wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima msaada wako huku Arusha na hii kesi na ndugu wapewe funzo kupora mali za wajane

    MAMA YETU GWAJIMA SHIKAMOO POPOTE ULIPO KWANZA NIKUTAKIE HERI YA SIKUKUU YA WANAWAKE BORA KTK NCHI HII KUTOKEA UONGOZINI NISIKUCHOSHE NAJUA UKO KTK SHAMRA SHAMRA BADO TUNAOMBA MSAIDIEN HUYU MDADA MJANE MUMEWE KAFIA..NDUGU WAMEPORA HELA ZA MCHANGO NA SASA WANAPORA NA MADUKA NA NYUMBA MBAYA...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wako wapi walio sema Hezbullah kwisha?

    Echolima1 a.k.a mwenye majina 30+ kama utitiri Umejificha wapi au kazi za kusafisha vyoo zimekuzidi kule Tela Aviv. Umewaona Hezbullah au bado https://youtu.be/_d95LLJvZ7Y?si=KaozdYLUYtd555oI Afu kuna fununu wametekwa askari wa Israel walijidai eti makamanda kushuka kutoka kwenye Helcopter...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hali ya CHADEMA ilivyo, iko mbioni kumkumbuka Mbowe

    Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo Kwahiyo tusubiri matokeo ndipo wabishi na werevu watajulikana
  4. JamiiForums Tanzania Uzito stahili kulingana na kimo cha urefu wako ( Ideal height vs Weight)

    Yazingatie haya;
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Arusha timiza wajibu wako

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati. Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'. Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
  6. JamiiForums Tanzania Huyo mwenza wako wa maisha anasemaje kuhusu vita vya US-Israel-Iran na siasa za kimataifa kwa ujumla?

    Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
  7. JamiiForums Tanzania Buriani Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo, Japo Pengo Lako Halitazibika, Tutakuenzi Kwa Kukuishi, Haswa Ule Upendo Wako wa Dhati na Moyo wa Kusamehe!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.Jana tumempumzisha kwenye makao yake ya milele, katika makaburi ya Pugu, Mpendwa wetu, Mwadhama Polycarp, Cardinali Pengo, aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo...
  8. JamiiForums Tanzania Wakatoliki hawana ubaguzi wako na rational judgment.

    Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile. 1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo. 2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mzazi/ndugu yako aliwahi kufanyiwa kisa umasikini hujalisahau hadi ukubwani ?

  10. JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa!

    Mungu hadhihakiwi! Wamefubaa/ wamefubazwa mitandaoni Masanja mkandamizaji.. Sehemu kubwa ya mahubiri yake kwenye kanisa lake la mchongo ilikuwa kumsifia mkewe na wanawake wenye makalio makubwa! Akaishia kupigwa baya na baadae katibu wake akafariki kifo tata! Tangu hapo akageuka kuwa chawa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa Kuhusu Watu Wako wa Karibu Kwenye Safari ya Mafanikio

    Habari wana JF, Kuna jambo wengi huligundua wakiwa wamechelewa -sio kila mtu wa karibu yako atakuwa tayari kukuona ukipiga hatua kubwa kuliko yeye. Na hapa nisisemee vibaya: Watu wengi wa karibu wanaweza wakawa wanakutakia mema kwa dhati. Wanapenda ufanikiwe. Wanakuombea. Wanakutia moyo...
  12. JamiiForums Tanzania Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

    Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti ?
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya tako na sura unachagua demu wako awe na kipi?

    Mi nachagua sura nzuri ,demu mwenye sura nzuri msafi nampenda sana kuliko yule mbaya ata kama ana tako kubwa.
  14. JamiiForums Tanzania Raha ya mdinyano kuangaliana usoni asa kama demu wako hatazamiki shida inaanzia hapo

    Ukitaka kuona raha ya kwichi kwichi muwe mnatazamana usoni namna demu anaugulia na ukijumlisha na uzuri wa sura apo mnara lazima usome 5G na huchoki
  15. JamiiForums Tanzania Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

    Najua kuna wahanga wa hizi mambo hebu weka kura yako halatu tusaidiane kujinasua
  16. JamiiForums Tanzania Nani ni shujaa wako au msaliti kwenye siasa za Tanzania?

    Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti. Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
  17. JamiiForums Tanzania Wako wapi Hawa!!

    Walikua maarufu sana hasa Twitter x" na Telegram,miaka ya 2021 mbaka 2024? :Asha zungu :Sauda Bubu :Linda amossi :Yanga girl :Mona deus aka slim lady, :Sy kivuluge sijapata kabisa kuwaona si mtaani wala mitandaoni! Na hata content utapata zile zile za zamani! Je kuna mtu anaweza kujua wako...
  18. JamiiForums Tanzania Madikteta wako efficient kwenye kuendesha uchumi kuliko viongozi wa kidemokrasia

    Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku zote imefocus kwenye hela na uchumi. Kama nchi ina resources kama mafuta basi akili yote ya dikteta...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi utadharau vipo watu wako milion 59 na zaidi unapeleka game kwa watu hawazidi milioni

    Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania PICHA: HAWA NDIO MAANA UKIGUSA MASLAHI YAO WAKO RADHI WAKUUE

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…