walimu

  1. U

    JamiiForums TAMISEMI: Tume ya Utumishi wa Walimu, fanyeni msawazo wa walimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano

    Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa waalinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano sawa wa waalimu...
  2. W

    JamiiForums Je, huu ni mwendelezo wa Serikali kutudharau Walimu Shule za Msingi?

    Nipo shuleni ofisini Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi? Je, Serikali...
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

    Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile. Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
  4. Linguistic

    JamiiForums Wazazi kuweni makini Na walimu wa "Twisheni" na Madrasa

    Wakuu kuweni makini na hawa maustadhi wanaowafundisha Watoto wenu huko vyuoni au twisheni. Tuko kwenye CAT session hapa Dodoma, Kuna Kesi Mwalimu wa Madrasa Moja Hapa Alikuwa anawafundisha watt mchanganyiko kumbe Miongoni Mwao watt wale Kuna Binti wa miaka 9 ustadhi akawa anamuingilia yule...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Iramba: DC Suleiman Mwenda aagiza walimu wanaodai fedha za uhamisho na madai mbalimbali kulipwa stahiki zao

    DC MWENDA AAGIZA WALIMU WANAODAI FEDHA ZA UHAMISHO NA MADAI MBALIMBALI KULIPWA STAHIKI ZAO. Na Mwandishi wetu: Mkuu wa wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amewaagiza maafisa Elimu msingi na sekondari kuwalipa walimu wanaodai stahiki zao mbalimbali. DC Mwenda ameyasema hayo wakati...
  6. Hermenegild sulle

    JamiiForums Walimu na ualimu: Jamii ina mchango mkubwa katika malezi na makuzi ya vijana wetu

    Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
  7. B

    JamiiForums DC Iramba awazawadia walimu Shule ya Sekondari Lulumba safari ya kwenda mbuga wanayotaka nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda ametoa zawadi kwa walimu wa shule ya Sekondari Lulumba kuchagua mbuga yoyote ya wanyama kwenda kupumzika kwa siku 3 baada ya shule hiyo kufanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha 6 na kuongoza Kiwilaya na Kimkoa na kushika nafasi ya 24...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tetesi: Ni nini faida za CWT Kwa wanachama wake ambao ni walimu

    Kama Uzi unavyojieleza. Chama Cha walimu Tanzania (CWT), kimeanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Ninaomba wanachama wa CWT waeleze faida za CWT Kwa wanachama wao ambao ni walimu Pili ninaomba kujua asilimia 2% inayokatwa kutoka Kwa mwalimu ambaye ni mwanachama zinamfaidisha nini mwalimu...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums CWT waunga mkono uanzishwaji wa bodi ya kitaalam ya walimu Tanzania

    Nimefurahishwa CWT kukubalika Kwa zaidi ya wilaya 110 nchi kukubali wazo la uanzishwaji wa bodi ya kitaalamu ya walimu. Walimu wengi ambao ni wanachama wa CWT wametoa maoni yao kuwa asilimia 2 wanachama wanayokwatwa kwenye mishahara yao Kila mwezi ni kubwa kulinganisha na kiwango...
  10. balimar

    JamiiForums Walimu bado wanawindwa kimakato kwenye Mishahara yao

    Wadau Habari!! Leo tulikuwa na kikao cha Maafisa Elimu Kata na Walimu wakuu kujadili Mambo mbalimbali ya kuboresha taaluma wilayani kwetu Mwenyekiti wa CWT wilaya alipopewa nafasi ya kuongea alielezea swala la Bodi ya Kitaalamu ya walimu na sintofahamu ya Makato. Kitu kilichosikitisha ni yale...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums SoC01 Nawalaumu sana Wazazi na Walimu, huenda leo hii ningekuwa mbali

    Katika Maisha yangu huwa kuna wakati nawalamu mno wazazi wangu , Walimu wangu na Serikali pia kwa Mfumo wa hovyo sana, Katika Maisha yangu nilikuwa na Kipaji kikubwa sana cha kucheza Mpira, Wakati huo TV hazikuwepo tulikuwa tunawekewa mikanda ya mpira hasa World Cup na kwa sisi tulikuwa...
  12. Mirr

    JamiiForums SoC01 Mtazamo hasi juu ya kukidhi kwa Walimu wa Sanaa(arts) na ongezeko la Wanafunzi

    Nawasalimu wana jukwaa,amani iwe nanyi! Kwanza kabisa naomba nimshukuru Mungu kwa kunijaalia uzima hadi ninapoandika andiko hili sina budi kusema Alhamndulilah! Bado kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sanaa kulingana na idadi kubwa ya wanafunzi hasa shule za mijini japo mahitaji ya serikali...
  13. Amaizing Mimi

    JamiiForums CWT kupinga uanzishwaji wa bodi ya kitaalamu ya walimu.

