumu" ni kauli...
  9. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kila nyumba imara,yupo mwanamke

    Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuendelee kuandika majina ya Mama kwenye mali zetu.

    Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya. Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa mali hizo. -------------------------------------------...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Ukiona una 30s jaribu kutafuta wanaume mtaani kwenu

    30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao. Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
  12. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kwa hili niseme wazi tunaaibishana sana sisi wanaume

    Mwanaume amevaa kaptula kisha ana mguu wa beer. Mguu mnene kama wa mwanamke. Nimejisikia vibaya jirani wanasema "jamaa ana mguu mzuri wa bia kama angekuwa binti ingekuwa magoli sana" Mhusika anazunguka zunguka tu hapa bar mara kaenda mbele mara karudi.anajisikia fahari kabisa huyu bwege. Mguu...
  13. Daby

    JamiiForums Tanzania Swali linaloumiza wanaume kichwa: Babe can we talk/Nataka leo tuongee!!!

    Mkeo au mpenzi wako akikuambia muongee huwa unawaza nini? Najua hili ni swali linalochukiwa na wanaume walio wengi. Tuambie huwa unawaza nini? Binafsi mimi huwa najua shida ni hii simu yangu maana ndiyo huwa inaniletea matatizo kila kukicha. Nikiskia tuongee tu najua basi kuna kitu...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wanaume kweli wamewazidi mbali mno wanawake kwenye kuchangamana

    WANAUME KWELI WAMEWAZIDI MBALI MNO WANAWAKE KWENYE KUCHANGAMANA 1. WANAUME ni rahisi kupiga stori kama watu wanaofahamiana muda mrefu utajua kuwa hawafahamiani kwenye kuitana majina utasikia Tall, White, Uncle, Big, Mkuu, Kiongozi, Shekh, Mangi, Ngosha, Mwaisa, Tata, mtumishi, kaka 2. WANAUME...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Afungwa miaka 20 Kwa kumbaka mkewe na kualika wanaume wengine 50 wambake mkewe

    Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10. Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

    Kwema Wakuu! Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu. Hayo sio maoni bali ni fact.
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Jamii zinawatengeneza wanaume kuwa viongozi kimfumo, wanawake wanahitaji juhudi na sifa za ziada kuwa viongozi bora

    Katika sehemu nyingi za dunia jamii zimekuwa zinawajenga au kuwatengeza wanaume kuwa viongozi kimfumo kwa kipindi chote cha maisha ya binadamu. Tukichukulia jamii zetu mtoto za sasa kwa mfano mtoto wa kiume ndiye anachunga mifugo porini na ndiye msimamizi wa mbwa nyumbani, haya ni mambo ya...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

    Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
Back
Top Bottom