wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

    Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
  2. figganigga

    KERO CCM juu? Wananchi wa Morogoro mto Lukosi, tunaishi kama Makomandoo baada ya miaka 60 ya Uhuru

    Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha. Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha. MY TAKE Mshauri Mwenyekiti wa Kijiji asilalaimike popote kwani atatekwa. Abdul mla watu hataki wananchi...
  3. tpaul

    Mwamposa kunyanganywa madhabahu ya Kawe kufuatia malalamiko ya wananchi

    Kuna taarifa zinatembea chini kwa chini kuwa huenda mtume Boneface Mwamposa akanyanganywa madhabahu ya Kawe baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi kuhusu namna anavyowatendea waumini wanaotoka mikoani kuja madhabahuni kwake. Katika klipu moja inayotembea kwenye mitandao ya jamii...
  4. Nuel27

    Je hali ya uchumi wa nchi kwa sasa inaakisi uboreshaji wa maisha kwa wananchi wake?

    Anaandika mwandishi na mchambuzi wa Clouds Media Group Farhan Kihamu ORODHA YA MASWALI YANGU KWA MBUNGE WANGU AYAPELEKE BUNGENI KWA MAWAZIRI HUSIKA. 1- Mheshimiwa Mbunge suala la sekta Ardhi na Makazi naomba ufikishe kwa Waziri wa Ardhi kuwa kitaani kwasasa haswa Mijini Chumba, sebule, jiko na...
  5. BigTall

    Hivi ndivyo Wananchi wenye hasira walivyompiga Daktari Bingwa wa Mloganzila aliyemshambulia Askari

    Ikumbukwe kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026, baadaye Jeshi la Polisi likatoa taarifa kuwa linamshikilia dereva huyo ambaye alitambulika kuwa ni Conrad Agonza Kayoza (35), Daktari Bingwa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na mkazi wa Lugalo na Mloganzila...
  6. Burn the bridge _Tz

    Nilikuwa na ndoto ya kuwa polisi ila kwa haya maoni ya wananchi juu ya jeshi la polisi HAPANA SITAKI.

    Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
  7. Nyani Ngabu

    Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

    Kufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026. Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana! Hawa ma askari wa barabarani walihusika kuwaua Watanzania. Oneni huyu akiwa kashika gobole lake akiwinda awapige risasi za kichwa...
  8. MamaSamia2025

    Hata kama mnawapenda sana polisi nakemea kitendo cha wananchi kumshambulia mtu aliyekuwa akimpiga traffic police, wangemfikisha kituoni

    Ninatambua upendo wananchi walio nao kwa jeshi lao la polisi ila ninapinga wao kujichukulia sheria mkononi kwa kumpiga mtu aliyekuwa akimpiga askari wa usalama barabarani. Kujichukulia sheria mkononi ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Wananchi walipaswa kumdhibiti mtuhumiwa na kumfikisha kituo...
  9. R

    Wasira: Hakuna aliyesema kwa niaba ya wananchi akaondolewa, CCM si Malaika

    Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema "Sasa, nimjibu bwana wa UDASA. Maana bwana wa UDASA ametuonea kidogo...
  10. Carlos The Jackal

    Ndejebi akiwa anaongea, unamuoma Msel/Muhimu ndio anaongea , et anakaza sura, anarembua sauti, 'Ndugu Wananchi '

    Daahh naangilia hii Clip ya Jamaa akitangaza KIFO cha Mume wa Samia, Hadi nacheka 😂😂 Jamaa anaongea Kihuni huni, kisela sela
  11. R

    Jaji Warioba: Vyama vya siasa vimekuwa kama makabila, vimewagawa wananchi. Hatuwezi kuita mikutano bila sare

    Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kujadili hali ya demokrasia nchini, kufuatia matukio na hali ya kisiasa iliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ameeleza wasiwasi wake juu ya mwelekeo wa...
  12. DodomaTZ

    Changamoto ya Barabara Kijiji cha Kidemeni ni kubwa, inarudisha nyuma mwendo wa maendeleo

    Kidemeni ni miongoni mwa vijiji vinavyopatikana katika Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, wananchi wake wana kilio cha kutokuwepo kwa barabara ya uhakika, hivyo kudai inachangia kudumaza maendeleo yao. Kwa miaka kadhaa sasa, Zanzibar imeendelea kushuhudia mabadiliko makubwa ya...
  13. peno hasegawa

    “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  14. H

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  15. Tochuku

    Eti waziri wa mambo ya ndani...eti shekhe(uchwara) mwaipopo alianzisha kikosi kwa ajili ya kuua wananchi alikua ana NIA NJEMA.. whaaat????

    HUYU ni wazuri Gani huyu? Kuna mawaziri wengine wa nchi nyingine wanafanya kazi iliyotukuka...nani anamjua wazuri wa mambo ya ndani wa Rwanda? Au south Africa? Au Botswana? HUYU waziri wenu Niko hapa nasema ni Kichekesho sijawah kuona. Hivi hii nchi Ina laana ama imelogwa? Ni uchawi Gani...
  16. Mhaya

    Afande Sele: Viongozi wanachochea wananchi kuzidi kudai katiba mpya

    https://www.instagram.com/reel/Dc8IZBMs-gw/?stkn=bmR4OHhueTUyZWFy
  17. Zack Abdul

    LIVE: Nchemba Akutana na Wananchi Ilongero

    https://www.youtube.com/live/vKnfRaMqeEI?si=VEfXN02_ql7yhs1V LIVE: WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 06, 2026, anazungumza na wananchi wa Jimbo la Ilongero, Halmashauri ya Wilaya ya Singida, pamoja na kusikiliza na kujibu hoja...
  18. M

    Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  19. M

    Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

    Mtu anakufa watu wanafurahia👇
  20. Smartkahn

    Rais Samia ana uchungu sana na Nchi kuliko wananchi wenyewe!

    Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza. Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!? Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na...
Back
Top Bottom