walimu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto Vyuo Vya Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Vijana wenye Ulemavu: Ukosefu Walimu na Vifaa

    Habari Wana nzengo Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Mwaka 2014 Wadai Haki ya Madaraja Waliyopunjwa

    MHESHIMIWA WAZIRI. Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mji wa Serikali Mtumba Mtaa wa Utumishi. S.L.P 670. DODOMA, TANZANIA. Yah: MAPUNJO YA DARAJA KWA WALIMU WALIOAJIRIWA MWAKA 2014. Husika na somo tajwa hapo juu. 2. Kwa heshima kubwa, nakuandikia barua hii...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Responded Asante JF! Ajira mpya Kada ya Ualimu Rorya tumethibitishwa kazini baada ya kulalamika hapa

    Sisi walimu ajira mpya tulioajiriwa Februari na Machi mwaka 2025 katika Wilaya ya Rorya, tuliandika hapa JamiiForums mapema mwezi huu kuwa hatujathibitishwa kazini. Soma: Ajira Mpya Wilaya ya Rorya hatujathibitishwa kazini tangu Januari 2025 Tunashukuru kwamba baada ya andiko hilo kutoka...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji Malipo ya Uhamisho kwa Walimu Nanyumbu ni usumbufu

    Kuna changamoto katika Nanyumbu District Council inayohusu ucheleweshaji wa malipo ya gharama za uhamisho kwa watumishi, hususan walimu wa sekondari. Hali hii imekuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa wahusika kutokana na mazingira ya kazi na maisha wanayokutana nayo baada ya kuhamishwa. Uhamisho...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira ya 2025 na 2026 BARIADI DC hatujapewa kabisa hela

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea ifanyiwe uchunguzi, Watumishi Walimu tunadai stahiki zetu, tukihoji tunapewa vitisho

    Kero yetu ni kutolipwa fedha ya kujikimu, sisi ni Walimu Ajira Mpya mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, tukifuatilia tunapewa majibu ya kukatisha tamaa, na vitisho pia!! Serikali itusaidie, maana hatuna pa kwenda!! Ajira mpya ya 2026, wamekuja, ndani ya wiki moja tu wakalipwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Chama akipewa uraia ndio Taifa Stars itafanya vizuri? Hii CCM imekosa maono. Hawafikirii kuboresha maisha ya Walimu wanafikiria porojo

    Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana. Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu. Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Fedha za kujikimu, Walimu Halmashauri ya Chato tumepewa laki 1 badala ya Laki 9, bora wasingetupa

    Habari za muda naomba utusaidie kupasa sauti kwa kweli Halmashauri yetu ya Chato hawajatutendea haki sisi walimu wa sekondari tulioajiriwa Mwaka 2025. Walitupa fedha za kujikimu shilingi laki moja tu, walitulipa 27 Aprili 2026, kwanini sisi tumepewa fedha kidogo angali wenzetu wa Shule ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya (Ualimu na Afya) Wilaya ya Mpwapwa bado hatujapewa Hela ya Kujikimu

    WALIMU Ajira za mwaka Jana (2025) mwanzoni na wa (2026) januari Bado HATUJAPEWA HELA yetu ya KUJIKIMU Na Idara husika hazisemi chochote wakati wenzetu halimashauri zingine wamepewa tayari.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Wapya Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma (2025-2026) tunadai pesa ya kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka Jana ngazi ya Sekondari tulipewa Hela ya kujikimu nusu (Laki Nne) mwaka huu na hatujui nyingine tunamaliziwa lini. Lakini pia kwa Wale walio ajiriwa mwaka huu (January 2026 ) hawajapewa Bado na haijulikani wanapewa lini.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Walimu 150 wa Amali Waliohudhuria Mafunzo India Warejea, Prof. Shemdoe awapongeza kwa kuonesha nidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wamewapokea walimu wapatao 150 wa amali waliokwenda kwenye ziara ya mafunzo ya mwezi mmoja nchini India, ambayo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025

    Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 Mimi ni Mtumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Itilima, kero yangu ni kwamba hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 mpaka leo hii Mei 2026, kitu ambacho kinashangaza kwasababu...
  13. Soul21

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Zamani hawataki kubadilika kuendana na mtaala mpya.

    Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji. Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu. Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
  14. data

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi lipeni Stahiki za Walimu. Rais Kaagiza

    Hakuna nyongeza, hakuna madaraja hakuna promotions wala increment... Lipeni stahiki za walimu.. Acheni uhuni na uwizi. Acheni kukaa na hela sio zenu. Mimi ni muhanga ..familia yangu ina wahanga wengi... Lipeni posho zote alizotaja Rais ikiwemo uhamisho na mengine. Waziri mkuu asimamie...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KATAVI: Shule ya Tulieni ina Wanafunzi 2,509, madawati 169, Walimu 14

    Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Tulieni iliyopo Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amesema shule hiyo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa madawati ambapo mpaka sasa shule hiyo ina madawati 169 ikilinganishwa na idadi ya wanafunzi 2,500 ambao wengi wao hawana sehemu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Ajira mpya Wilaya ya Ngara walimu wanatuchukuliaje lakini! Hela tumeambiwa zipo Hazina lakini kimya ni mwaka sasa

    Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya. Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makete: Walimu 17 watishiwa kushtakiwa

    WALIMU 17 WATISHIWA KUFUNGULIWA MASHITAKA KWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA WALIMU WILAYANI MAKETE, MKOANI NJOMBE Makete – Wakati haki ya kujiunga na kujiondoa kwenye vyama vya wafanyakazi ikiwa imehifadhiwa katika Katiba ya Tanzania na kanuni za kimataifa za kazi, hali ya kustaajabisha imejitokeza...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Sh200 Kidogo, Mamilioni Makubwa! KEWOTA Yatikiswa na ‘Payroll Heist’ ya Walimu 95,000

    Kuna mambo imeanza kunuka kwa Kenya Women Teachers Association (KEWOTA) baada ya kufichuliwa sakata kubwa ya pesa. Inadaiwa zaidi ya walimu wanawake 95,000 walikuwa wanakatwa Sh200 kila mwezi bila consent yao – sasa ukifanya hesabu, hiyo ni over Sh228 million yearly! Investigations zinaonyesha...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Sengerema hatujalipwa posho za kujikimu, hali ya maisha imekuwa ngumu

    Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu. Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa changamoto kupewa kwa muda, kuna walimu wanapewa nusu na wameahdiwa kupatiwa inayobaki..ila hakuna...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Temeke hatujalipwa fedha za likizo tangu 2019, nasikia zimewekwa Fixed Account ziwazalishie

    Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam. Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya...
Back
Top Bottom