    Bila shaka mpo salama wanajukwaa. Hivi karibuni katibu wa Chama cha Walimu wilayani kwetu amezunguka kwenye shule za hapa wilayani.amekuwa akipinga uanzishwaji wa bodi ya walimu, nijuavyo mimi CWT ndio inaongoza kumnyonya mwalimu. Kuna lipi la muhimu kwa mwalimu hadi cwt ijifanye inamtetea...
  14. SAKA25

    JamiiForums Ajira mpya za walimu 10,000 zinakuja mwaka huu wa fedha 2021/22

    Ajira mpya zimepunguza uhaba wa Walimu wa Sayansi =AZWFt27YcO67kbShO8yXVYcSKqMkT6-epL7OG-vvW_J7xFgRydHODCvYTMHUXVXZp7O6FHXfEs8s2Zp3ngaIKABVJeQYsqufpgOjwzBO08RmPcUKjiii7YytKCIfOiW7Da1rPVEx0n1L6SaZMFthh_hr&tn=-]K-R']Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Mamlaka ya Mkuu wa Mkoa vs Waziri : Ipi tofauti kati ya "Makambi ya RC Mtaka" na RC Geita kufukuza wanafunzi 11 na kuhamisha Walimu .

    Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
  16. M

    JamiiForums Serikali Kuajiri Walimu wapya 10,000 Mwaka Huu wa Fedha 2021/2022

    Ajira mpya zimepunguza uhaba wa Walimu wa Sayansi Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Ummy Mwalimu amesema kwa Sasa hakuna Shule ya Sekondari ambayo haina Mwalimu wa Sayansi. Waziri Ummy amesema katika ajira 6,949...
  17. sky soldier

    JamiiForums Walimu wanamsingizia kiuonevu mwanangu, je ni hatua gani nichukue kama mzazi?

    Ipo hivi, mwanangu anasoma shule fulani English medium, mimi haya mambo ya schoolbus niliyakataa kabisa maana kuna wenzake wengi tu wanatembea na hata mimi baba yake siijui school bus maisha yangu ya elimu, ila pia niliona atembee tu ili kunyoosha miguu kwa afya yake. Sasa pale shuleni kwao...
  18. K

    JamiiForums Walimu wapya wapelekwe kwenye vituo vyao vipya vya kazi

    Habari wa na jamvi, Umekuwa na shida kubwa katika Halmashauri zetu kuhusisna na waalimu wanaoripoti kutokupelekwa vitu vyao vipya wanaambiwa waende wenyewe. Ikumbukwe walimu hawa ni wageni katika mazingira haya. Kuna mmoja kakoswa kosa kutafunwa na mamba alipokuwa akivuka ili kukifuata kituo...
  19. P

    JamiiForums David Silinde ulivunja Sheria 2020 ukiwa Bungeni, usiwanyanyase Walimu

    Mhe. David Silinde, Mwaka 2020 ulijivua Uanachama ukiwa bungeni nakisha kuhamia chama kingine nakuendelea na ubunge kinyume na Sheria huku ukijuwa kabisa ni kosa kisheria. Nguvu ya dola ikatumika kukuweka jimbo ambalo si lako,huku ukiwasaliti wanachama wako waliokupokea ukitokea chuoni...
  20. msovero

    JamiiForums Serikali kuajiri walimu wapya wa masomo ya Sayansi na Hesabu kukabiliana na uhaba uliopo

    Serikali inatarajia kuajiri walimu wengine wapya hususani wa masomo ya sayansi na hisabati ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo katika shule za sekondari nchini. Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais-TAMISEMI, mheshimiwa Ummy Mwalimu(mb) akiwa ziarani katika mkoa...
Back
Top Bottom