walimu

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Tunashuhudia madhara ya kuruhusu walimu kutoka nje ya nchi kuja kufundisha shule zetu za private

    Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao. Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa. Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu. Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO City Institute (Ilala Dar) wafanyakazi na walimu hatujalipwa stahiki zetu. Ukilalamika unafukuzwa kazi

    City institute ilala dsm wafanyakazi na walimu hatujalipwa stahiki zetu ukilalamika unafukuzwa kazi
  4. Adharusi

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ILIWEZAJE KUTOA AJIRA ZA UALIMU KWA WATU WASIO WALIMU NA KUWAACHA WALIOSOMEA UALIMU ,PACHUNGUZWE

    Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata...
  5. G

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchunguzi ufanyike kuhusu stahiki za kujikimu za Walimu wapya, wengi tunaambiwa tuandike fedha pungufu

    Ndugu Anayehusika, Tunawasilisha malalamiko haya tukiomba taasisi yenu ifanye uchunguzi kuhusu stahiki za fedha za kujikimu kwa walimu wapya. Walimu wa ajira mpya tunalazimishwa kuandika barua zenye kiasi cha pesa pungufu. Badala ya 130,000/= kwa siku saba, tunaambiwa ni 80,000/=. Tunadaiwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Shule ya Msingi DOVYA iliyopo Mbagala Chamazi wamezidi kwa michango

    Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na ratiba ya masomo shuleni. Wanalazimika kufanya mtihani siku ya nyuma yake ili kiasi hicho kiweze...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

    Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Shukrani: Halmashauri ya Msalala, Kahama tumelipwa pesa ya kujikimu 100%

    Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama tumelipwa posho ya kujikimu kwa 100%. Tunashukuru viongozi wa Halmashauri na OWM-TAMISEMI kufanikisha hili. Kazi iendelee!
  10. Khantwe

    JamiiForums Tanzania Hii dhana kwamba walimu hawazeeki ina ukweli wowote?

    Habari wanajukwaa. Nimekuwa nikisikia hii kauli mara nyingi kuwa walimu hawazeeki tena wanasema hasa wa shule ya msingi, kwa sehemu mimi pia nilikuwa naiamini ila nadhani haina ukweli. Nitaelezea kwa mtazamo wangu na uzoefu wangu kwa nini nafikiria hivyo. Ipo hivi, mtoto mdogo hasa wa shule ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Elimu Secondary wilaya ya Bariadi DC hatujapewa hela ya kujikimu na tukiulizia tunatishiwa kupelekwa Shule za vijijini au tunasakiziwa kesi

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kupigwa vibaya kisa 1500 ya mchango, walimu wa kujitolea

    Taharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu. Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu waajiriwa Januari 2026 Wilaya ya Mpwapwa, hatujapewa fedha za kujikimu

    Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi. Tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu ili suala hili lipatiwe ufumbuzi.
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni mitihani mashuleni.

    Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao? Mbona technology imewarahidishia sana hawa watoto wa sasa, material wanapata kwa urahisi sana tofauti na sisi hapo nyuma.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanafunzi katika Chuo cha SAUT wapata wasiwasi baada ya matokeo yao kutopandishwa na Wahadhiri

    Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
  16. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Takukuru wilaya ya Kilindi Tanga chunguzeni chama Cha walimu Kilindi Tanga wanatoa rushwa kuzuia walimu wasijitoe CWT

    Habari za jioni. Tunaomba Kwa maslahi ya ustawi wa elimu wilayani Kilindi Tanga taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wawachunguze chama Cha walimu Kilindi Tanga kwakuwa ndio wanaohusika na kuhonga ofisi ya utumishi Kilindi isiwatoe walimu wengi wanaotaka kujitoa CWT kutokana na udikteta wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mama na Walimu wanaharibu afya ya akili ya Mwanafunzi wa Kidato cha 4 Shule ya Kimbiji Secondary School

    Hii si hadithi, ni maisha halisi ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni kuhusu mwanafunzi wa kike anayesoma Kidato cha Nne katika Shule ya Kimbiji Secondary School. Msichana huyo jina nalihifadhi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na mama yake mzazi, ambapo mama anashinikiza mwanaye aondolewe...
  18. W Mallya

    JamiiForums Tanzania Tunaomba pepms isiwe kikwazo Kwa walimu kupanda Madaraja

  19. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya Kasulu DC, Walimu tulioajiriwa 2025 hatujathibitishwa kazini

    Walimu tulioajiriwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu (Kasulu DC) mwezi Julai 2025 bado hatujathibitishwa kazini hadi sasa. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa uthibitisho huo, hali ambayo imekuwa ikitutia wasiwasi na kutokuwa na uhakika kuhusu ajira zetu. Tunaomba...
Back
Top Bottom