wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo wanawake wanayohisi ni kweli kuhusu wanaume na kumbe ni kinyume chake

    Katika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine. Mwanaume ameumbwa kwa namna ambayo inamtaka mwanamke awe na mwenendo wa aina fulani ili waweze kuelewana ama kwenda...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii tuwapo faragha?

    Hii huwa naona kwenye vyumba vya kubadirishia nguo (changing room) hasa kabla na baada ya kazi mnapojiweka sawa ili mrudi ma kwenu. Hata chuo ma bwenini nilikuwa naona sana wanaume wa aina hii. Tulivyo wanaume huwa hatuwazi vitu vidogo vidogo kama hivi. Sasa unakuta mwanaume ana zile bukta za...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

    Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma? Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake.. Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wanapaswa kulipwa zaidi ya wanawake kwa sababu ya expectations za jamii zetu

    Leo nilikua nimekaa kwenye Cafe flani nikasikia mazungumzo ya watu nyuma yangu wanabishana kuhusu malipo na mishahara ya watumishi wa serikali kati ya wanawake na wanaume. Kwamba wanaume wanapaswa kulipwa zaidi ya wanawake kwa sababu ya expectations za jamii zetu na familia juu yao ni kubwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume tukutane hapa tena

    Siku ya Wapendanao, wewe ndiye pekee unayemletea zawadi. Siku yako ya kuzaliwa, bado wewe ndiye unayemletea zawadi. Siku yake ya kuzaliwa, bado ni wewe unayemletea zawadi. Krismasi ikifika, wewe pekee ndiye unayetoa zawadi. Siku ya kumbukumbu ya uhusiano wenu, bado wewe pekee ndiye...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume tusilaumiwe kwa kutongoza watu wetu wa karibu ( wanawake )

    Hongereni na poleni kwa pilika wakuu. Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk. Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume nimewaita mara tatu sitawaambia tena hizi codes

    Wanaume wapendwa, Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua gauni, hakikisha umejinunulia suti nzuri. Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua vipodozi, hakikisha umejinunulia manukato ya gharama unayoyapenda. Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za vifurushi vya intaneti, hakikisha umelipia...
  8. JamiiForums Tanzania Nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kufanya matendo ya uhayawani na ukatili kwa wanaume

    Ni kweli wanawake wana huruma ila kuna wakati wanakua katili sana . Je, nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kutimiza vitendo vyao vya kikatili dhidi ya kiumbe cha kiume ( mwanaume) Nb: ili uelewe huu uzi angalia video clip kwa makini sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tunajipa moyo kuwa uzuri wa mwanaume upo mfukoni, sababu tunajijua muonekano wa wengi wetu ni mbovu

    Habarini Huu ni ukweli mchungu ambao wadada na wakaka wengi wanashindwa kusema, wanaume wengi wetu sisi tuna vitambi kama tumebeba mimba, vimbaumbau, mwili mmoja rangi mbili, ngozi ya mwili kama ya mamba, meno kama foleni za madumu, halafu tunategemea tupate pisi kali Asiwadanganye mtu uzuri...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnajua mna matatizo

    Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie! You don't even put a ring on it alaf unataka mwanamke akusubiri? Akija mwanaume mwingine amkatae kisa...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsia ya kiume iko katika hatari kubwa

    Na Paul R.K Mashauri Kama wewe ni mfuatiliaji wa takwimu mbalimbali, utagundua kwamba, utafiti ndani na nje ya Tanzania unaonesha kwamba idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku inazidi kuongezeka na sehemu kubwa ya wanaodai talaka ni wanawake. Utafiti pia unaonyesha, sababu inayoongoza kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanawachukia sana wanawake?

    Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake. Naona limekua jambo la kawaida hasa huku mitandaoni na hata huko nje kwenye jamii zetu. Naomba nisaidiwe...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane kidogo mbinu za kivita Kula wademu wenye kazi na mishahara mikubwa

    Salaam jamiiforum Wanaume wenzangu hapa Duniani tunapita, hivyo kila kitu kizuri ikiwezekana kifanyike na siyo kujibana saaana jipe Raha tofauti tofauti mara moja moja, Safiri kwenda sehemu mbalimbali kama una afford, Kula vizuri ,vaa vizuri ,endesha usafiri mzuri hata kama hujazifikia ndoto...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume hamuwafahamu vizuri wanawake

    Wanaume 🥴 Kumwingilia mwanamke siyo tu kuweka uume wako...✍🏾 Kuingiliana ni zaidi ya ngono na kumaliza. Kwa hakika, hata mbwa wanafanya vizuri zaidi. Kuingiliana ni kuhusu kumiliki nafsi yake. Ili kumiliki nafsi yake, lazima ushinde tabaka lake la KISIA. Tabaka la kisia ni lango la...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume ni kiumbe kilicho kwenye hatari ya kutoweka duniani!

    Mungu alimuumba mwanaume kwa mfano wake, na sio MWANAMKE. Hivyo basi mwanaume ni kiumbe kitakatifu cha Mungu muumba na MWANAMKE ni kiumbe kitakatifu cha shetani, ndio maana nyoka aliweza kumtumia Hawa kumuangamiza Adam pale bustanini. Waliongea na kuelewana kwa Lugha moja. Ili shetani apate...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

    Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako. Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

    Inaumiza sana sana sana Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia) Kama wewe ni mfuatiliaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume: Ulijuaje kama hiyo Style yako ya kunyoa inakupendeza? Ushawahi take risk kujaribu Style nyingine?

    Kwa Wanaume. Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie? Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi jaribu acha ndevu?
  20. JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

    Naona kuna mtiririko wa mada nyingi za kukataa ndoa, kwanza niseme mimi nimeolewa na mume ambaye sijutii, hakika sijutii kabisa kuolewa naye tulianzaje bas kisa hiki nina imani kitakua na namna flan ya kufundisha hata kutia moyo wale ambao mioyo ilishakufa zamani kuhusiana na ndoa au mahusiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…